Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Kwa wale waliokwepa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria.Hivi Suma JKT ipo chini ya JWTZ au JKT?
JKT ni Divisheni ya JWTZ kama zilivyo Divisheni za Anga, Navy, Infantry, Commandos. Alama pekee ya kuwatofautisha ni beret. Infantry beret yao ni rangi ya kijani, Anga beret yao ni rangi ya bluu-mawingu, Navy beret yao ni rangi ya bluu-bahari (Navy blue), Commandos beret yao ni rangi nyeusi, JKT beret yao ni rangi ya jani la mgomba lililochemshwa.
Divisheni zote zinaungana kwenye gwanda moja. Pia kama sare ya askari wa Divisheni moja imeisha na hakuna stock basi anaweza kuvaa sare ya Divisheni nyingine kasoro beret ataendelea kuvaa ya Divisheni yake tuuu hadi labda akibadilishwa Divisheni ndipo ataweza kubadilisha beret pia.