Kwanini Makonda asijenge Muslim University badala ya Msikiti wa zaidi ya Tsh. Bilioni 2 pekee?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii?

Sh bilioni 2 zinaweza kuwa mwanzo wa taasisi ya elimu yenye kizazi baada ya kizazi.
1. Chuo kinajenga watu, si jengo pekee.
Msikiti unatoa nafasi ya ibada, lakini chuo kinaweza kuzalisha madaktari, wahandisi, walimu, wanasheria, wataalamu wa TEHAMA, wachumi na watafiti.

2. Elimu ni msingi wa maendeleo ya jamii.
Waislamu Tanzania wanahitaji taasisi imara zinazowawezesha vijana kupata elimu ya juu yenye ubora huku wakihifadhi misingi ya maadili na elimu ya Kiislamu.

3. Chuo kinaweza kuwa urithi wa muda mrefu.
Jengo la msikiti linaweza kudumu kwa miaka mingi, lakini chuo kinaweza kuendelea kutoa maelfu ya wahitimu kila mwaka. Wahitimu hao nao wataendelea kutoa huduma kwa jamii.
Chuo kinaweza kuchanganya Dini na sayansi.
4. Badala ya kuwa chuo cha masomo ya dini pekee, kinaweza kuwa na Medicine, Engineering, ICT, Education, Law, Business, Agriculture, Marine Sciences na Islamic Studies. Hii inaweza kuonyesha kwamba Uislamu na elimu ya kisasa vinaweza kwenda pamoja.
Kinaweza kutatua tatizo la ajira na ujuzi.

5. Chuo kinahitaji wahadhiri, watafiti, watendaji na wataalamu mbalimbali, na baadaye wahitimu wake wataingia katika sekta mbalimbali za uchumi.
Kinaweza kuwa kituo cha utafiti wa matatizo ya Tanzania.

6. Chuo kinaweza kufanya tafiti kuhusu umaskini, afya, mazingira, kilimo, uvuvi, teknolojia, elimu na uchumi—na kutoa suluhisho linalotokana na mazingira ya Tanzania.
7. Msikiti unaweza kujengwa ndani ya chuo na ukawa unavutia watalii na wasomi mbali mbali
 
Makonda hana akili na anaowajengea synagogue hawana akili. Tangu uhuru hadi leo mna chuo kikuu kimoja tu, nacho mlipewa zawadi na Mkapa
 
Kwasababu anajua Masheikh wengi wanapenda Tende na wale Kondoo wa sadaka.

Kama lipo tusi ambalo limeelekezwa kwa Waislam hakuna kubwa kuliko hili.

Kwanini isiwe Shule,Hospitals,Chuo.....
 
Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii?
Msimpangie!, kama ni Muslim university, wamepewa majengo bure na serikali pale Moro, wameshindwa ku run, msikiti hauhitaji utaalam to run, unahitaji tuu jengo, watu waswali waingie peponi.
P
 
Hawa ni mazuzu, wanaomba wapewe darubini ya kuangalia mwandamo wa mwezi.
Hawataki shule, vyuo wala mahospitali.
 
Kila mmoja ana plan zake na mfumo wake ,kama chuo walipewa wameshindwa kukiendeleza hicho atakachojenga kitaendeshwa na nani,acha afanye kama alivyoonaa inafaa
 
Ushauri wako ni mzuri.
Alafu raha akijenga chuo ndani ya chuo kutakuwa na msikiti.

Watu wataswali.
Watu watapata huduma ya elimu
Watu watapata ajira

Msikiti hata ijengwe nchi nzima ni kama makanisa tuu. Haina faida kubwa. Kwani maadili watu wanaweza kuyapata hata nyumbani ikiwa wazazi walisoma na kuzingatia dini husika
 
Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii?

Sh bilioni 2 zinaweza kuwa mwanzo wa taasisi ya elimu yenye kizazi baada ya kizazi.
1. Chuo kinajenga watu, si jengo pekee.
Msikiti unatoa nafasi ya ibada, lakini chuo kinaweza kuzalisha madaktari, wahandisi, walimu, wanasheria, wataalamu wa TEHAMA, wachumi na watafiti.

2. Elimu ni msingi wa maendeleo ya jamii.
Waislamu Tanzania wanahitaji taasisi imara zinazowawezesha vijana kupata elimu ya juu yenye ubora huku wakihifadhi misingi ya maadili na elimu ya Kiislamu.

3. Chuo kinaweza kuwa urithi wa muda mrefu.
Jengo la msikiti linaweza kudumu kwa miaka mingi, lakini chuo kinaweza kuendelea kutoa maelfu ya wahitimu kila mwaka. Wahitimu hao nao wataendelea kutoa huduma kwa jamii.
Chuo kinaweza kuchanganya Dini na sayansi.
4. Badala ya kuwa chuo cha masomo ya dini pekee, kinaweza kuwa na Medicine, Engineering, ICT, Education, Law, Business, Agriculture, Marine Sciences na Islamic Studies. Hii inaweza kuonyesha kwamba Uislamu na elimu ya kisasa vinaweza kwenda pamoja.
Kinaweza kutatua tatizo la ajira na ujuzi.

5. Chuo kinahitaji wahadhiri, watafiti, watendaji na wataalamu mbalimbali, na baadaye wahitimu wake wataingia katika sekta mbalimbali za uchumi.
Kinaweza kuwa kituo cha utafiti wa matatizo ya Tanzania.

6. Chuo kinaweza kufanya tafiti kuhusu umaskini, afya, mazingira, kilimo, uvuvi, teknolojia, elimu na uchumi—na kutoa suluhisho linalotokana na mazingira ya Tanzania.
7. Msikiti unaweza kujengwa ndani ya chuo na ukawa unavutia watalii na wasomi mbali mbali
Ninachosikitika ni kwamba ukute wewe hapo unafanya kazi chini ya ofisi ya kata na una akili hivi ila Makonda ni waziri wa michezo😭😭😭😭
 
Bakwata ndio mzigo
Wao wanajua msikiti gharama sio kubwa kama vyuo
Wao wanajua sadaka za masjid tu ila vyuo nani ataongoza?
Kuendeleza shule inataka uangalizi mkubwa sana na management ya uhakika

Kweli wanafunzi watalipa Ada lakini …
 
Back
Top Bottom