Kwanini Magufuli anachukiwa na CCM, Chadema, ACT, CUF na wasomi wengi ila anapendwa na wanyonge?

Sisi Wakristo kwenye Amri 10 za Mungu kuna Amri inasema WAHESHIMU BABA YAKO NA MAMA YAKO UPATE MIAKA MINGI NA KHERI DUNIANI.

Acha ashambuliwe tu! What goes around comes around.

Nayeye alifanya hivyo hivyo
 
Jiulize swali dogo sana halafu labda utapata jibu la swali lako, uliona wapi Dunia hii Vyama vya Upinzani vinakosa chochote cha kuikosoa Serikali iliyo madarakani ? Utawala wa sasa na Upinzani ni wamoja na wametoka mbali wote wanalipwa na kutumika na George Soros, na ndo maana Mbowe kaenda Kenya huko ndio makao makuu ya George Soros kwa Afrika Mashariki.

George Soros huyo bosi wao wote na ndo maana so called upinzani hawawezi kukosoa chochote, wote wana one master huyo hapo chini!
View attachment 2172748

Nyie bwana. Mtatunga maneno mengi Sana kudiscredit upinzani lakini mtashindwa.
 
Lipo wazi CCM wengi hawampendi Magufuli , ila wanajitahidi kuto mshambulia moja kwa moja sababu alikuwa kiongozi wao waliomuunga mkono alipokuwa kiongozi, CHADEMA ndio hawampendi kabisa, ACT ndio kabisaa.

Wasomi wengi pia hawamkubali Magufuli, ukiwauliza tu ukiwa nao wengi wanamponda, baadhi walikuwa wakimsifia tu kipindi kile sababu ya woga au kutaka cheo il wanyonge, kama alivyopenda kuwaita watanzania wa kawaida, hili ndio kundi kubwa la watu na linamkubali sana, utaona comments zao Facebook na Instagrma wakimfagilia, ila hutawaona sana Twitter na hapa JF, hawapendi sana hii mitandao.

Najiuliza ni kwa nini? Magufuli alikuwa akiwaeleza watu Tanzania ni tajiri, miradi mingi tunaifanya kwa fedha zetu, akawaeleza pia yeye sio miongoni mwa kundi la elites ndani ya CCM walioifisadi nchi.

Pia alisikika akisema mtu katika utawala wa nyuma masikini aliweza kufanywa chochote na tajiri ila katika utawala wake tajiri anaweza kufanyiwa chochote, aliruhusu pia wafanyabishara ndogondogo kufanya biashara popote na kusema yeye ni mkombozi wao.

alikuwa akiwafokea, kuwatukana na kuwafukuza maafisa wa serikali waliokuwa wakilalamikiwa na wananchi mbele ya hadhara, na mara nyingi alisimama kusikiliza matatizo binafsi ya wananchi kama vile mirathi.

Haya na mengine mengi yaliwafurahisha sana watu wa tabaka la chini ambalo liliamini shida zao zinatokana na kuonewa na viongozi wa serikali na matajiri

Sasa kwa nini wasomi na wanasiasa wengi wasimpende? kwa haraka haraka mtu ukitazama uongozi wa Magufuli utaona ni uongozi wa kuleta maendeleo na kuondoa rushwa, kuwapa haki wanyonge dhidi ya matajiri na mabwanyenye na kuipaisha nchi kiuchumi.

Mtu huwezi kusema unaondoa rushwa huku ukiua uwazi, unafunga na kuua wanaokosoa, ukifungia na kuvitisha vyombo vya habari, huwezi kusema utakuza uchumi na kipato cha watu huku unakandamiza sekta binafsi kwa kuvuruga biashara, huwezi kusema hubagui watu kwa vyama huku ukiwaambia mmechagua upinzani maendeleo siwapi, huwezi kusema upo against na mabwanyeye huku ukiwajengea mahekalu wastaafu, na kuteua watoto wao na wake zao kwenye vyeo vya kisiasa badala ya watu wa kawaida.

Huwezi kusema umerudisha nidhamu kwa watendaji wa serikali huku wateule wako wakiingia benki na kupora mchana kweupe, kuvamia vituo vya habari na walinzi wa ikulu, Polisi wakiua na kubambikiza watu kesi, Watu wenye uelewa hawawezi kukuelewa kamwe.

