Kwanini mafunzo ya mgambo yasiwe "compulsory" kwa wanafunzi wote waliohitimu kidato cha sita ambao hawakubahatika kuchaguliwa kujiunga na mafunzo JKT?

Kwanini mafunzo ya mgambo yasiwe "compulsory" kwa wanafunzi wote waliohitimu kidato cha sita ambao hawakubahatika kuchaguliwa kujiunga na mafunzo JKT?

Mimi sio mfuasi wa chama chochote cha kisiasa
Hahaha hizi ni kama soccer unashangilia yoyote, ikifungwa unachagua nyingine au unaendelea na team yako.

Hata team yako inaposhinda hufaidi chochote, hivyo take it easy, not personal.

Kwani chaguzi ngapi zimepta mbona tuko humu humu tunapishana tu?!

Enjoy your day.
 
Sasa kama nafasi ni chache za kupeleka vijana JKT kwanini wengine wasicheze mgambo wapate mafunzo ya ukakamavu na uzalendo kuliko kukosa vyote?
Itakuwa kinyume na malengo mgambo na jkt wana
Elimu ya uzalendo na ukakamavu ni malengo yanayofanana kwa wote JKT na Mgambo
Yangekuwa yana fanana kusingekuwepo aja ya mgambo tunge baki na jkt
 
Hahaha hizi ni kama soccer unashangilia yoyote, ikifungwa unachagua nyingine au unaendelea na team yako.

Hata team yako inaposhinda hufaidi chochote, hivyo take it easy, not personal.
Okay...
 
Mwisho wa masomo yoyote uthibitisho ni cheti cha kuhitimu, kitatolewa na nani? Kuna VETA ndio watoa mafunzo kwa level za chini, washauri vijana waende huko.
Huu ndio ushauri na msimamo wangu mimi pia mkuu
 
Achilia mbali mitaani hata hao maaskari wa nchi za wenzetu vitani hawapigani kwa kutumia miguvu kama zamani ni akili tu na teknolojia.
Mtu yupo Korea analipua marekani
Hakika haujui faida ya kuwa na vijana wakakamavu
 
Huku tunasema "kazi kasi zaidi " . Tuache watanzania tupige kazi zaidi kwenye kujitafutia riziki na siokutupotezea muda wote wa miezi 3 kwaajili ya mgambo. Hoja haina mashiko
 
Back
Top Bottom