Kwanini Magufuli anachukiwa na CCM, Chadema, ACT, CUF na wasomi wengi ila anapendwa na wanyonge?

Wanyonge ni watu waliokatwa vichwa hawana uwezo wa kufikiri ndiyomaana unaona kama walikua wanampenda yule muovu.
Wanyonge ni wale waliokubali kunyang'anywa akili zao na jiwe
2022-03-22_23%3A36%3A446.jpg
 
Nachoshangaa watu wanasema Magufuli aliharibu nchi wakati katika miaka 60 ya uhuru yeye katawala miaka mitano tu, je hao wengine wamefikisha taifa wapi ukilinganisha na mataifa mengine.
 
Mpuuzi wewe , mnaokoteza viconspiracy theories uchwara huko unaleta hapa Kwa great thinkers , idiot , unajua hata huyo George Soros ni Nani ?

Ndiyo George Soros ndiyo mwenye kufund open society inawafadhili wote, labda nikuulize kwa nini Upinzani haukosoi Serikali ? Hakuna chochote cha kukosoa?

Sababu ni kwamba wote wana one master !
 
Magufulification of Tanzania ni approach iliyoacha maumivu makubwa kwa Oligarchs wengi wa Tanzania kwa sera zake za kuwabeba watu wa tabaka la chini na msisitizo wake juu ya uzalendo kwa Taifa.
Kuna siku kizazi hiki kitakua kinafundishwa Magufulicism Kama moja ya Development approach.
 
Lipo wazi CCM wengi hawampendi Magufuli , ila wanajitahidi kuto mshambulia moja kwa moja sababu alikuwa kiongozi wao waliomuunga mkono alipokuwa kiongozi, CHADEMA ndio hawampendi kabisa, ACT ndio kabisaa.

Wasomi wengi pia hawamkubali Magufuli, ukiwauliza tu ukiwa nao wengi wanamponda, baadhi walikuwa wakimsifia tu kipindi kile sababu ya woga au kutaka cheo il wanyonge, kama alivyopenda kuwaita watanzania wa kawaida, hili ndio kundi kubwa la watu na linamkubali sana, utaona comments zao Facebook na Instagrma wakimfagilia, ila hutawaona sana Twitter na hapa JF, hawapendi sana hii mitandao.

Najiuliza ni kwa nini? Magufuli alikuwa akiwaeleza watu Tanzania ni tajiri, miradi mingi tunaifanya kwa fedha zetu, akawaeleza pia yeye sio miongoni mwa kundi la elites ndani ya CCM walioifisadi nchi.

Pia alisikika akisema mtu katika utawala wa nyuma masikini aliweza kufanywa chochote na tajiri ila katika utawala wake tajiri anaweza kufanyiwa chochote, aliruhusu pia wafanyabishara ndogondogo kufanya biashara popote na kusema yeye ni mkombozi wao.

alikuwa akiwafokea, kuwatukana na kuwafukuza maafisa wa serikali waliokuwa wakilalamikiwa na wananchi mbele ya hadhara, na mara nyingi alisimama kusikiliza matatizo binafsi ya wananchi kama vile mirathi.

Haya na mengine mengi yaliwafurahisha sana watu wa tabaka la chini ambalo liliamini shida zao zinatokana na kuonewa na viongozi wa serikali na matajiri

Sasa kwa nini wasomi na wanasiasa wengi wasimpende? kwa haraka haraka mtu ukitazama uongozi wa Magufuli utaona ni uongozi wa kuleta maendeleo na kuondoa rushwa, kuwapa haki wanyonge dhidi ya matajiri na mabwanyenye na kuipaisha nchi kiuchumi.

Mtu huwezi kusema unaondoa rushwa huku ukiua uwazi, unafunga na kuua wanaokosoa, ukifungia na kuvitisha vyombo vya habari, huwezi kusema utakuza uchumi na kipato cha watu huku unakandamiza sekta binafsi kwa kuvuruga biashara, huwezi kusema hubagui watu kwa vyama huku ukiwaambia mmechagua upinzani maendeleo siwapi, huwezi kusema upo against na mabwanyeye huku ukiwajengea mahekalu wastaafu, na kuteua watoto wao na wake zao kwenye vyeo vya kisiasa badala ya watu wa kawaida.

Huwezi kusema umerudisha nidhamu kwa watendaji wa serikali huku wateule wako wakiingia benki na kupora mchana kweupe, kuvamia vituo vya habari na walinzi wa ikulu, Polisi wakiua na kubambikiza watu kesi, Watu wenye uelewa hawawezi kukuelewa kamwe.

Samia kwenye moja ya mahojiano yake, alisema anataka legacy yake iwe ni kuwafanya watanzania kujitambua hasa kwenye mambo ya siasa na uraia, nafikiri ameona watanzania wengi hawajui wana uelewa mdogo sana kwenye siasa na ni rahisi sana kuwalaghai.
Kumbe nilikuwa suhjui
 
Hao unaowaita wanyonge hawamfahamu vizuri JPM
 
Kama unaumia sana kafukue kaburi lake ukae humo nae mliwazane
 
Hakuna watu wasiojitambua nchi hii kama hawa wanaitwa wasomi. Nje ya kufanywa watumwa na walamba miguu ya wengine hawana jipya.

Hao CCM wanajulikana kwa unafiki wao kwani wao chama ni njia ya kutengeneza deals badala ya kusimamia dira sahihi ya Taifa. Huoni wanasema chama chao kinapambana na rushwa na wakati wao ndo walezi wa rushwa nchi hii.

Wapinzani wao hawajielewi ndo maana kila siku wana kazi ya kuhama vyama na hata ajenda za maana hawana.

Mwacheni Magufuli apumzike kwa amani mema na mabaya Mungu anajua mwenyewe.
 
Hutaki tuzungumzie legacy yake?
 
Back
Top Bottom