Kwanini Magufuli anachukiwa na CCM, Chadema, ACT, CUF na wasomi wengi ila anapendwa na wanyonge?

Nitamkumbuka daima Rais Magufuli kwa kuwa alikuwa mtu mwenye maamuzi na maamuzi mengi yaliwakilisha asilimia 80 ya Wananchi wa Tanzania.
 
Awamu ya fulani nimeisahau jina,Waziri Mkuu alikwenda nchi fulani akakuta vigari vidogo vingi,viswift,visuzuki akaambiwa hivi vigari ndio wanatumia Mawaziri,Waziri Mkuu wetu alishangaa,akaishia kusema kule kwetu basi tu sijui kama inawezekana,Waziri Mkuu lakini alikuwa hana maamuzi🤔
 
Awamu fulani nimeisahau jina Rais aliletewa list ya Mafisadi papa akaishia kusema awa wakiguswa nchi itatikisika.
 
Rais Magufuli alikuwa anasimama anasema Serikali inahamia Dodoma na mara moja ofisi zinaanza kujengwa na Serikali inahamia Dodoma,hakuna longolongo.
 
kujadili legacy ya rais aliyepita ni kupambana na maiti? tunapojadili legacy ya Nyerere ni kupambana na maiti? Mtu akishakuwa kiongozi wa nchi ni sehemu ya historia, atajadiliwa lazima..
Katika kupambana mfano wako hauna maana

Mnapojadili legacy ya Magufuli mnaambiwa mnapambana sababu mnazungumza negatively

Mkizungumzia Nyerere hampambani sababu mnazungumza positively
 
Katika kupambana mfano wako hauna maana

Mnapojadili legacy ya Magufuli mnaambiwa mnapambana sababu mnazungumza negatively

Mkizungumzia Nyerere hampambani sababu mnazungumza positively

Wote nyungu moja , Nyerere aliuwa watu kwa maelfu huku Zanzibar, Rest all in Hell
 
Katika kupambana mfano wako hauna maana

Mnapojadili legacy ya Magufuli mnaambiwa mnapambana sababu mnazungumza negatively

Mkizungumzia Nyerere hampambani sababu mnazungumza positively
Sasa kwani legacy lazima iwe positive? So wanapojadiliwa akina Hitler ni kuwa wanapambana na maiti?
 
Hata kwenye dini wanyonge hatawaingia kwenye ufalme wabinguni
Ndugu yangu, hao wanaoitwa 'wanyonge' na wengi wao kwa kutotambua haki zao za msingi, wataendelea kukumbatia umaskini na kukosekana kwa maendeleo makini kwa nchi zao, kwa miaka mingi ijayo.....that's bitter truth'.
 
Magufuli kama wanyonge wake walikuwa ni majuha na washamba

Wote yeye na wanyonge wenzie walikuwa na akili ya kimasikini,husda na ujima

Waliamini ili maskini aendelee basi tajiri ni lazima ashushwe
Utajiri mwingi Tz ni lazima ufanye figisufigisu, ukwepe kodi, utoe na rushwa !! Ndio utajiri unaochukiwa !! Na sio kweli kwamba matajiri wote Tz wanachukiwa !! Yapo mengi aliyafanya JPM watu wenye akili wakamkubali sana lakini yapo pia mengine alikosea sana !! Binadamu sio malaika ! Hawezi kuwa 100% Perfect !! Mabaya yaachwe mema yaendelezwe !! Haiwezekani ukawa na utajiri unotokana na deals haramu na biashara zingine haramu halafu watu wakupende !! Never !! Watakuwa wanakudanganya tu mbele yako ili wapate wanachokitaka lakini mioyoni wanakuchukia !! That's it !!
 
Wajinga ndiyo waliwao.
 
Asilimia kubwa ya wanaomchukia JPM wapo humu JF, cha ajabu asilimia kubwa mitaani watu wanamkubali na kumkumbuka sana.

Yawezekana kuna watu wachache walioteseka na utawala wake hasa wale wapiga dili wameamua kuunda magenge ya machawa na ID fake nyingi humu kuonyesha chuki zao kwa mwendazake.

Kwahiyo ndugu yangu hakuna namna ni kuwazoea tu na kuwachukulia poa na chuki zao. Sitoshangaa nikiona mda sio mrefu wanaishambulia hii comment na kuniita sukuma gang ingawa ni kijana muungwana kabisa wa kisiwani mafia. Ni hayo tu...
 
Wewe kenge, kwanza kuitwa mnyonge ni matusi!
Mnyonge ni mtu wa namna gani kwanza?
Yule alikuwa anawapumbaza tu na kichwani hakuwa vyema!
Tukatae kabisa tunapomuona mtu anawaita wengine wanyonge!
 

Ilikuwaje kwenye uchaguzi akalitumia jeshi, Polisi, Usalama kuiba kura Na kuuwa watu ili kubaki madarakani? Kama watu wanampenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…