Kwanini maeneo ya jeshi kama Lugalo na External kumejengwa bar na frame nyingi sana?

Jeshi linatakiwa liondoke maeneo ya mjini yabaki kujengwa majengo ya kiraia. Kama upo umuhimu, basi mjini yabaki maeneo machache na madogo tu kwa ajili yao. Nashangaa jiji kama Dar wamejaza mi-kambi mi-kukubwa ya jeshi. Ya kazi gani?
Kwakweli
Tena Wana maeneo balaa
 
Jeshi linatakiwa liondoke maeneo ya mjini yabaki kujengwa majengo ya kiraia. Kama upo umuhimu, basi mjini yabaki maeneo machache na madogo tu kwa ajili yao. Nashangaa jiji kama Dar wamejaza mi-kambi mi-kukubwa ya jeshi. Ya kazi gani?
Kwa ajili ya kuwadhibiti magaidi kama wewe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom