Sawa kabisa boss umepatia: Elimu kwa kweli sina kabisa, wala siyo siri, maana hata ile ya form four nayo nilizungusha.Huna hoja na hujui kitu.Rudi darasani ukijua hiyo sababu ndio inafanana na Tanesco
Lakini msomi, ninahitaji niwe na elimu yoyote ili niweze kuwaona wahuni wakitengeneza maji feki huku mitaani?