Kwanini Magufuli alichukiwa ndani ya CCM?

Huwa unajifanya mjuaji wakati hujui kitu! Andiko zuri na linaeleza ukweli wa mambo
Andika unachojua wewe.

Ukweli wa facts haupingwi na hisia.

Mapandikizi ya Magufuli katika CCM si unaona mwenyewe yaking'olewa?

Muulize Polepole na chalii mwenzake Kakurwa.
 
Andika unachojua wewe.
Ukweli wa facts haupingwi na hisia.
Mapandikizi ya Magufuli katika CCM si unaona mwenyewe yaking'olewa?
Muulize Polepole na chalii mwenzake Kakurwa.
Unajua maana ya parallel system
 
AMEN
 
Hivi CCM haikuona wizi wa Tshs 1.5 Trilion iliyoibuliwa na CAG?

Na huo si ufisadi wa Mwenyekiti?
 
magufuli alichukiwa sa na wana ccm wenzake na watanzania waelewa kwasababu

1. aliendeleza sana siasa ukabila na ukanda

2.katika serikali ya magufuli kulikuwa na watu wasiokosea, lakini wengine hata akiwa na hisia tu anawaharibia maisha yao.

3. uongozi wa magufuli ulikuwa haufuati sheria bali ulitegemeana na leo ameamkaje...kiujumla ilikuwa serikali ya kukurupuka kwingi
 
Mkwere sio kwamba haku retaliate juu ya vichambo, alirudisha mashambulizi kimya kimya sema tu hakuonesha dhahiri kuwa anachukia kukandwa.

Mtikila na Mwangosi walipotezwa under his regime.

Na ilifikia wakati aliamua kuwapa pipi akina Mbowe na Zitto ili wafunge mabakuli yao ikawa kamchezo wakitaka hela wanaanzisha propoganda ya kushikia bango hadi wapoozwe na vibahasha vya ikulu.

Ila ilipofika awamu ya Msukuma yeye huo upuuzi hakuutaka kabisa.

Walipoanzisha tu vichambo akaamuru hakuna mikutano ya hadhara bali kila mtu jimboni kwake.

Wakapush zaidi ndio akaamua kutumia force account kumkata wenge yule kibaraka wa Acacia 😅 na kuwatia ndani wapinzani!
 
Ila pia kukatiwa line za hela ndio ilikuwa chungu zaidi!

Magufuli angekuwa mfujaji kama Samia hili kundi linalomchukia lisingekuwa na chuki ya kiwango hiki
 
Yawezekana usemacho kikawa kweli

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania sasa tunapumuwa, dhalimu ameoneshwa kwamba yupo Mungu aliye hai.
 

Mara nyingi mwizi akienda sehemu yenye upigaji, kwanza hujifanya malaika na kufichua wezi wote kama wapo, kuwatangaza kwa aibu.

Wakishapungua, sasa yeye ndio anatengeneza timu yake.

Ndicho alichofanya JPM, hiyoripoti na nyingine nyingi, plea bargain, madawa ya kulevya (Makonda, Sabaya), kupora hela za watu benki, kuzuia vyombo vya habari kufanya kazi, kuua demokrasia zilikuwa mbinu za kuhakikisha anapiga na watu wanashangilia.

Ndio maana unaona wajinga wengi ambao hawakuelewa hilo mpaka leo wanashangilia uhuni ule.
 
Nchi hii ingekuwa na chama penzani imara, kingeondoa hili genge la wahuni. Ila ndio hivyo tena, unafiki ni mkubwa mno kwenye siasa kila mtu anaangalia tumbo lake tu.
 
Nchi hii ingekuwa na chama penzani imara, kingeondoa hili genge la wahuni. Ila ndio hivyo tena, unafiki ni mkubwa mno kwenye siasa kila mtu anaangalia tumbo lake tu.
CCM haiondoki kwa kura mkuu. Amini usiamini
2015 Lowasa alishinda
2020 Lissu alishinda pia
2010 Slaa alishinda vilevile
 
Kama alichukiwa na mkewe ndio uilaumu CCM wenzie? Mtu kaenda kula mpaka mdogo mtu huyo so takataka kabisa?
 
Aligeuza chama kampuni yake binafsi. Akamlinda musiba na kumfadhili Musiba awatukane watu, akateua watu wa hovyo wasio na sifa ya uongozi, maadamu tu walikuwa na ujasili wa kuwatukana wapinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…