Kwanini mafunzo ya mgambo yasiwe "compulsory" kwa wanafunzi wote waliohitimu kidato cha sita ambao hawakubahatika kuchaguliwa kujiunga na mafunzo JKT?

Nonsense in what sense?

In a sense that despite being educated ,you failed to identify skills shortage in our country, come up with this nonsense that everyone should go to Jeshi, really???
 
Physical presence katika Vita bado itaendelea kuhitajika. Ni kweli waweza kuilipua Montana ukiwa Tarime, Mannheim, au Bergamo na kinyume chake. Lakini huwezi kuteka nchi kwa kutumia makombora ya masafa marefu, drones nk. Hivyo infantry soldiers wana umuhimu mkubwa na ndio huteka au hukomboa nchi. Bottom line is Kila Askari regardless uko jeshi gani ukakamavu Ni lazima.
Hata hao infantry soldiers hawatakiwi kutumia miguvu bila akili.
Lazima utumie sayansi yenye akili ndio uweze kuiteka nchi mkienda kichwakichwa mtaishia kuchinjwa tu.
 
In a sense that despite being educated ,you failed to identify skills shortage in our country, come up with this nonsense that everyone should go to Jeshi, really???
But JKT are not employers they are skills providers.

Also is not about "jeshi" but some few who will be eligible will continue with the army.

And I didn't say everyone should go there but form six graduates.

In JKT youths learn different skills which will equip them to progress looking for employment elsewhere.

It's about learning the basics of being self reliant and well mannered person.
 
Dunia ya kimgambo mgambo ilishapitwa na wakati.

Vijana wanahitaji maarifa ya vitendo na uzalishaji. Hawahitaji kuwa migambo.

Ufundi bomba, ufundi umeme, ufundi seremala, ukulima wa kisasa, ujuzi wa kibiashara, teknolojia nk.

Hili ni wazo la enzi za TANU ambalo halina nafasi kizazi hiki.
 
But JKT are not employers they are skills providers.

Also is not about "jeshi" but some few who will be eligible will continue with the army.

In JKT youths learn different skills which will equip them to progress looking for employment elsewhere.

It's about learning the basics of being self reliant and well mannered person.

Which skills do JKT provide????..

are they relevant?..

which skill that has helped them 'progress' in employment process? be specific..

What they learn in JKT , is it cost efective and offer long-term benefits as compared to other skills learning??????

Learning the basics????????? a person who has completed a level education, needs 'basics' education?
 
Dunia ya kimgambo mgambo ilishapitwa na wakati.

Vijana wanahitaji maarifa ya vitendo na uzalishaji. Hawahitaji kuwa migambo.

Ufundi bomba, ufundi umeme, ufundi seremala, ukulima wa kisasa, ujuzi wa kibiashara, teknolojia nk.

Hili ni wazo la enzi la TANU ambalo halina nafasi kizazi hiki.
Hakuna nchi ambayo haina mgambo au "auxiliary forces" hata Marekani wanao Uingereza wano na nchi nyingi tu wanao hawa wanamgambo.

Sielewi "argument" yenu imeegemea wapi lakini nahisi ni kwenye unemployment level ambayo ni kweli ipo "sky high".

Lakini kwenye taifa lolote ambalo linaanza kujikomboa taratibu hili eneo limepewa kipaumbele na serikali na si kwamba ni Tanzania tu hata huko Ulaya wana tatizo hili.

Isitoshe, skills zote ulozitaja hapo juu ndizo hawa vijana wataweza kujifunza wakiwa JKT.

Hata JKT inapokuwa ikishughulika na miradi yake hapo vijana hujifunza shughuli kama ujenzi wa nyumba achia mbali ufyatuaji wa tofali na uchomaji wake.

Sasa hapo utaponda JKT kwasababu tu yaonekana kama ni short term solution?

Tujaribu kuwa objective kwenye kujadili kama mleta mada alivyokusudia badala ya kulenga kuponda na kukejeli.
 
Which skills do JKT provide????..

are they relevant?..

which skill that has helped them 'progress' in employment process? be specific..

What they learn in JKT , is it cost efective and offer long-term benefits as compared to other skills learning??????

