Kwanini Makonda asijenge Muslim University badala ya Msikiti wa zaidi ya Tsh. Bilioni 2 pekee?

Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii?

Sh bilioni 2 zinaweza kuwa mwanzo wa taasisi ya elimu yenye kizazi baada ya kizazi.
1. Chuo kinajenga watu, si jengo pekee.
Msikiti unatoa nafasi ya ibada, lakini chuo kinaweza kuzalisha madaktari, wahandisi, walimu, wanasheria, wataalamu wa TEHAMA, wachumi na watafiti.

2. Elimu ni msingi wa maendeleo ya jamii.
Waislamu Tanzania wanahitaji taasisi imara zinazowawezesha vijana kupata elimu ya juu yenye ubora huku wakihifadhi misingi ya maadili na elimu ya Kiislamu.

3. Chuo kinaweza kuwa urithi wa muda mrefu.
Jengo la msikiti linaweza kudumu kwa miaka mingi, lakini chuo kinaweza kuendelea kutoa maelfu ya wahitimu kila mwaka. Wahitimu hao nao wataendelea kutoa huduma kwa jamii.
Chuo kinaweza kuchanganya Dini na sayansi.
4. Badala ya kuwa chuo cha masomo ya dini pekee, kinaweza kuwa na Medicine, Engineering, ICT, Education, Law, Business, Agriculture, Marine Sciences na Islamic Studies. Hii inaweza kuonyesha kwamba Uislamu na elimu ya kisasa vinaweza kwenda pamoja.
Kinaweza kutatua tatizo la ajira na ujuzi.

5. Chuo kinahitaji wahadhiri, watafiti, watendaji na wataalamu mbalimbali, na baadaye wahitimu wake wataingia katika sekta mbalimbali za uchumi.
Kinaweza kuwa kituo cha utafiti wa matatizo ya Tanzania.

6. Chuo kinaweza kufanya tafiti kuhusu umaskini, afya, mazingira, kilimo, uvuvi, teknolojia, elimu na uchumi—na kutoa suluhisho linalotokana na mazingira ya Tanzania.
7. Msikiti unaweza kujengwa ndani ya chuo na ukawa unavutia watalii na wasomi mbali mbali
Vp! We kafiri unapinga NYUMBA YA KUBINUA VIJAMBIO...SISI WAISLAMU TUNATAKA KUBIMUA VIJAMBIO ..TUME MISS KUJAMBISHWA NA SHETANI ...hayo mambo ya vyuo ni BOKOHARAMU KWETU.
 
Safi sana.
Ikiwezekana ajenge na Al Kaaba kama walivyofanya wahouthi kule Yemen. Wamejenga al kaaba yao mambo yasiwe mengi. Hakuna kumpelekea Msaudi hela za bure

Vyovyote tu mkuu tutaenda hivyo hivyo.
 
Bilioni 21, siyo 2 sheikh, wale makatoliki wa arusha waliojenga lijikanisa la mabilioni sijui 70 na ngapi mbona hamkuwaambia wajenge chuo au kiwanda? Yaani makafiri watupite kwa ma vyuo, mashule, ma hospitali hadi na masinagogi watupite? Hapana sheikh! Tena ujengwe wa ghorofa 20 kwenda juu, makafiri popote walipo wauone.
 
Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii?

Sh bilioni 2 zinaweza kuwa mwanzo wa taasisi ya elimu yenye kizazi baada ya kizazi.
1. Chuo kinajenga watu, si jengo pekee.
Msikiti unatoa nafasi ya ibada, lakini chuo kinaweza kuzalisha madaktari, wahandisi, walimu, wanasheria, wataalamu wa TEHAMA, wachumi na watafiti.

2. Elimu ni msingi wa maendeleo ya jamii.
Waislamu Tanzania wanahitaji taasisi imara zinazowawezesha vijana kupata elimu ya juu yenye ubora huku wakihifadhi misingi ya maadili na elimu ya Kiislamu.

3. Chuo kinaweza kuwa urithi wa muda mrefu.
Jengo la msikiti linaweza kudumu kwa miaka mingi, lakini chuo kinaweza kuendelea kutoa maelfu ya wahitimu kila mwaka. Wahitimu hao nao wataendelea kutoa huduma kwa jamii.
Chuo kinaweza kuchanganya Dini na sayansi.
4. Badala ya kuwa chuo cha masomo ya dini pekee, kinaweza kuwa na Medicine, Engineering, ICT, Education, Law, Business, Agriculture, Marine Sciences na Islamic Studies. Hii inaweza kuonyesha kwamba Uislamu na elimu ya kisasa vinaweza kwenda pamoja.
Kinaweza kutatua tatizo la ajira na ujuzi.

5. Chuo kinahitaji wahadhiri, watafiti, watendaji na wataalamu mbalimbali, na baadaye wahitimu wake wataingia katika sekta mbalimbali za uchumi.
Kinaweza kuwa kituo cha utafiti wa matatizo ya Tanzania.

