Kuna mda huwa njiuliza najiona kuwa sisi waafrica ni wajinga na tusiojielewa kabiasa.
Hebu fikiria mtu alikuwa anaitwa labda mfumta, mkuyange, kilamuhama etc anaamua kuacha na jina lake eti ni la kishetani na kusnza kuitwa john, abdul au isack kisa amebatizwa au ameslim. Huu ni ujinga kabisa. Ina maana mungu hatambui waafrica anatambua wzungu tu na waarabu?
Unakuta mtu yuko busy na kanisa/ msikiti utafikiri kauleta yeye kumbe ni ujinga tu.
Achaneni na culture za kizungu ndo maama mnafanywa mashoga na watu wa kujitoa mhanga kisa ujinga wenu
Hata usitulaumu sisi walaumu wazee wetu!,inavyoonyesha tamaduni yetu ilikuwa ni dhaifu sana ndio maana ikawa ni rahisi kuingilika natamaduni nyengine!.. wazee wetu hawakuwa wazuri ktk tamaduni zao!.Kuna mda huwa njiuliza najiona kuwa sisi waafrica ni wajinga na tusiojielewa kabiasa.
Hebu fikiria mtu alikuwa anaitwa labda mfumta, mkuyange, kilamuhama etc anaamua kuacha na jina lake eti ni la kishetani na kusnza kuitwa john, abdul au isack kisa amebatizwa au ameslim. Huu ni ujinga kabisa. Ina maana mungu hatambui waafrica anatambua wzungu tu na waarabu?
Unakuta mtu yuko busy na kanisa/ msikiti utafikiri kauleta yeye kumbe ni ujinga tu.
Achaneni na culture za kizungu ndo maama mnafanywa mashoga na watu wa kujitoa mhanga kisa ujinga wenu
Walioleta tabia za kufukua mifereji ya kunduchi ni waarabuKuna mda huwa njiuliza najiona kuwa sisi waafrica ni wajinga na tusiojielewa kabiasa.
Hebu fikiria mtu alikuwa anaitwa labda mfumta, mkuyange, kilamuhama etc anaamua kuacha na jina lake eti ni la kishetani na kusnza kuitwa john, abdul au isack kisa amebatizwa au ameslim. Huu ni ujinga kabisa. Ina maana mungu hatambui waafrica anatambua wzungu tu na waarabu?
Unakuta mtu yuko busy na kanisa/ msikiti utafikiri kauleta yeye kumbe ni ujinga tu.
Achaneni na culture za kizungu ndo maama mnafanywa mashoga na watu wa kujitoa mhanga kisa ujinga wenu
Ulimbukeni tu.Na sasa ujinga wa kuiga majina ya kwenye muvi umetamalaki.Kuna mda huwa njiuliza najiona kuwa sisi waafrica ni wajinga na tusiojielewa kabiasa.
Hebu fikiria mtu alikuwa anaitwa labda mfumta, mkuyange, kilamuhama etc anaamua kuacha na jina lake eti ni la kishetani na kusnza kuitwa john, abdul au isack kisa amebatizwa au ameslim. Huu ni ujinga kabisa. Ina maana mungu hatambui waafrica anatambua wzungu tu na waarabu?
Unakuta mtu yuko busy na kanisa/ msikiti utafikiri kauleta yeye kumbe ni ujinga tu.
Achaneni na culture za kizungu ndo maama mnafanywa mashoga na watu wa kujitoa mhanga kisa ujinga wenu
Ujinga unaanza na wewe uliyekubali kwenda shule kusoma.Kuna mda huwa njiuliza najiona kuwa sisi waafrica ni wajinga na tusiojielewa kabiasa.
Hebu fikiria mtu alikuwa anaitwa labda mfumta, mkuyange, kilamuhama etc anaamua kuacha na jina lake eti ni la kishetani na kusnza kuitwa john, abdul au isack kisa amebatizwa au ameslim. Huu ni ujinga kabisa. Ina maana mungu hatambui waafrica anatambua wzungu tu na waarabu?
Unakuta mtu yuko busy na kanisa/ msikiti utafikiri kauleta yeye kumbe ni ujinga tu.
Achaneni na culture za kizungu ndo maama mnafanywa mashoga na watu wa kujitoa mhanga kisa ujinga wenu
Tukisema tulilazimishwa ni uwongo,kama tulilazimishwa kuwaje mpaka leo tunayatumia?ni nani leo anamlazimisha Mtanzania amwite mwanae jina la kigeni?Kanisa Katoliki halibatizi mtoto jina la Kiafrika?alikudanganya nani!!Tulilazimishwa, sema ndio hivyo hatufundishwi historia ya jinsi hao mabwana walivyokuwa mafedhuli.
Mpaka sasa kanisa katoliki hawabatizi mtoto akiwa na jina la kiafrika, watajishaua kuwa unaweza kuchagua jina la mtakatifu wa kiafrika, lakini hao pia majina yao sio ya kiafrika.
Enzi hizo za mkoloni huduma zote muhimu kama elimu na afya ziliachwa zifanywe na wamishenari. Kwahiyo mababu zetu hawakuwa na namna.
Laiti jina lako halisi lingekuwa Hussein alafu la kiarabu lingekuwa Ntutufye bado ungekataa kuitwa HusseinWeee! Kwa hiyo niache kuitwa Hussein na kuvaa kobaz na kubadili rafudhi yangu yakiarabu na kuvaa balagashea na kunywa kahawa ya kugongea( kujiombeleza) kijiweni nirudi kwenye jina langu la zamani Ntuntufye. Sahau hili kabsa
Hakuna shida mtu akiitwa mboruwe na akatibiwa hosp. Hosp sio kwa ajili ya jina ni kwa ajili ya binadamu.Ukiugua pia usiende hosp ukatibiwe na kalumanzira
Hivi ni tamaduni dhaifu au sisi (waafrika) ndo dhaifu? Kwa mtazamo wangu Waafrika ni watu dhaifu sana hasa waafrika wenye ngozi nyeusi.Hata usitulaumu sisi walaumu wazee wetu!,inavyoonyesha tamaduni yetu ilikuwa ni dhaifu sana ndio maana ikawa ni rahisi kuingilika natamaduni nyengine!.. wazee wetu hawakuwa wazuri ktk tamaduni zao!.
ilitakiwa tufuate mazuri ya tamaduni nyengine ila yale mazuri ya kwetu tusiyaache!. ukweli ni kuwa wenzetu walitukuta tukiwa bado hatujastaarabika na ndio maana wazee walirubunika you just imagine walikuja africa tayari wakiwa na mitutu(bunduki),mashua walikuwanazo tayari,tren huko kwao walikuwanazo tayari. sisi huku ndo kwanza tunaamini uchawi wakisema maji ili risasi ibadilike iwe maji!.
tamaduni dhaifu ni dhaifu tu!.