Kwanini Mademu wengi wakali ninao wafahamu hawaijui JF?

Kwanini Mademu wengi wakali ninao wafahamu hawaijui JF?

Jiulize kwanza kwanini humu zinatumika avatar feki.
 
JF ni kama usalama wa taifa, mnafanya kazi pamoja lakini hamjuani kwa sura mnajuana tu kwa code name na still kazi(mijadala) inaenda.
Ili uimidu JF lazima usiwe na shobo la kujulikana kwa watu lakini pia inabidi uwe smart upstairs.
Sasa ww ndio ume ieleza jf vzuri
 
Naamini JF ni kwa watu wenye uelewa flani hivi wa mambo. Warembi wengi kama hajaenda shule huwa hawana ile ari ya kujifunza. Ukiona mrembo huku ujue kidogo kagusa form six au la aliambiwa na mtu ndo akajiunga
P.S nina rafiki zangu warembo wawili niliwaintroduce humu.
 
Hapo tu ndo napokupendeaga mzigua90
 
Huku wapo mademu wanaojielew tu na sio wakali asilimia kubwa hata shuleni walikuwa safi sana kimasomo, Huku wachache sana wenye zero. na unajua mademu wakali wengi wao necta walizungusha viuno
 
Back
Top Bottom