6. Chuo kinaweza kufanya tafiti kuhusu umaskini, afya, mazingira, kilimo, uvuvi, teknolojia, elimu na uchumi—na kutoa suluhisho linalotokana na mazingira ya Tanzania.
7. Msikiti unaweza kujengwa ndani ya chuo na ukawa unavutia watalii na wasomi mbali mbali
Sijui bwana,ila inafikirisha sana.Wakati Watanzania walio wengi hata mlo mmoja ni kitendawili,anayeitwa kiongozi wa wananchi has billions to spare.The situation of our country couldn't be worse.
 
Msimpangie!, kama ni Muslim university, wamepewa majengo bure na serikali pale Moro, wameshindwa ku run, msikiti hauhitaji utaalam to run, unahitaji tuu jengo, watu waswali waingie peponi.
P
Oh! Kwani hizo fedha anatoa mfukoni kwake i.e. Personal funds?
 
Kuna tofauti gani kati ya kupewa na kuazimwa?
P
Kuazimwa kuna ukomo, kuna masharti..mfano pale watakapokuwa wamepata eneo na kujenga majengo yao, huo ndio ukomo wa wao kutumia hayo majengo, 2. Kuazimwa kuna masharti, waliambiwa wasijenge jengo lolote la kudumu hapo..sasa kupewa hakuna masharti wala ukomo wa kutumia..mali yako nani akupangie tena..hadi leo hakuna jengo jipya wameongeza hapo sabb wanajua anytime mwenye majengo akiyataka wanaondoka.
 
Bajeti ya wizara inapangwa kwa matakwa ya Waziri?
Makonda hajengi msikiti kwa kutegemea pesa ya serikali, ana upako wa fund rising, si uliona lile tamasha la landrover, Sheikh wa mkoa wa Arusha alikuwa hana gari, akazawadiwa a brand new landrover zero km, ni Makonda.
P
 
Ajenge chuo mpate elimu mkasumbue serikali.Jenga msikiti na Arena baba ,Tukishindwa kwa Mungu twende kwa shetani
 
Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii?

Sh bilioni 2 zinaweza kuwa mwanzo wa taasisi ya elimu yenye kizazi baada ya kizazi.
1. Chuo kinajenga watu, si jengo pekee.
Msikiti unatoa nafasi ya ibada, lakini chuo kinaweza kuzalisha madaktari, wahandisi, walimu, wanasheria, wataalamu wa TEHAMA, wachumi na watafiti.

2. Elimu ni msingi wa maendeleo ya jamii.
Waislamu Tanzania wanahitaji taasisi imara zinazowawezesha vijana kupata elimu ya juu yenye ubora huku wakihifadhi misingi ya maadili na elimu ya Kiislamu.

3. Chuo kinaweza kuwa urithi wa muda mrefu.
Jengo la msikiti linaweza kudumu kwa miaka mingi, lakini chuo kinaweza kuendelea kutoa maelfu ya wahitimu kila mwaka. Wahitimu hao nao wataendelea kutoa huduma kwa jamii.
Chuo kinaweza kuchanganya Dini na sayansi.
4. Badala ya kuwa chuo cha masomo ya dini pekee, kinaweza kuwa na Medicine, Engineering, ICT, Education, Law, Business, Agriculture, Marine Sciences na Islamic Studies. Hii inaweza kuonyesha kwamba Uislamu na elimu ya kisasa vinaweza kwenda pamoja.
Kinaweza kutatua tatizo la ajira na ujuzi.

5. Chuo kinahitaji wahadhiri, watafiti, watendaji na wataalamu mbalimbali, na baadaye wahitimu wake wataingia katika sekta mbalimbali za uchumi.
Kinaweza kuwa kituo cha utafiti wa matatizo ya Tanzania.

6. Chuo kinaweza kufanya tafiti kuhusu umaskini, afya, mazingira, kilimo, uvuvi, teknolojia, elimu na uchumi—na kutoa suluhisho linalotokana na mazingira ya Tanzania.
7. Msikiti unaweza kujengwa ndani ya chuo na ukawa unavutia watalii na wasomi mbali mbali

Tatizo wewe unafikiri anawapenda hao anao wajengea ni siasa na kibaya zaidi hao wajinga jinga wanataka misikiti hawapendi elimu hivyo hao sio wakatoliki! wakatoliki ndiyo wanajenga hospitali na shule akienda kwa wanywa chai wa viweni ni misikiti tu na kupiga midomo
 
Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii?

Sh bilioni 2 zinaweza kuwa mwanzo wa taasisi ya elimu yenye kizazi baada ya kizazi.
1. Chuo kinajenga watu, si jengo pekee.
Msikiti unatoa nafasi ya ibada, lakini chuo kinaweza kuzalisha madaktari, wahandisi, walimu, wanasheria, wataalamu wa TEHAMA, wachumi na watafiti.