Samia kwenye moja ya mahojiano yake, alisema anataka legacy yake iwe ni kuwafanya watanzania kujitambua hasa kwenye mambo ya siasa na uraia, nafikiri ameona watanzania wengi hawajui wana uelewa mdogo sana kwenye siasa na ni rahisi sana kuwalaghai.
Unawazungumzia watanzania gani mkuu, hawa ambao ni mtaji wa CCM, ahahaha hawa ambao hata sembe iuzwe elfu kumi watakufa na njaa, hao lazima wamuelewe magu mzee wa propaganda, alifanikiwa kuchota akili zao mkuu.

Lakini waliojitambua walijua magu hamna kitu.
 
Jiwe ni mpunbavu mwenzao hao wanyonge,na nyie wanyonge mnajiuzia kesi za MAREHEMU na Hali yenu nani atawakumbuka Ili awabadilishiie maisha hayo ya kinyonge jamaa yenu Ali;-
UWA WATU NA KUWATUPA,
NYANG'ANYA HELA ,MACHAWA YAKE MAKONDA SABAYA POLEPOLE BASHIRU WABUNGE WALIOTOKEA UTUMISHI WA UMMA KAMA DC DED RC UNYAMA NA WIZI WALIOFANYA WE MNYONGE UNGEACHA TU KUMTETEA JIWE
 
Kwani unazani lile rafa linaloshikishwa ukuta kule ubeleji halitaonja mauti? Litakufa halafu linatupwa kwenda kuzimu.
🤣🤣🤣 Aisee nyie watu mna hasira, mtaishia kupigwa ban bure
Ila ule mungu wenu keshafukiwa futi 6 chini na hatakaa arudi
 
Lipo wazi CCM wengi hawampendi Magufuli , ila wanajitahidi kuto mshambulia moja kwa moja sababu alikuwa kiongozi wao waliomuunga mkono alipokuwa kiongozi, CHADEMA ndio hawampendi kabisa, ACT ndio kabisaa.

Wasomi wengi pia hawamkubali Magufuli, ukiwauliza tu ukiwa nao wengi wanamponda, baadhi walikuwa wakimsifia tu kipindi kile sababu ya woga au kutaka cheo il wanyonge, kama alivyopenda kuwaita watanzania wa kawaida, hili ndio kundi kubwa la watu na linamkubali sana, utaona comments zao Facebook na Instagrma wakimfagilia, ila hutawaona sana Twitter na hapa JF, hawapendi sana hii mitandao.

Najiuliza ni kwa nini? Magufuli alikuwa akiwaeleza watu Tanzania ni tajiri, miradi mingi tunaifanya kwa fedha zetu, akawaeleza pia yeye sio miongoni mwa kundi la elites ndani ya CCM walioifisadi nchi.

Pia alisikika akisema mtu katika utawala wa nyuma masikini aliweza kufanywa chochote na tajiri ila katika utawala wake tajiri anaweza kufanyiwa chochote, aliruhusu pia wafanyabishara ndogondogo kufanya biashara popote na kusema yeye ni mkombozi wao.

alikuwa akiwafokea, kuwatukana na kuwafukuza maafisa wa serikali waliokuwa wakilalamikiwa na wananchi mbele ya hadhara, na mara nyingi alisimama kusikiliza matatizo binafsi ya wananchi kama vile mirathi.

Haya na mengine mengi yaliwafurahisha sana watu wa tabaka la chini ambalo liliamini shida zao zinatokana na kuonewa na viongozi wa serikali na matajiri

Sasa kwa nini wasomi na wanasiasa wengi wasimpende? kwa haraka haraka mtu ukitazama uongozi wa Magufuli utaona ni uongozi wa kuleta maendeleo na kuondoa rushwa, kuwapa haki wanyonge dhidi ya matajiri na mabwanyenye na kuipaisha nchi kiuchumi.

Mtu huwezi kusema unaondoa rushwa huku ukiua uwazi, unafunga na kuua wanaokosoa, ukifungia na kuvitisha vyombo vya habari, huwezi kusema utakuza uchumi na kipato cha watu huku unakandamiza sekta binafsi kwa kuvuruga biashara, huwezi kusema hubagui watu kwa vyama huku ukiwaambia mmechagua upinzani maendeleo siwapi, huwezi kusema upo against na mabwanyeye huku ukiwajengea mahekalu wastaafu, na kuteua watoto wao na wake zao kwenye vyeo vya kisiasa badala ya watu wa kawaida.

Huwezi kusema umerudisha nidhamu kwa watendaji wa serikali huku wateule wako wakiingia benki na kupora mchana kweupe, kuvamia vituo vya habari na walinzi wa ikulu, Polisi wakiua na kubambikiza watu kesi, Watu wenye uelewa hawawezi kukuelewa kamwe.

