A Algore JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 2,363 Reaction score 3,795 Sep 1, 2023 #41 ChoiceVariable said: Huna hoja na hujui kitu.Rudi darasani ukijua hiyo sababu ndio inafanana na Tanesco Click to expand... Sawa kabisa boss umepatia: Elimu kwa kweli sina kabisa, wala siyo siri, maana hata ile ya form four nayo nilizungusha. Lakini msomi, ninahitaji niwe na elimu yoyote ili niweze kuwaona wahuni wakitengeneza maji feki huku mitaani?
ChoiceVariable said: Huna hoja na hujui kitu.Rudi darasani ukijua hiyo sababu ndio inafanana na Tanesco Click to expand... Sawa kabisa boss umepatia: Elimu kwa kweli sina kabisa, wala siyo siri, maana hata ile ya form four nayo nilizungusha. Lakini msomi, ninahitaji niwe na elimu yoyote ili niweze kuwaona wahuni wakitengeneza maji feki huku mitaani?