2. Elimu ni msingi wa maendeleo ya jamii.
Waislamu Tanzania wanahitaji taasisi imara zinazowawezesha vijana kupata elimu ya juu yenye ubora huku wakihifadhi misingi ya maadili na elimu ya Kiislamu.

3. Chuo kinaweza kuwa urithi wa muda mrefu.
Jengo la msikiti linaweza kudumu kwa miaka mingi, lakini chuo kinaweza kuendelea kutoa maelfu ya wahitimu kila mwaka. Wahitimu hao nao wataendelea kutoa huduma kwa jamii.
Chuo kinaweza kuchanganya Dini na sayansi.
4. Badala ya kuwa chuo cha masomo ya dini pekee, kinaweza kuwa na Medicine, Engineering, ICT, Education, Law, Business, Agriculture, Marine Sciences na Islamic Studies. Hii inaweza kuonyesha kwamba Uislamu na elimu ya kisasa vinaweza kwenda pamoja.
Kinaweza kutatua tatizo la ajira na ujuzi.

5. Chuo kinahitaji wahadhiri, watafiti, watendaji na wataalamu mbalimbali, na baadaye wahitimu wake wataingia katika sekta mbalimbali za uchumi.
Kinaweza kuwa kituo cha utafiti wa matatizo ya Tanzania.

6. Chuo kinaweza kufanya tafiti kuhusu umaskini, afya, mazingira, kilimo, uvuvi, teknolojia, elimu na uchumi—na kutoa suluhisho linalotokana na mazingira ya Tanzania.
7. Msikiti unaweza kujengwa ndani ya chuo na ukawa unavutia watalii na wasomi mbali mbali
Mkuu kwanini umpagie, yeye kaona fursa akijenga msikiti wa kutalii wewe unataka awajengee chuo kikuu cha Kiislamu, mbona manpenda vitu vya bure, yaani pamoja na Mkapa kuwapa majengo ya Tanesco ili mufungue chuo kikuu cha Kiislamu bure hadi sasa hamna chuo kikuu kingine chochote ili hali matajiri wakubwa nchini ,asilimia 90 ni waislamu si mhamamisheni mjenge vyuo vikuu wengi, wakristo karibu madhehebu makubwa yote yana vyuo vikuu vyao, hospitali za rufaa zao, sasa mashehe wenu wamebaki kuimba mapambio wakija shtuka itakuwa imekula kwao.
 
Makonda akili hana ni zero galasha kabisa , nani afanye utalii kuangalia msikiti Arusha,waislam mwambieni aache ujinga ,anawatumia waislam kupata umaarufu kwa wajinga wenzake
 
Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii?

Sh bilioni 2 zinaweza kuwa mwanzo wa taasisi ya elimu yenye kizazi baada ya kizazi.
1. Chuo kinajenga watu, si jengo pekee.
Msikiti unatoa nafasi ya ibada, lakini chuo kinaweza kuzalisha madaktari, wahandisi, walimu, wanasheria, wataalamu wa TEHAMA, wachumi na watafiti.

2. Elimu ni msingi wa maendeleo ya jamii.
Waislamu Tanzania wanahitaji taasisi imara zinazowawezesha vijana kupata elimu ya juu yenye ubora huku wakihifadhi misingi ya maadili na elimu ya Kiislamu.

3. Chuo kinaweza kuwa urithi wa muda mrefu.
Jengo la msikiti linaweza kudumu kwa miaka mingi, lakini chuo kinaweza kuendelea kutoa maelfu ya wahitimu kila mwaka. Wahitimu hao nao wataendelea kutoa huduma kwa jamii.
Chuo kinaweza kuchanganya Dini na sayansi.
4. Badala ya kuwa chuo cha masomo ya dini pekee, kinaweza kuwa na Medicine, Engineering, ICT, Education, Law, Business, Agriculture, Marine Sciences na Islamic Studies. Hii inaweza kuonyesha kwamba Uislamu na elimu ya kisasa vinaweza kwenda pamoja.
Kinaweza kutatua tatizo la ajira na ujuzi.

5. Chuo kinahitaji wahadhiri, watafiti, watendaji na wataalamu mbalimbali, na baadaye wahitimu wake wataingia katika sekta mbalimbali za uchumi.
Kinaweza kuwa kituo cha utafiti wa matatizo ya Tanzania.

6. Chuo kinaweza kufanya tafiti kuhusu umaskini, afya, mazingira, kilimo, uvuvi, teknolojia, elimu na uchumi—na kutoa suluhisho linalotokana na mazingira ya Tanzania.
7. Msikiti unaweza kujengwa ndani ya chuo na ukawa unavutia watalii na wasomi mbali mbali
Tafuta pesa zako ujenge chuo
 
Msimpangie!, kama ni Muslim university, wamepewa majengo bure na serikali pale Moro, wameshindwa ku run, msikiti hauhitaji utaalam to run, unahitaji tuu jengo, watu waswali waingie peponi.
P
Kwahiyo chuo kimekufa hadi useme wameshindwa ku run?
 
Back
Top Bottom