Samia kwenye moja ya mahojiano yake, alisema anataka legacy yake iwe ni kuwafanya watanzania kujitambua hasa kwenye mambo ya siasa na uraia, nafikiri ameona watanzania wengi hawajui wana uelewa mdogo sana kwenye siasa na ni rahisi sana kuwalaghai.
Alikuwa anajua kula na kipofu, akina Makondakta mbona hakuwashughulikia
 
Sema unampenda ww mbona Mimi simpendi! Puaaaaa kabisa
 
🤣🤣🤣 Aisee nyie watu mna hasira, mtaishia kupigwa ban bure
Ila ule mungu wenu keshafukiwa futi 6 chini na hatakaa arudi
Hili ni jukwaa la chadema, kwa hiyo kupigwa ban sisi tusioimba pambio za kuisifu chadema ni kawaida, tumezoea.
Kwani wewe unadhani huyo rafa wenu atadumu milele? Kufa atakufa, na atazikwa pia, tena bila mikunjo!
 
Lipo wazi CCM wengi hawampendi Magufuli , ila wanajitahidi kuto mshambulia moja kwa moja sababu alikuwa kiongozi wao waliomuunga mkono alipokuwa kiongozi, CHADEMA ndio hawampendi kabisa, ACT ndio kabisaa.

Wasomi wengi pia hawamkubali Magufuli, ukiwauliza tu ukiwa nao wengi wanamponda, baadhi walikuwa wakimsifia tu kipindi kile sababu ya woga au kutaka cheo il wanyonge, kama alivyopenda kuwaita watanzania wa kawaida, hili ndio kundi kubwa la watu na linamkubali sana, utaona comments zao Facebook na Instagrma wakimfagilia, ila hutawaona sana Twitter na hapa JF, hawapendi sana hii mitandao.

Najiuliza ni kwa nini? Magufuli alikuwa akiwaeleza watu Tanzania ni tajiri, miradi mingi tunaifanya kwa fedha zetu, akawaeleza pia yeye sio miongoni mwa kundi la elites ndani ya CCM walioifisadi nchi.

Pia alisikika akisema mtu katika utawala wa nyuma masikini aliweza kufanywa chochote na tajiri ila katika utawala wake tajiri anaweza kufanyiwa chochote, aliruhusu pia wafanyabishara ndogondogo kufanya biashara popote na kusema yeye ni mkombozi wao.

alikuwa akiwafokea, kuwatukana na kuwafukuza maafisa wa serikali waliokuwa wakilalamikiwa na wananchi mbele ya hadhara, na mara nyingi alisimama kusikiliza matatizo binafsi ya wananchi kama vile mirathi.

Haya na mengine mengi yaliwafurahisha sana watu wa tabaka la chini ambalo liliamini shida zao zinatokana na kuonewa na viongozi wa serikali na matajiri

Sasa kwa nini wasomi na wanasiasa wengi wasimpende? kwa haraka haraka mtu ukitazama uongozi wa Magufuli utaona ni uongozi wa kuleta maendeleo na kuondoa rushwa, kuwapa haki wanyonge dhidi ya matajiri na mabwanyenye na kuipaisha nchi kiuchumi.

Mtu huwezi kusema unaondoa rushwa huku ukiua uwazi, unafunga na kuua wanaokosoa, ukifungia na kuvitisha vyombo vya habari, huwezi kusema utakuza uchumi na kipato cha watu huku unakandamiza sekta binafsi kwa kuvuruga biashara, huwezi kusema hubagui watu kwa vyama huku ukiwaambia mmechagua upinzani maendeleo siwapi, huwezi kusema upo against na mabwanyeye huku ukiwajengea mahekalu wastaafu, na kuteua watoto wao na wake zao kwenye vyeo vya kisiasa badala ya watu wa kawaida.

Huwezi kusema umerudisha nidhamu kwa watendaji wa serikali huku wateule wako wakiingia benki na kupora mchana kweupe, kuvamia vituo vya habari na walinzi wa ikulu, Polisi wakiua na kubambikiza watu kesi, Watu wenye uelewa hawawezi kukuelewa kamwe.

Samia kwenye moja ya mahojiano yake, alisema anataka legacy yake iwe ni kuwafanya watanzania kujitambua hasa kwenye mambo ya siasa na uraia, nafikiri ameona watanzania wengi hawajui wana uelewa mdogo sana kwenye siasa na ni rahisi sana kuwalaghai.
JPM anavuna alichokipanda, hata kama yeye ni mfu, bado mfumo aliouasisi unapinduliwa kibabe na wasaidizi wake wa karibu. Hiyo ina maana ya kuwa hakuungwa mkono kwa dhati na kutoka moyoni mwa wasaidizi wake wa karibu, ilikuwa ni geresha na unafiki tu.

