Kwanini Makamba na Byabato wametolewa wote Wizara ya Nishati na wote kupelekwa Wizara ya Mambo ya Nje?

Sawa, inamtosha hiyohiyo na sasa anazidi kuchanja mbuga.......huku nyie mkiendelea kubaki nyumbani na dada zenu mkimpigia umbea!!
Hakuna mbuga yoyote aliyochanja kuwa mambo ya nje kawaida Sana mbona Staragomena kaingia na sasa kaondoka?

Huyo mtu wenu hafai na hasafishiki
 
Hii nchi at least Jeshi la polisi lichukue nchi( ni ngumu,ila iwe for the first time duniani),ila JW ni ccm watiifu...kweli baraza la mawaziri na ... Hamna lolote
 
Kwa kuiacha nchi gizani hatutomsamehe tutamzungumzia Tu kama moja ya waziri kilaza kuwahi kutokea nishati
Sikiliza bro, Mkataba wa LNG kuanzia zero mpaka sasa hivi wanasign nani Waziri wa Nishati? FDI ya $40Billion haijawahi kutokea nchi hii.

Ukiwasililiza watu humu utafikiri Makamba hajafanya kitu.

Tanesco makes sense business wise now. Unaweza kupeleka mahesabu yake NYSE na ikawa listed. Lakini juhudi za Maharage wachumba chumvi hawazioni.

Sasa hivi hii nchi ina SHERIA ya Nishati safi ya kupikia. Mabadiliko ya tabia nchi tutaokoa miti mingapi tukiachana na kuni? Ila ooh Makamba hafanyi kitu.

Transmission lines kilometa ngapi zimejengwa wakati wa Makamba vs Waziri yoyote wa Nishati.

Pound to pound January kihistoria atakuja kuwa Waziri bora wa Nishati nchi hii haijapata kutokea.

Nimekaa paleeeeeeee.
 
Aaah Selemani weeeh!
Aaah Sele!

Mirungi! Mishisha!
Mibangi Selemani...!!
 
Back
Top Bottom