Hata usitulaumu sisi walaumu wazee wetu!,inavyoonyesha tamaduni yetu ilikuwa ni dhaifu sana ndio maana ikawa ni rahisi kuingilika natamaduni nyengine!.. wazee wetu hawakuwa wazuri ktk tamaduni zao!.
ilitakiwa tufuate mazuri ya tamaduni nyengine ila yale mazuri ya kwetu tusiyaache!. ukweli ni kuwa wenzetu walitukuta tukiwa bado hatujastaarabika na ndio maana wazee walirubunika you just imagine walikuja africa tayari wakiwa na mitutu(bunduki),mashua walikuwanazo tayari,tren huko kwao walikuwanazo tayari. sisi huku ndo kwanza tunaamini uchawi wakisema maji ili risasi ibadilike iwe maji!.
tamaduni dhaifu ni dhaifu tu!.