Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heheheeeeee nacheka kihutu
Acha nifikiri kwa sauti mkuu,Mademu wakali wanaijua hitwe na badoo Jf ni greti thinkazi... [emoji23]
Lugha ya italiano hii... [emoji23] [emoji95] [emoji379]Acha nifikiri kwa sauti mkuu,
Hivi apo si umeandika kizungu na sio kingereza.
Sasa ww ndio ume ieleza jf vzuriJF ni kama usalama wa taifa, mnafanya kazi pamoja lakini hamjuani kwa sura mnajuana tu kwa code name na still kazi(mijadala) inaenda.
Ili uimidu JF lazima usiwe na shobo la kujulikana kwa watu lakini pia inabidi uwe smart upstairs.
Jamani jamaniNimekutana na dem mwingine anaperuzi JF leo kwenye mgahawa.
Aisee ana sura kama yangu, mbayaaaaa
Kwahiyo sisi ndo wabaya eeh
Bora ziendelee tu hizi fake muendelee kutuhisi maqueen maana tukiweka zetu pm tutazisikia kwa wenzetu tuuJiulize kwanza kwanini humu zinatumika avatar feki.
Na snapchat huku tuko wagumu tu. Wenye sura za baba zetuMademu wakali wanaijua hitwe na badoo Jf ni greti thinkazi... [emoji23]
Ni kweli kabisa mkuu..... Siye sura za kina pinda [emoji23]Na snapchat huku tuko wagumu tu. Wenye sura za baba zetu
Eeeh [emoji23][emoji23]Ni kweli kabisa mkuu..... Siye sura za kina pinda [emoji23]
Whatsapp yenyewe dp tukiweka tu meseji hazijibiwi wiki nzima wakati mtu yupo online. [emoji23]Eeeh [emoji23][emoji23]
Yaaani.Whatsapp yenyewe dp tukiweka tu meseji hazijibiwi wiki nzima wakati mtu yupo online. [emoji23]
Hapo tu ndo napokupendeaga mzigua90Naamini JF ni kwa watu wenye uelewa flani hivi wa mambo. Warembi wengi kama hajaenda shule huwa hawana ile ari ya kujifunza. Ukiona mrembo huku ujue kidogo kagusa form six au la aliambiwa na mtu ndo akajiunga
P.S nina rafiki zangu warembo wawili niliwaintroduce humu.