Learning the basics????????? a person who has completed a level education, needs 'basics' education?
During my days in JKT I learnt how to make bricks, build a house, drains and so on.

I was able to build myself a poultry house, pig house which later became my stand for one of my business portfolios.

Although I took different course at university but I had these skills already and it was not difficult to apply them accordingly when I start my small business.

So, these skills are vital and relevant in challenging employment market of today.

Also I think basic education without skills is not enough to progress in any avenue whether is self employment or when employed somewhere.
 
Mnhhh i know fundis who make bricks, build houses, drains etc and have never been to JKT...

Which employers take vijana 'fresh' from JKT and employ them?? Kama hakuna huoni ni wastage of time kumsomesha mtu kujenga nyumba na asiwe employed kwenye kampuni ya kujenga nyumba......Thats why i asked if JKT is cost effective compared to other skills-learning?.........................

In your case , you were able to match what you learn and your future, imagine you want to study medicine, how jeshi is relevant??????????????????????? .......

Ningependa kujua wangapi 'wamezitumia' skills walizozipata jeshini..mweeh unaposema zina tackle unemployment...

I would like to propose that these vijana wapewe baada ya kumaliza A level itolewe compursory elimu ya kutumia computer/basics za Microsoft ambazo zitawasaidia kwenye kusoma masomo yao university/college na baadae hata wakiwa kwenye ajira....

Hata lugha ya Kiingereza BOTH Oral and Written inaweza ikafundishwa kipindi hiki ...maanake Employers wengi hasa wa kimataifa wanalalamika hatuko competent ..kumbe ni vitu vidogo vinavyoweza kuwa adjusted....
 
Hio number 3 umeweka kwa kusisitiza litakuwa liCcm la kudumu 🤣🤣🤣
Na nilihitaji umati uelewe kuwa kuna Ccm na ccm wakudumu

Mfano
Mo,Rostam na Bakhresa hao ni Ccm kwakuwa bado ipo madarakani na siku ikitoka na wao wanatoka wanaenda chama chenye dola

Lakini CCm ya kudumu kila kitu ni juhudi za awam ya 5
 
Mnhhh i know fundis who make bricks, build houses, drains etc and have never been to JKT...

Which employers take vijana 'fresh' from JKT and employ them?? Kama hakuna huoni ni wastage of time kumsomesha mtu kujenga nyumba na asiwe employed kwenye kampuni ya kujenga nyumba......Thats why i asked if JKT is cost effective compared to other skills-learning?.........................

In your case , you were able to match what you learn and your future, imagine you want to study medicine, how jeshi is relevant??????????????????????? .......

Ningependa kujua wangapi 'wamezitumia' skills walizozipata jeshini..mweeh unaposema zina tackle unemployment...

I would like to propose that these vijana wapewe baada ya kumaliza A level itolewe compursory elimu ya kutumia computer/basics za Microsoft ambazo zitawasaidia kwenye kusoma masomo yao university/college na baadae hata wakiwa kwenye ajira....

Hata lugha ya Kiingereza BOTH Oral and Written inaweza ikafundishwa kipindi hiki ...maanake Employers wengi hasa wa kimataifa wanalalamika hatuko competent ..kumbe ni vitu vidogo vinavyoweza kuwa adjusted....
Somo la ICT ni la kuweka kwenye curriculum.

Kwenye lugha ya kiingereza sote tuliisoma uzuri tu (enzi hizo) na ni suala la kupewa kipaumbele.

Hilo la employers wa kimataifa kulalamika naona ni "exaggeration" maana wapo watanzania ambao wameajiriwa au waliajiriwa na hao nikiwemo mimi na nimefanya kazi nao uzuri tu bila shida.

Labda kama wataka kusema ni capacity ya kule juu kama CEO au MD.
 
Mnhhhhhh ,

Ngoja nikipata muda nitakuletea jinsi Recruitment Managers wanavyopata tabu kwenye recruitment process pale wanapo interview watu kwa lugha,,,

In the mean time pitia hapa ,,,,Employers need graduates to be taught vital soft skills
 
Hilo la sekta Oil Gas na telecommunications kukosa competent graduates nalielewa na ndio maana serikali imejitahidi kupeleka wanafunzi UK, Scotland na zingine zenye utaalam huo kusomea masters.

