Kwanini Makonda asijenge Muslim University badala ya Msikiti wa zaidi ya Tsh. Bilioni 2 pekee?

Makonda hana akili na anaowajengea synagogue hawana akili. Tangu uhuru hadi leo mna chuo kikuu kimoja tu, nacho mlipewa zawadi na Mkapa
Hayo majengo waliazimwa waanzishe chuo kikuu, na mkapa akatoa 10 million watafute eneo wajenge chuo..hizo pesa zililiwa, hadi leo miaka zaidi ya 20 eneo hakuna chuo bado kipo hapo kwa majengo ya kuazima..hata TCU ni kama akili zao wameweka kwenye makalio, hili eneo ni la kuweka chuo kikuu kweli..? Profesa gani anaweza kuwa mjinga kiasi hiki..ondoa hicho chuo hapo!
 
Msimpangie!, kama ni Muslim university, wamepewa majengo bure na serikali pale Moro, wameshindwa ku run, msikiti hauhitaji utaalam to run, unahitaji tuu jengo, watu waswali waingie peponi.
P
Kwa nn una sema wame shindwa ku run chuo..?

Mbona kipo na hakija fungiwa na TCU
 
Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii?

Sh bilioni 2 zinaweza kuwa mwanzo wa taasisi ya elimu yenye kizazi baada ya kizazi.
1. Chuo kinajenga watu, si jengo pekee.
Msikiti unatoa nafasi ya ibada, lakini chuo kinaweza kuzalisha madaktari, wahandisi, walimu, wanasheria, wataalamu wa TEHAMA, wachumi na watafiti.

2. Elimu ni msingi wa maendeleo ya jamii.
Waislamu Tanzania wanahitaji taasisi imara zinazowawezesha vijana kupata elimu ya juu yenye ubora huku wakihifadhi misingi ya maadili na elimu ya Kiislamu.

3. Chuo kinaweza kuwa urithi wa muda mrefu.
Jengo la msikiti linaweza kudumu kwa miaka mingi, lakini chuo kinaweza kuendelea kutoa maelfu ya wahitimu kila mwaka. Wahitimu hao nao wataendelea kutoa huduma kwa jamii.
Chuo kinaweza kuchanganya Dini na sayansi.
4. Badala ya kuwa chuo cha masomo ya dini pekee, kinaweza kuwa na Medicine, Engineering, ICT, Education, Law, Business, Agriculture, Marine Sciences na Islamic Studies. Hii inaweza kuonyesha kwamba Uislamu na elimu ya kisasa vinaweza kwenda pamoja.
Kinaweza kutatua tatizo la ajira na ujuzi.

5. Chuo kinahitaji wahadhiri, watafiti, watendaji na wataalamu mbalimbali, na baadaye wahitimu wake wataingia katika sekta mbalimbali za uchumi.
Kinaweza kuwa kituo cha utafiti wa matatizo ya Tanzania.

6. Chuo kinaweza kufanya tafiti kuhusu umaskini, afya, mazingira, kilimo, uvuvi, teknolojia, elimu na uchumi—na kutoa suluhisho linalotokana na mazingira ya Tanzania.
7. Msikiti unaweza kujengwa ndani ya chuo na ukawa unavutia watalii na wasomi mbali mbali
Huo msikiti natamani uitwe Masjid Makonda au Masjid Bashite.
Na Waislam Warangi waliojaa Arusha ambao usafi kwao ni zero wakiachiwa huo msikiti sijui utakuwa na hali gani baada ya miaka 5
 
Sisi wa Africa ni bure kabisa mimi napendekeza hiyo fedha ajenge Muslim Hospital ndio itakuwa njia ya kuwasaidia
 
Huo msikiti natamani uitwe Masjid Makonda au Masjid Bashite.
Na Waislam Warangi waliojaa Arusha ambao usafi kwao ni zero wakiachiwa huo msikiti sijui utakuwa na hali gani baada ya miaka 5
Wakiristo wa jf mnasema waislam wachafu wakati kila siku mara 5 wanajisafisha. Wemgine j2 hadi j2
 
Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii?

