The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Haya mambo yako Tanzania tuSwali, je jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu?
Jeshi linatakiwa liondoke maeneo ya mjini yabaki kujengwa majengo ya kiraia. Kama upo umuhimu, basi mjini yabaki maeneo machache na madogo tu kwa ajili yao. Nashangaa jiji kama Dar wamejaza mi-kambi mi-kukubwa ya jeshi. Ya kazi gani?Wakuu ikipita barabara ya external kwenda maji chumvi unapita eneo la jeshi, limejaa bar na frame.
Hali iko hivyo ukipita Lugalo, kumefunguliwa frames nyingi sana kwenye eneo la jeshi.
Swali, je jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu?
Jeshi letu lina maeneo potential sana, mazuri ambayo wangeweza kualika wawekezaji wakubwa wa kujenga shopping centres ama malls, recreational centers, na uwekezaji mkubwa kuliko huu wa bar na frame.
Je jeshi letu limekosa washauri wazuri wa uwekezaji wa ndani ama hata wa nje hadi kuwekeza kwenye bar na frame?
Ni kweli. Ni mawazo ya ki-upigaji pigaji na kula kwa ulaini. Jeshi linatakiwa liwe nje ya jiji, likijihusiha na utafiti, ugunduzi, utengeneza na vitu vyenye manufaa kwa Taifa.Haya mambo yako Tanzania tu
wanatafiti nini ikifika mwisho wa maazimisho wanapasua matofali kwa kutumia kichwaNi kweli. Ni mawazo ya ki-upigaji pigaji na kula kwa ulaini. Jeshi linatakiwa liwe nje ya jiji, likijihusiha na utafiti, ugunduzi, utengeneza na vitu vyenye manufaa kwa Taifa.
Jeshi letu lina maeneo potential sana, mazuri ambayo wangeweza kualika wawekezaji wakubwa wa kujenga shopping centres ama malls, recreational centers, na uwekezaji mkubwa kuliko huu wa bar na frame.
Je jeshi letu limekosa washauri wazuri wa uwekezaji wa ndani ama hata wa nje hadi kuwekeza kwenye bar na frame?
Kwanza ni aibu kwa jeshi la nchi kujihusisha na mambo ya biashara...
Siyo viframe na vigrocery lknKampuni ya simu Halotel inamilikiwa na jeshi la wananchi wa Vietnam
🤣🤣Tanzania ni uchumi wa frame
Nchi hii si ya kichuuzi
Ova
Kambi za jeshi zilitangulia kabla ya raia. Miaka hiyo zilikuwa nje ya mji ila idadi ya watu imeongezeka sasaJeshi linatakiwa liondoke maeneo ya mjini yabaki kujengwa majengo ya kiraia. Kama upo umuhimu, basi mjini yabaki maeneo machache na madogo tu kwa ajili yao. Nashangaa jiji kama Dar wamejaza mi-kambi mi-kukubwa ya jeshi. Ya kazi gani?
Wamewekeza kwenye sekta nyingi nyingi tu mpaka usafi, afya, ujenzi ulinzi kupitia kitengo chao cha SUMA JKTWakuu ikipita barabara ya external kwenda maji chumvi unapita eneo la jeshi, limejaa bar na frame.
Hali iko hivyo ukipita Lugalo, kumefunguliwa frames nyingi sana kwenye eneo la jeshi.
Swali, je jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu?
Jeshi letu lina maeneo potential sana, mazuri ambayo wangeweza kualika wawekezaji wakubwa wa kujenga shopping centres ama malls, recreational centers, na uwekezaji mkubwa kuliko huu wa bar na frame.
Je jeshi letu limekosa washauri wazuri wa uwekezaji wa ndani ama hata wa nje hadi kuwekeza kwenye bar na frame?
Wamewekeza kwenye sekta nyingi nyingi tu mpaka usafi, afya, ujenzi ulinzi nk kupitia kitengo chao cha SUMA JKTWakuu ikipita barabara ya external kwenda maji chumvi unapita eneo la jeshi, limejaa bar na frame.
Hali iko hivyo ukipita Lugalo, kumefunguliwa frames nyingi sana kwenye eneo la jeshi.
Swali, je jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu?
Jeshi letu lina maeneo potential sana, mazuri ambayo wangeweza kualika wawekezaji wakubwa wa kujenga shopping centres ama malls, recreational centers, na uwekezaji mkubwa kuliko huu wa bar na frame.
Je jeshi letu limekosa washauri wazuri wa uwekezaji wa ndani ama hata wa nje hadi kuwekeza kwenye bar na frame?
Kampuni ya simu Halotel inamilikiwa na jeshi la wananchi wa Vietnam
Ofcourse zilitangulia na miaka hiyo zilikuwa ziko nje ya jiji. Lakini bila shaka kutangulia siyo kigezo cha kuziacha ziendelee kukaa wakati mazingira yamebadilika.Kambi za jeshi zilitangulia kabla ya raia. Miaka hiyo zilikuwa nje ya mji ila idadi ya watu imeongezeka sasa
Wamewekeza kwenye sekta nyingi nyingi tu mpaka usafi, afya, ujenzi ulinzi nk kupitia kitengo chao cha SUMA JKT
Fremu hizo pia zimejengwa Kigamboni ferry
Wanastahili pongezi kwa mafanikio haya na kuongeza ajira kwa vijana na wataalamu wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi wabadilike. Wawe kisayansi zaidi. Hizi kambo zote zilizopo mjini au nieme kambo za jeshi kwa ujumla utaratibu wao wa maisha ni wa kizamani sana. Asubuhi wanakwenda master parade, wanapangiana ''fatigue duty'' al-maarufu kama ''fatiki'', ikifika mchana wanatawanyika kwenya kunywa mitaa ya karibu. Nenda pale Kawe uone mitaa ilivyo na vijumba vya kuuzia pombe na wanawake.wanatafiti nini ikifika mwisho wa maazimisho wanapasua matofali kwa kutumia kichwa