Wapo vijana ambao wanasoma masters vyuo vikuu vizuri tu tena vile vya Russel group kama Manchester na Warwick (sidhani kama wafahamu hii mambo kama ya Russel Group)

Kwenye telecommunications wapo vijana ambao wengine wamesoma China na sasa wapo pale TTCL na TCRA wanapiga kazi uzuri tu, mwingine juzi nimemuaga aenda zake UK kupiga Masters.

Labda nazungumza na mtu ambae yupo nje ya Tanzania lakini kwa mimi nilie eneo la tukio yaani Tanzania naona kuna mambo mengi ambayo yanafanywa na vijana wa kitanzania ambao wanatumia lugha zote za kiingereza Kiswahili na hizo zingine kama kiarabu na kichina kutekeleza majukumu yao ama serikalini au katika sekta zingine.

Bila shaka, kuna matatizo katika sekta binafsi sasa hivi ambayo yalikuwa ni lazima yaikumbe sekta hiyo kutokana na mfumo uso rasmi ambao sekta hiyo ilijiwekea, hivyo kuja na sababu mbalimbali ni jambo la kawaida.

Lakini kadri miaka na mabadiliko yanavyokwenda kwa kasi kuna budi kwa sekta hiyo kujitengeneza upya ikimwemo kuajiri vijana ambao wana exposure kidogo na kuwa tayari kuwalipa uzuri.
 
Na hata iwe kwa sababu mbalimbali kijana huyo hakuweza kujiunga huo basi iwe ni deni na atumukie kwa muda utakaofaa.

Nchi kama Israeli, Korea Kusini, Kazakhstan na zingine wanafanya hivyo.
Upo sahihi kabisa mkuu...
 
Hilo la sekta Oil Gas na telecommunications kukosa competent graduates nalielewa na ndio maana serikali imejitahidi kupeleka wanafunzi UK, Scotland na zingine zenye utaalam huo kusomea masters.

Mnhhhh
Wapo vijana ambao wanasoma masters vyuo vikuu vizuri tu tena vile vya Russel group kama Manchester na Warwick (sidhani kama wafahamu hii mambo kama ya Russel Group)

Kwenye telecommunications wapo vijana ambao wengine wamesoma China na sasa wapo pale TTCL na TCRA wanapiga kazi uzuri tu, mwingine juzi nimemuaga aenda zake UK kupiga Masters.

Labda nazungumza na mtu ambae yupo nje ya Tanzania lakini kwa mimi nilie eneo la tukio yaani Tanzania naona kuna mambo mengi ambayo yanafanywa na vijana wa kitanzania ambao wanatumia lugha zote za kiingereza Kiswahili na hizo zingine kama kiarabu na kichina kutekeleza majukumu yao ama serikalini au katika sekta zingine.

Bila shaka, kuna matatizo katika sekta binafsi sasa hivi ambayo yalikuwa ni lazima yaikumbe sekta hiyo kutokana na mfumo uso rasmi ambao sekta hiyo ilijiwekea, hivyo kuja na sababu mbalimbali ni jambo la kawaida.

Lakini kadri miaka na mabadiliko yanavyokwenda kwa kasi kuna budi kwa sekta hiyo kujitengenza upya ikimweo kuajiri vijana ambao wana exposure kidogo na kuwa tayari kuwalipa uzuri.
 
Hii yaondoa matatizo kama kutokuwa mzalendo, uzembe wa kufikiri na ushawishi wa kujiunga na makundi kama yale ya kule Kibiti.

Enzi zetu sisi kaka na dada zenu tulikuwa tukikutana pamoja JKT na bila kujali tajiri au maskini au mtoto wa mkulima wote tulinyoa nywele na kuwa na madenge sawa.
Hakika ilikuwa raha sana mkuu. Mnakutana watu mbalimbali kutoka sehemu tofauti...
 
JKT ndipo ndipo misingi ya umoja, amani na upendo baina ya wana wa nchi inapojengwa.

Wengine wanaobadilika kama tunaowaona leo hii na wamepitia JKT ni kwa kudanganywa na vijienti vya hapa na pale.
JKT na Mgambo ni muhimu sana kwa mustakabali mwema wa Tanzania yetu.
 
Back
Top Bottom