Sh bilioni 2 zinaweza kuwa mwanzo wa taasisi ya elimu yenye kizazi baada ya kizazi.
1. Chuo kinajenga watu, si jengo pekee.
Msikiti unatoa nafasi ya ibada, lakini chuo kinaweza kuzalisha madaktari, wahandisi, walimu, wanasheria, wataalamu wa TEHAMA, wachumi na watafiti.

2. Elimu ni msingi wa maendeleo ya jamii.
Waislamu Tanzania wanahitaji taasisi imara zinazowawezesha vijana kupata elimu ya juu yenye ubora huku wakihifadhi misingi ya maadili na elimu ya Kiislamu.

3. Chuo kinaweza kuwa urithi wa muda mrefu.
Jengo la msikiti linaweza kudumu kwa miaka mingi, lakini chuo kinaweza kuendelea kutoa maelfu ya wahitimu kila mwaka. Wahitimu hao nao wataendelea kutoa huduma kwa jamii.
Chuo kinaweza kuchanganya Dini na sayansi.
4. Badala ya kuwa chuo cha masomo ya dini pekee, kinaweza kuwa na Medicine, Engineering, ICT, Education, Law, Business, Agriculture, Marine Sciences na Islamic Studies. Hii inaweza kuonyesha kwamba Uislamu na elimu ya kisasa vinaweza kwenda pamoja.
Kinaweza kutatua tatizo la ajira na ujuzi.

5. Chuo kinahitaji wahadhiri, watafiti, watendaji na wataalamu mbalimbali, na baadaye wahitimu wake wataingia katika sekta mbalimbali za uchumi.
Kinaweza kuwa kituo cha utafiti wa matatizo ya Tanzania.

6. Chuo kinaweza kufanya tafiti kuhusu umaskini, afya, mazingira, kilimo, uvuvi, teknolojia, elimu na uchumi—na kutoa suluhisho linalotokana na mazingira ya Tanzania.
7. Msikiti unaweza kujengwa ndani ya chuo na ukawa unavutia watalii na wasomi mbali mbali
huu ujinga upo huko kwa muslims wenyewe. wakat mfalme wa Moroco anawaambia wachagua cha.kuwafanyia wakachagua kujengewa msikiti. badala waombe kujengewa chuo wakaomba msikiti. yaan fursa ya kiume kama ile wakaichezea bure kabisa.
 
Wakiristo wa jf mnasema waislam wachafu wakati kila siku mara 5 wanajisafisha. Wemgine j2 hadi j2
Huo ni uongo tu wengi ni wachafu hata mazingira walioko ni wachafu sana labda wale wa Masaki na Upanga

Utaenda kuswali masjid Bashite?
 
Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii?

Sh bilioni 2 zinaweza kuwa mwanzo wa taasisi ya elimu yenye kizazi baada ya kizazi.
1. Chuo kinajenga watu, si jengo pekee.
Msikiti unatoa nafasi ya ibada, lakini chuo kinaweza kuzalisha madaktari, wahandisi, walimu, wanasheria, wataalamu wa TEHAMA, wachumi na watafiti.

2. Elimu ni msingi wa maendeleo ya jamii.
Waislamu Tanzania wanahitaji taasisi imara zinazowawezesha vijana kupata elimu ya juu yenye ubora huku wakihifadhi misingi ya maadili na elimu ya Kiislamu.

3. Chuo kinaweza kuwa urithi wa muda mrefu.
Jengo la msikiti linaweza kudumu kwa miaka mingi, lakini chuo kinaweza kuendelea kutoa maelfu ya wahitimu kila mwaka. Wahitimu hao nao wataendelea kutoa huduma kwa jamii.
Chuo kinaweza kuchanganya Dini na sayansi.
4. Badala ya kuwa chuo cha masomo ya dini pekee, kinaweza kuwa na Medicine, Engineering, ICT, Education, Law, Business, Agriculture, Marine Sciences na Islamic Studies. Hii inaweza kuonyesha kwamba Uislamu na elimu ya kisasa vinaweza kwenda pamoja.
Kinaweza kutatua tatizo la ajira na ujuzi.

