Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #81
Sawa...Hahaha hivyo nikubali ideology zako za kupeleka watu jkt na mgambo?!
Mawazo yangu ni yangu na yako ni yako.
Huyapendi yangu yaache, nami nisipopenda yako Natayaacha.
Jukwaa huru hili.
Umesahau uhusika wa magari ya kichina na kuwakusanya vijana wilayani?Mimi mbona sijashauri chochote kuhusu wauza magari mkuu?...
Mimi sio mfuasi wa chama chochote cha kisiasaUsisahau kumpigia kura Tundu Lisu na CHADEMA kwa Haki, Usawa, Amani na maendeleo ya Tanzania.
Hahaha hizi ni kama soccer unashangilia yoyote, ikifungwa unachagua nyingine au unaendelea na team yako.Mimi sio mfuasi wa chama chochote cha kisiasa
Itakuwa kinyume na malengo mgambo na jkt wanaSasa kama nafasi ni chache za kupeleka vijana JKT kwanini wengine wasicheze mgambo wapate mafunzo ya ukakamavu na uzalendo kuliko kukosa vyote?
Yangekuwa yana fanana kusingekuwepo aja ya mgambo tunge baki na jktElimu ya uzalendo na ukakamavu ni malengo yanayofanana kwa wote JKT na Mgambo
Elimu ya uzalendo na ukakamavu ni malengo yanayofanana kwa wote JKT na Mgambo.Yangekuwa yana fanana kusingekuwepo aja ya mgambo tunge baki na jkt
Okay...Hahaha hizi ni kama soccer unashangilia yoyote, ikifungwa unachagua nyingine au unaendelea na team yako.
Hata team yako inaposhinda hufaidi chochote, hivyo take it easy, not personal.
PoaKwani chaguzi ngapi zimepta mbona tuko humu humu tunapishana tu?!
Enjoy your day.
Mkuu, sina taarifa yoyote kuhusiana na suala hili.Umesahau uhusika wa magari ya kichina na kuwakusanya vijana wilayani?
Huu ndio ushauri na msimamo wangu mimi pia mkuuMwisho wa masomo yoyote uthibitisho ni cheti cha kuhitimu, kitatolewa na nani? Kuna VETA ndio watoa mafunzo kwa level za chini, washauri vijana waende huko.
Ndio mkuu, mgambo iwe "compulsory" kwa wanafunzi wote waliohitimu kidato cha sita ambao hawakuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT...Mgambo iwe compulsory?
Kuwa jeshi la akiba sio msoto mkuu, bali ni uzalendo kwa taifaVijana wetu wakasote kuwa jeshi la akiba?
Hakika wewe sio mzalendo...Hakuna kubahatika kuingia jkt kwa aliemaliza f6. Kubahatika ni kupata ulichokihitaji sana bila kutarajia.
Mkuu, ninajuta sana kwa nini sikwenda mafunzo ya mgambo wala JKT
Kwa maana hawana taarifa za kutosha juu ya umuhimu wa kupitia mafunzo yaleNi wachache waitwao kwa mujibu na kwenda kwa furaha. Wanakwenda tu kwa kuwa ni sheria.
Hakika haujui faida ya kuwa na vijana wakakamavuAchilia mbali mitaani hata hao maaskari wa nchi za wenzetu vitani hawapigani kwa kutumia miguvu kama zamani ni akili tu na teknolojia.
Mtu yupo Korea analipua marekani
nipe faida yake mkuu,na wapi huo ukakamavu uliwahi kuwa applicable ukaleta matunda.Hakika haujui faida ya kuwa na vijana wakakamavu
Huu ni mtazamo wako tu mkuu na sidhani kama upo sahihi hata kidogo mzee baba