babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Bil 22 sio 2 ,
Kwasasa ni kuwa wapenzi watazamaji tu
Kwasasa ni kuwa wapenzi watazamaji tu
Hilo jamaa ni jinga sana, ndiomaana na elimu yake yote limeishia kuwa li chawa na wenzie wamelitosa, hata kulipa ukatibu kata wamegoma.Mwandishi mwandamizi akiandika utumbo wake....Inasikitisha.
Sio kila kitu huwa kinasemwa, mimi ni mtu wa media, publicity na visibility, ukiona chuo kikuu pekee cha. Kiislamu cha Tanzania kama nchi, hakionekani kwenye matukio yoyote, hakishiriki maonesho ya TCU, hakionekani kwenye media, hakitoi matangazo yoyote hata ya udahili, hakitangazi graduation yake yoyote, wakati counter part wake SUZA wa Zanzibar ana shine, then, usisubiri kuambiwa, ni unaelewa tuu kiko kwenye hali gani.Kwahiyo chuo kimekufa hadi useme wameshindwa ku run?
Kwani huyo Makonda hizo ni pesa zake?Tafuta pesa zako ujenge chuo
Una uhakika walipewa hayo majengo..Mkuu kwanini umpagie, yeye kaona fursa akijenga msikiti wa kutalii wewe unataka awajengee chuo kikuu cha Kiislamu, mbona manpenda vitu vya bure, yaani pamoja na Mkapa kuwapa majengo ya Tanesco ili mufungue chuo kikuu cha Kiislamu bure hadi sasa hamna chuo kikuu kingine chochote ili hali matajiri wakubwa nchini ,asilimia 90 ni waislamu si mhamamisheni mjenge vyuo vikuu wengi, wakristo karibu madhehebu makubwa yote yana vyuo vikuu vyao, hospitali za rufaa zao, sasa mashehe wenu wamebaki kuimba mapambio wakija shtuka itakuwa imekula kwao.
Pasco wewe ni ngumu kuaminika huna tofauti na Diblo wa lindi, ulituaminisha humu next prezidaa ni Emmanuele, kiko wapi sasa?Sio kila kitu huwa kinasemwa, mimi ni mtu wa media, publicity na visibility, ukiona chuo kikuu pekee cha. Kiislamu cha Tanzania kama nchi, hakionekani kwenye matukio yoyote, hakishiriki maonesho ya TCU, hakionekani kwenye media, hakitoi matangazo yoyote hata ya udahili, hakitangazi graduation yake yoyote, wakati counter part wake SUZA wa Zanzibar ana shine, then, usisubiri kuambiwa, ni unaelewa tuu kiko kwenye hali gani.
P
B2 ijenge chuo????Naungana nawe mtoa mada, angejenga chuo, au hata kituo cha afya kwa kuanzia kama ilivyo kwa upande wa Misheni
Huyu mbona kama amekalia kitu kigumu chenye ncha butu kikiwa kimezama kabisa kinyeoni.Sisi tunataka kuswali kwenda Firdausi.....tukiumwa tutatibiwa kwenye hospital za WAKIRISTO.....
View attachment 3684541