5. Chuo kinahitaji wahadhiri, watafiti, watendaji na wataalamu mbalimbali, na baadaye wahitimu wake wataingia katika sekta mbalimbali za uchumi.
Kinaweza kuwa kituo cha utafiti wa matatizo ya Tanzania.

6. Chuo kinaweza kufanya tafiti kuhusu umaskini, afya, mazingira, kilimo, uvuvi, teknolojia, elimu na uchumi—na kutoa suluhisho linalotokana na mazingira ya Tanzania.
7. Msikiti unaweza kujengwa ndani ya chuo na ukawa unavutia watalii na wasomi mbali mbali
Matajiri wakubwa wa nchi hii ni Waislamu, kwa nini usiwaambie wao wajenge Muslim University badala yake umwambir kafiri Makonda ?
 
Kwasababu anajua Masheikh wengi wanapenda Tende na wale Kondoo wa sadaka.

Kama lipo tusi ambalo limeelekezwa kwa Waislam hakuna kubwa kuliko hili.

Kwanini isiwe Shule,Hospitals,Chuo.....

Hayo yote hayampi millage ya kwa bimdashi
 
Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii?

Sh bilioni 2 zinaweza kuwa mwanzo wa taasisi ya elimu yenye kizazi baada ya kizazi.
1. Chuo kinajenga watu, si jengo pekee.
Msikiti unatoa nafasi ya ibada, lakini chuo kinaweza kuzalisha madaktari, wahandisi, walimu, wanasheria, wataalamu wa TEHAMA, wachumi na watafiti.

2. Elimu ni msingi wa maendeleo ya jamii.
Waislamu Tanzania wanahitaji taasisi imara zinazowawezesha vijana kupata elimu ya juu yenye ubora huku wakihifadhi misingi ya maadili na elimu ya Kiislamu.

3. Chuo kinaweza kuwa urithi wa muda mrefu.
Jengo la msikiti linaweza kudumu kwa miaka mingi, lakini chuo kinaweza kuendelea kutoa maelfu ya wahitimu kila mwaka. Wahitimu hao nao wataendelea kutoa huduma kwa jamii.
Chuo kinaweza kuchanganya Dini na sayansi.
4. Badala ya kuwa chuo cha masomo ya dini pekee, kinaweza kuwa na Medicine, Engineering, ICT, Education, Law, Business, Agriculture, Marine Sciences na Islamic Studies. Hii inaweza kuonyesha kwamba Uislamu na elimu ya kisasa vinaweza kwenda pamoja.
Kinaweza kutatua tatizo la ajira na ujuzi.

5. Chuo kinahitaji wahadhiri, watafiti, watendaji na wataalamu mbalimbali, na baadaye wahitimu wake wataingia katika sekta mbalimbali za uchumi.
Kinaweza kuwa kituo cha utafiti wa matatizo ya Tanzania.

6. Chuo kinaweza kufanya tafiti kuhusu umaskini, afya, mazingira, kilimo, uvuvi, teknolojia, elimu na uchumi—na kutoa suluhisho linalotokana na mazingira ya Tanzania.
7. Msikiti unaweza kujengwa ndani ya chuo na ukawa unavutia watalii na wasomi mbali mbali

Kuna watu wengi wanatakatisha pesa. Ningependa kujua chanzo cha pesa hizo.

Unapotaka kufanya kitu chema, veka pia uwazi uwepo.

Waafrika tunaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Huyu ni mpakwa wa Bwana, afanya kazi ya Bwana kuokoa watu waswali wafike peponi.

Hakuna thawabu kubwa au baraka kubwa kama kujenga kanisa, msikiti au nyumba ya ibada.
P
 
Attachments

  • IMG-20261005-WA9657.jpg
    IMG-20261005-WA9657.jpg
    390.4 KB · Views: 11
Anataka kukuza utalii wa kidini. Arusha iwe inatenbelewa na waisilamu.
 
Back
Top Bottom