TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Mambo yangekuwa yanakwenda vizuri asingetolewa pale ili akamilishe alichokianza Ila baada ya mambo kwenda mrama wameamua kumpeleka sehemu ambayo hatoonekana sana kufeli kwake.Sikiliza bro, Mkataba wa LNG kuanzia zero mpaka sasa hivi wanasign nani Waziri wa Nishati? FDI ya $40Billion haijawahi kutokea nchi hii.
Ukiwasililiza watu humu utafikiri Makamba hajafanya kitu.
Tanesco makes sense business wise now. Unaweza kupeleka mahesabu yake NYSE na ikawa listed. Lakini juhudi za Maharage wachumba chumvi hawazioni.
Sasa hivi hii nchi ina SHERIA ya Nishati safi ya kupikia. Mabadiliko ya tabia nchi tutaokoa miti mingapi tukiachana na kuni? Ila ooh Makamba hafanyi kitu.
Transmission lines kilometa ngapi zimejengwa wakati wa Makamba vs Waziri yoyote wa Nishati.
Pound to pound January kihistoria atakuja kuwa Waziri bora wa Nishati nchi hii haijapata kutokea.
Nimekaa paleeeeeeee.
Nishati safi ya kupikia ni siasa kama siasa zingine zilizopita mfano kilimo kwanza sijui matokeo makubwa sasa😁acheni kufanya maisha ya watu usanii hiyo gesi bibi yangu uwezo wa kununua na kutumia hana ugawaji wa mitungi ndio unakupa mihemko acheni kucheza na maisha ya watu.