Kwanini Magufuli anachukiwa na CCM, Chadema, ACT, CUF na wasomi wengi ila anapendwa na wanyonge?

Nachoshangaa watu wanasema Magufuli aliharibu nchi wakati katika miaka 60 ya uhuru yeye katawala miaka mitano tu, je hao wengine wamefikisha taifa wapi ukilinganisha na mataifa mengine.
 
Blah blah alikuwa Dikteta Uchwara tuu, Hana maana yeyote
 
Mpuuzi wewe , mnaokoteza viconspiracy theories uchwara huko unaleta hapa Kwa great thinkers , idiot , unajua hata huyo George Soros ni Nani ?

Ndiyo George Soros ndiyo mwenye kufund open society inawafadhili wote, labda nikuulize kwa nini Upinzani haukosoi Serikali ? Hakuna chochote cha kukosoa?

Sababu ni kwamba wote wana one master !
 
Magufulification of Tanzania ni approach iliyoacha maumivu makubwa kwa Oligarchs wengi wa Tanzania kwa sera zake za kuwabeba watu wa tabaka la chini na msisitizo wake juu ya uzalendo kwa Taifa.
Kuna siku kizazi hiki kitakua kinafundishwa Magufulicism Kama moja ya Development approach.
 
Kumbe nilikuwa suhjui
 
Hao unaowaita wanyonge hawamfahamu vizuri JPM
 
Sasa inakuwaje watu hai wapambane na maiti?
Maana yake kuna shida kwenye vichwa vyetu yana tuendelee kupambana na maiti?
Nikweli kabisa mbona alipokuwa hai hawakusema
 
Kama unaumia sana kafukue kaburi lake ukae humo nae mliwazane
 
Hakuna watu wasiojitambua nchi hii kama hawa wanaitwa wasomi. Nje ya kufanywa watumwa na walamba miguu ya wengine hawana jipya.

Hao CCM wanajulikana kwa unafiki wao kwani wao chama ni njia ya kutengeneza deals badala ya kusimamia dira sahihi ya Taifa. Huoni wanasema chama chao kinapambana na rushwa na wakati wao ndo walezi wa rushwa nchi hii.

Wapinzani wao hawajielewi ndo maana kila siku wana kazi ya kuhama vyama na hata ajenda za maana hawana.

Mwacheni Magufuli apumzike kwa amani mema na mabaya Mungu anajua mwenyewe.
 
Hutaki tuzungumzie legacy yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…