Kwanini maeneo ya jeshi kama Lugalo na External kumejengwa bar na frame nyingi sana?

Mazee mbona una mikakati na mawazo ya kizamani sana? Yale mawazo ya eti kuweka mji mkuu katikakati ya nchi kwa sababu za kiusalama! Hivi tukiwa na kambi moja ndogo tu na nyingine zikahamishiwa pembezoni mwa jiji je? Nikuambie? Kambi kuwa ndani ya jiji kama ilivyo sasa ni hatari zaidi kuliko kuwa nje.
Tukivamiwa tusubiri kambi kubwa waje au sio? Kuweka mji kati ni ili kufikisha huduma kwa usawa wa umbali kwa wananchi wote
 
Wakuu ikipita barabara ya external kwenda maji chumvi unapita eneo la jeshi, limejaa bar na frame.

Hali iko hivyo ukipita Lugalo, kumefunguliwa frames nyingi sana kwenye eneo la jeshi.

Swali, je, jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu?

Jeshi letu lina maeneo potential sana, mazuri ambayo wangeweza kualika wawekezaji wakubwa wa kujenga shopping centres ama malls, recreational centers, na uwekezaji mkubwa kuliko huu wa bar na frame.

Je jeshi letu limekosa washauri wazuri wa uwekezaji wa ndani ama hata wa nje hadi kuwekeza kwenye bar na frame?
Vita ya Idd Amin ilianzia bar baada ya askari wa Uganda na Tanzania kugombea Binti muuza bar.😁
 
Wakuu ikipita barabara ya external kwenda maji chumvi unapita eneo la jeshi, limejaa bar na frame.

Hali iko hivyo ukipita Lugalo, kumefunguliwa frames nyingi sana kwenye eneo la jeshi.

Swali, je, jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu?

Jeshi letu lina maeneo potential sana, mazuri ambayo wangeweza kualika wawekezaji wakubwa wa kujenga shopping centres ama malls, recreational centers, na uwekezaji mkubwa kuliko huu wa bar na frame.

Je jeshi letu limekosa washauri wazuri wa uwekezaji wa ndani ama hata wa nje hadi kuwekeza kwenye bar na frame?
Ndipo uwezo wa kufikiri ulipoishia tuachanane nayo hayo.
 
Kuna watu ndani ya jeshi walipaswa kuliona hili kwenye mtazamo wa kiintelejensia zaidi.

Jeshi halina hub za tafiti na majaribio, wao wanawaza maokoto tu....
 
Tukivamiwa tusubiri kambi kubwa waje au sio? Kuweka mji kati ni ili kufikisha huduma kwa usawa wa umbali kwa wananchi wote
Unajua mambo ya kijeshi? Hujui kuwa ulinzi wa bandari unakuwa ndani kabisa baharini? Huyo adui akifika bandarini hujui anakuwa tayari ameshateka hata kambi za jeshi zilizopo karibu? Kufikisha huduma kwa wananchi kunarahisishwa miundo mbinu ya mawasiano mizuri. Nimetembea nchi nyingi na huu ujinga wa kusema kuweka makao makuu katikati ya nchi ni kuwafikia wananchi kwa urahisi sikuona kwa sababu wanachojali ni usafiri wa haraka na uhakika.
 
Wakuu ikipita barabara ya external kwenda maji chumvi unapita eneo la jeshi, limejaa bar na frame.

Hali iko hivyo ukipita Lugalo, kumefunguliwa frames nyingi sana kwenye eneo la jeshi.

Swali, je, jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu?

Jeshi letu lina maeneo potential sana, mazuri ambayo wangeweza kualika wawekezaji wakubwa wa kujenga shopping centres ama malls, recreational centers, na uwekezaji mkubwa kuliko huu wa bar na frame.

Je jeshi letu limekosa washauri wazuri wa uwekezaji wa ndani ama hata wa nje hadi kuwekeza kwenye bar na frame?

Kichocheo cha ushindi vitani soma 👇

External sehemu gani kuna fremu za jeshi?
Lugalo ni eneo la jeshi waliamua vile.
External fremu long time ziko vle ni za watu binafsi. Uongezekaji mwingine like baada ya shule yaa makamba au zile bar. Ni kutokana na ile njia kuwa na muingiliani na tabata, makoka na kimara. That's only shit. Nothing sijui jeshi.
Hapo mwisho najua umeishi eneo hilo,nini kinaendelea hapo?
 
Back
Top Bottom