Jamiitrailer
Senior Member
- Oct 20, 2019
- 190
- 452
Suala
Msikiti ni sehemu ya kufanya ibada ili kuwaweka waislam sawa kiroho. Jukumu la ujenzi wa msikiti ni la waumini,...wazo la ujenzi linaanzishwa na kukamilishwa na waumini wenyewe kupitia vyanzo mbalimbali,... na kamwe serikali haitakiwi instigator wa jambo lenyewe namna alivyofanya Makonda.
Wanaosema Makonda na serikali ilitakiwa itumie hizo fedha kwa ajili ya ujenzi au kuendeleza chuo kikuu kitakachotoa elimu kwa vijana wako sahihi 100% kwa sababu kukuza masuala ya elimu ni jukumu la moja kwa kwa moja.
Suala la kusema eti Makonda asipangiwe cha kufanya kwa sababu serikali ilishawahi kujihusisha na ujenzi wa chuo kikuu cha kiislam Morogoro, ambacho unadai hakijaendelezwa kivile ,siyo hoja.
Hoja ilitakiwa serikali ijiulize inafanyaje ili kupatikane matokeo chanya inaposhirikiana na taasisi za kidini katika kuendeleza na kuboresha elimu nchini.
Kwa hiyo serikali na Makonda waachwe watumie rasilimali fedha na muda eti kujenga eneo la ibada,kuwaboresha watu kiroho wakati siyo jukumu la serikali, na kukwepa jukumu la kuwaboresha kijamii na kiuchumi kupitia ujenzi wa chuo kikuu walivyoshauri baadhi ya wadau?
Tatizo la serikali ya Tanzania ni lile lile miaka nenda rudi, kufanya matukio mepesi kwa lengo la kupata uungwaji mkono kisiasa....cheap politics.
Ila nimefurahi,this time around watu wameshtuka kupigwa ganzi za kitoto lama kujengewa msikiti ili kuwasahaulisha mambo ya msingi.
Paschal, siyo jukumu la waziri na serikali kuboresha maisha ya watu kiroho ili kuifikia pepo.Msimpangie!, kama ni Muslim university, wamepewa majengo bure na serikali pale Moro, wameshindwa ku run, msikiti hauhitaji utaalam to run, unahitaji tuu jengo, watu waswali waingie peponi.
P