Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Kwa maeneo ya jesho, wajenge hata residential complex na watapata hela nyingi sana.
Ama wawape NHC ama TBA hayo maeneo waingie ubia na watu wajenge residential complex zenye maduka na recreational centers za kueleweka kuliko hizi bar na frames.
Bado kuna matumizi mengi Jeshi inaweza kuyafanya kwa manufaa ya jeshi na wananchi kabla ya makazi ya kuishi wala biashara ya “fremu.
Kuna uhaba mkubwa sana wa vituo vya mafunzo ya aina mbali mbali na utajiri mkubwa sana wa vijana wasio na ujuzi wala ajira maalum. Hii ni Hazina.