Kwanini madereva wanaogopa kufanya kazi kampuni ya Asas?

Kwanini madereva wanaogopa kufanya kazi kampuni ya Asas?

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
Kampuni pekee ambayo Ina magari mengi lakini madereva wanaogopa kufanya kazi. Dereva yupo radhi akae bila kazi kuliko kufanya kazi ASAS.

Kwanini?
IMG_8874.jpeg
 
Halafu huyu ASAS kijana wake kama sio vijana wake walionekana katika mojawapo ya video za mauwaji ya October 29 akiwa na askari ule muda mauwaji yakiwa yanafanyika. Na video ipo mtandaoni huko.

Huyu nae ASAS tutadeal nae baadae.
 
malipo duni na kufutwa kirahisi wanalipa elfu mia tatu kwa mwezi na inachelewa
Unalipwa chini ya kiwango cha kima cha chini cha serikali unaacha kazi bila kwenda kutoa taarifa serikalini au kuongea na vyombo vya habari?

Ndio maana nchi hii tunashindwa kuifanyia mabadiliko. Tukiona mtu anakunya njiani tunampisha na kupita pembeni ambako tunaweza hata kuumwa na nyoka!
 
Hao ASAS wanajiona kama.wanaongoza nchi hii sababu dada yao ameolewa na JK wa 2 kama mjuavyo mkwere ndye anayeendesha ndinga la tz yule wa kiZi kukazwa n toy tu order zote zinatoka hapo njia panda ya ya kaskazin

So hao hawagusiki hata kidogo kwa sasa enz za mjomba wa chato walikuwa wepes zaidi ya pamba na hawakuwa na vibweka

Kumbuka mwenyekit wa ccm mkoa wa iringa n asas kwa sasa
 
Back
Top Bottom