Kwa wakati kutokana na utisho wake,
walijifanya wanakubaliana maamuzi yake, lakini kumbe walikuwa hawaafikiani naye kabisa. Ushahidi ni kwamba wale aliowatumbua na kuwafukuza kazi kwa dharau kubwa, sasa ndio mabosi ndani ya chama na serikali aliyowahi kuiongoza.
 
Lipo wazi CCM wengi hawampendi Magufuli , ila wanajitahidi kuto mshambulia moja kwa moja sababu alikuwa kiongozi wao waliomuunga mkono alipokuwa kiongozi, CHADEMA ndio hawampendi kabisa, ACT ndio kabisaa.

Wasomi wengi pia hawamkubali Magufuli, ukiwauliza tu ukiwa nao wengi wanamponda, baadhi walikuwa wakimsifia tu kipindi kile sababu ya woga au kutaka cheo il wanyonge, kama alivyopenda kuwaita watanzania wa kawaida, hili ndio kundi kubwa la watu na linamkubali sana, utaona comments zao Facebook na Instagrma wakimfagilia, ila hutawaona sana Twitter na hapa JF, hawapendi sana hii mitandao.

Najiuliza ni kwa nini? Magufuli alikuwa akiwaeleza watu Tanzania ni tajiri, miradi mingi tunaifanya kwa fedha zetu, akawaeleza pia yeye sio miongoni mwa kundi la elites ndani ya CCM walioifisadi nchi.

Pia alisikika akisema mtu katika utawala wa nyuma masikini aliweza kufanywa chochote na tajiri ila katika utawala wake tajiri anaweza kufanyiwa chochote, aliruhusu pia wafanyabishara ndogondogo kufanya biashara popote na kusema yeye ni mkombozi wao.

alikuwa akiwafokea, kuwatukana na kuwafukuza maafisa wa serikali waliokuwa wakilalamikiwa na wananchi mbele ya hadhara, na mara nyingi alisimama kusikiliza matatizo binafsi ya wananchi kama vile mirathi.

Haya na mengine mengi yaliwafurahisha sana watu wa tabaka la chini ambalo liliamini shida zao zinatokana na kuonewa na viongozi wa serikali na matajiri

Sasa kwa nini wasomi na wanasiasa wengi wasimpende? kwa haraka haraka mtu ukitazama uongozi wa Magufuli utaona ni uongozi wa kuleta maendeleo na kuondoa rushwa, kuwapa haki wanyonge dhidi ya matajiri na mabwanyenye na kuipaisha nchi kiuchumi.

Mtu huwezi kusema unaondoa rushwa huku ukiua uwazi, unafunga na kuua wanaokosoa, ukifungia na kuvitisha vyombo vya habari, huwezi kusema utakuza uchumi na kipato cha watu huku unakandamiza sekta binafsi kwa kuvuruga biashara, huwezi kusema hubagui watu kwa vyama huku ukiwaambia mmechagua upinzani maendeleo siwapi, huwezi kusema upo against na mabwanyeye huku ukiwajengea mahekalu wastaafu, na kuteua watoto wao na wake zao kwenye vyeo vya kisiasa badala ya watu wa kawaida.

Huwezi kusema umerudisha nidhamu kwa watendaji wa serikali huku wateule wako wakiingia benki na kupora mchana kweupe, kuvamia vituo vya habari na walinzi wa ikulu, Polisi wakiua na kubambikiza watu kesi, Watu wenye uelewa hawawezi kukuelewa kamwe.

Samia kwenye moja ya mahojiano yake, alisema anataka legacy yake iwe ni kuwafanya watanzania kujitambua hasa kwenye mambo ya siasa na uraia, nafikiri ameona watanzania wengi hawajui wana uelewa mdogo sana kwenye siasa na ni rahisi sana kuwalaghai.
Samia amefanya mapinduzi baridi,samia na kundi lake woote wanahusika na mauaji ya kipenzi chetu,
 
Jiwe alikuwa Msanii sana, alikuwa anawalaghai watu wasiojielewa, kuwachonganisha Maskini na Matajiri, aliwaaminisha Maskini kuwa Matajiri ndio Chanzo Cha Umaskini wao, na alifanikiwa sana katika hili.
Lakini Nyuma ya Pazia alitengeneza Circle yake ya Upigaji huku akifokea wenzake.

Na Bahati Mbaya sana Wapiga Kura wengi ni watu wasiojitambua
 
Back
Top Bottom