Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenda kusoma kunahusiana vipi na kuwa na ulimbukeni wa kushobokea majina ya asili ya watu wengine?Ujinga unaanza na wewe uliyekubali kwenda shule kusoma.
Kwanini ukasome!? Kusoma ni ulimbukeni na kushobokea culture za watu, asili yako haikuwa na shule wewe!.Kwenda kusoma kunahusiana vipi na kuwa na ulimbukeni wa kushobokea majina ya asili ya watu wengine?
Kwani nikisoma lazima niitwe John ama David? Si ninaweza kusoma lakini bado nikabaki na jina la asili yangu?
Nani alikwambia kusoma ni culture ya watu weupe?Kwanini ukasome!? Kusoma ni ulimbukeni na kushobokea culture za watu, asili yako haikuwa na shule wewe!.
Ingekuwa kuiga majina kunamfanya mtu awe na maendeleo basi angalau ningekuelewa.Kwanini ukasome!? Kusoma ni ulimbukeni na kushobokea culture za watu, asili yako haikuwa na shule wewe!.
Unazingua mkuu 😂😂😂Kuna mjinga mmoja ana watoto wa3
Merlin
Jumong na
Jplus.
Sasa najiulizaga haya majina yanamsaidia nini, na unakuta anawaita huku anafurahi balaa....
Elimu uliletewa na nani wewe!? Au unajikurupusha tu!?Nani alikwambia kusoma ni culture ya watu weupe?
Hivi kumbe hukubahatika kufika hata kidato cha nne tu hata kama ungefeli?
Zama na zama kulikuwa na formal na informal education ambazo jamii za kale kabisa za Kiafrika zilikuwa ziki practice.
Unajua huhitaji kunielewa mimi wewe!Ingekuwa kuiga majina kunamfanya mtu awe na maendeleo basi angalau ningekuelewa.
Mfano mwanao ukamuita Elon halafu akawa na ukwasi kama wa Elon ningekuelewa hoja ya kuiga na kushoboka na majina ya watu wengine nakuacha ya kwenu.
Lakini hata ingekuwa tumeiga elimu bado inaweza kuleta common sense maana elimu inakusaidia wewe binafsi na inatoa matokeo chanya tofauti na kuiga jina ambalo halikupi matokeo chanya kwenye maisha yako.
Elimu ilikuwepo enzi na enzi unless wewe ni kilaz,a kabisa hujafika hata darasa la tatu.Elimu uliletewa na nani wewe!? Au unajikurupusha tu!?
Kama hujaelewa nilichoandika inasadifu kile ninachokifikiria namna ulivyo empty head.Unajua huhitaji kunielewa mimi wewe!
Sasa hiyo "common sense" nini wewe mtu wa kudumu !?
Wale Mabwana vitambi vyeupe walikuwa mafedhuli sana. Lakini pia wazee wetu walikuwa dhaifu na mila na tamaduni zetu za kiafrika zilikuwa dhaifu na zilizojaa mambo mengi ya upofu wa akili na ukatili. Ndo maana watu wa walipopata mwanya wa mbadala ilikuwa rahisi sana. Imagine mfalme akifa anazikwa na watu hai ili wamsindikize. Au mtoto akizaliwa albino au akitanguliza miguu wakati wa kuzaliwa ananyonga ili asilete balaa. Imagine hadi kuna watu wanaamini ili Simba na Yanga washinde lazima wafanye dumba. sasa enzi hizo za akina babu giza juu ya Afrika lilikuwaje???Kuna mda huwa njiuliza najiona kuwa sisi waafrica ni wajinga na tusiojielewa kabiasa.
Hebu fikiria mtu alikuwa anaitwa labda mfumta, mkuyange, kilamuhama etc anaamua kuacha na jina lake eti ni la kishetani na kusnza kuitwa john, abdul au isack kisa amebatizwa au ameslim.
Huu ni ujinga kabisa. Ina maana mungu hatambui waafrica anatambua wzungu tu na waarabu?
Unakuta mtu yuko busy na kanisa/ msikiti utafikiri kauleta yeye kumbe ni ujinga tu.
Achaneni na culture za kizungu ndo maama mnafanywa mashoga na watu wa kujitoa mhanga kisa ujinga wenu
Matokeo ya la7 yametoka na jplus amefaulu, ukiangalia vzr utaona jina lakeUnazingua mkuu 😂😂😂
Empty Head ndio nini!?Kama hujaelewa nilichoandika inasadifu kile ninachokifikiria namna ulivyo empty head.
Unaonekana una shobo na majina ya watu weupe huku wewe ukiwa rangi ya jongoo ila tu hujiamini na huipendi asili yako.
Wewe ni mtumwa tu kama watumwa wengine, ancestors wako walijua kusoma na kuandika wewe mtumwa!?Elimu ilikuwepo enzi na enzi unless wewe ni kilaz,a kabisa hujafika hata darasa la tatu.
Elimu haijaletwa na wazungu bali imeboreshwa tu lakini enzi na enzi elimu ipo.
Culture ndio nini wewe mtumwa!?Nani alikwambia kusoma ni culture ya watu weupe?
Hivi kumbe hukubahatika kufika hata kidato cha nne tu hata kama ungefeli?
Zama na zama kulikuwa na formal na informal education ambazo jamii za kale kabisa za Kiafrika zilikuwa ziki practice.
Ni upuuzi angalau akina twambombo na wasukuma wamejitahidi kutoyatupa marina yao nenda huko pwani sasa sijui farhatt yaani upuuzi mtupu,mi nina jina la kizungu ila ningekuwa na uwezo wa kujipa la kwangu ningejiita Ipyana.Jikite kwenye mada
"Kwa nini majina yetu asili tuliyakana na kuona ya wazungu/waarabu ndo yanafaa?"
Mtoa mada hii uliyonayo Kimakonde inaitwa 'Nyongo'yaani katika mawazo ya kijinga ni haya ya kuchukia sijui majina ya kizungu sijui kiarabu wakati huo huo hawa wachukizwa wana miliki magali televisheni suti wakiumwa wanakimbilia mahospitali unakataa majina huku kuna vitu chungu mzima unavikubali kwani hayo majina ya kiafrika ukiitwa yanaathali gani kwenye maisha yako?Kuna mda huwa njiuliza najiona kuwa sisi waafrica ni wajinga na tusiojielewa kabiasa.
Hebu fikiria mtu alikuwa anaitwa labda mfumta, mkuyange, kilamuhama etc anaamua kuacha na jina lake eti ni la kishetani na kusnza kuitwa john, abdul au isack kisa amebatizwa au ameslim.
Huu ni ujinga kabisa. Ina maana mungu hatambui waafrica anatambua wzungu tu na waarabu?
Unakuta mtu yuko busy na kanisa/ msikiti utafikiri mailers yeye kumbe ni ujinga tu.
Achaneni na culture za kizungu ndo maama mnafanywa mashoga na watu wa kujitoa mhanga kisa ujinga wenu