Kwanini majina yetu asili tuliyakana na kuona ya wazungu/waarabu ndo yanafaa?

Pole sana aisee, umeathiriwa pakubwa na imani za majahazi. Mtu mweusi utaendelea siku utayorudi kwenye asili yako maana huko ndipo zilipo nguvu zako.
 
ephen_ we ni nani..? why your so active anytime..? kila uzi upo namashaka nawewe!..πŸ˜…
Jikite kwenye mada

"Kwa nini majina yetu asili tuliyakana na kuona ya wazungu/waarabu ndo yanafaa?"​

 
Shida ilianza kipinfi nyerere anatunganisha kkwa lugha moja ya swahili na kuachana na ukabila.
 
Swala lipo kwenye power of influence yaani nguvu ya ushawishi.
Wazungu na waarabu wametutawala.
Ila sio hivyo tuh kwenye majina hata uvaaji n.k, sasa umebadilika sababu ya utandawazi.
Hivyo kuna vitu ambavyo vinatubadili sababu ya ushawishi na utandawazi.
 
wetu!,inavyoonyesha tamaduni yetu ilikuwa ni dhaifu sana ndio maana ikawa ni rahisi kuingilika natamaduni nyengine!.. wazee wetu hawakuwa wazuri ktk tamaduni zao!.
Wewe Jamaa nime 🀣🀣🀣🀣🀣 mbavu sina aisee
 
Majina ya kiafrika ni magumu hata kutamka mkuu, "Palamagamba, kingunge, etc" ukishatamka tu mara moja unaanza hisi njaa hiyo hapa
 
Kama.umegundua tatizo ,Si ubadilke Sasa! Wazee wetu hawakuwa na exposure Wala Elimu kubwa,.sisi tunaelimu na exposure ,tunashindwa Nini ...hivi kuwa Mkristo ni lazima uitwe John au Brian au uwe Muislam uitwe Rajab,Hassan ,nk
 
Hizo ni imani tu na hazina ukweli wowote. Kwanza siku hizi watu tuna majina yetu ya kitaa tofauti kabisa na tuliyopewa kanisani au msikitini na yanafanya vizuri tu.
 
Kama.umegundua tatizo ,Si ubadilke Sasa! Wazee wetu hawakuwa na exposure Wala Elimu kubwa,.sisi tunaelimu na exposure ,tunashindwa Nini ...hivi kuwa Mkristo ni lazima uitwe John au Brian au uwe Muislam uitwe Rajab,Hassan ,nk
sasa mi nibadilike mara ngapi
 

Kwahiyo Kaswizo na mababu wote walikua washenzi tu hakuna hata mmoja alikua mwema? Watoto wanaiga mabaya tu sio mazuri?

Theory yako haina tofauti na ile ya ukimcheka maskini na wewe utakua maskini ila ukimcheka tajiri huwi tajiri.

Kuamini jina linarithisha tabia ni uzwazwa kiwango cha juu.
 
Mimi natumia ya kwangu ya asili kabisa:
Umkhontowesizwe Nkulukumbi Libangandonde βœ”οΈ
 
Mimi ni mkatolik kati ya watoto wanne kuzaliwa ni mmoja ndio anajina lakizungu
 
Kuna dada tulisoma nae alikuwa anaitwa atupakisiege swege swila. Sasa jina kama hilo kulitamka ni mtiti yani walimu wengi walikuwa wanahangaika sana kulitamka.

Yeye mwenyewe alipenda kujiits atu.
Sasa unakuta mtu anaitwa kapumbu au musenge kakuma.. haaaaaahaaaaa hamna aise bora niendelee kujiita ommy.
 
Kwa haujui sisi ngozi nyeusi bado tupo utumwani?
 
Ni ujinga tu,kudhani majina ya kizungu na kiarabu ndio yanafaa mbele za Mungu! Hayanaga maana yoyote zaidi ya kupoteza asili yako,watu wamepitiliza mpaka wanawapa watoto wao majina ya rayvan, Diamondi Platnumz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…