Kwanini Makonda asijenge Muslim University badala ya Msikiti wa zaidi ya Tsh. Bilioni 2 pekee?

Vyuo vitatuletea vijana wapinzani ila msikikiti ni simple maana tutapata watalii na sadaka na tutawavitia ndugu zetu katika iman kuleta tende,ngamia na kondoo hapa arusha
 
Msimpangie!, kama ni Muslim university, wamepewa majengo bure na serikali pale Moro, wameshindwa ku run, msikiti hauhitaji utaalam to run, unahitaji tuu jengo, watu waswali waingie peponi.
P

wengi labda hawaelewi hii yote imepangwa islam inakuwa tu ambapo watu ni wajinga i.e waliponyimwa elimu kwa makususdi na muslims elite, angalia taliban, sasa wakiwapa elimu ya university akina shehe mwaipopo watakula wapi? wanahitaji muslims wa kukata watu vichwa hakuna muslims mwenye college education ambaye atakubali kutumika kukata vichwa wengine, wanahitaji vijana (panya road bara, zanzibar kuna ubaya ubaya) wa kufanya crime na uharamia ku-terrorize jamii sasa yote haya yanawezekana tu kama ukiwanyima muslims elimu.

angalia kinachoendelea nigeria boko haram maana au tafsiri ya boko haram ni elimu hii ya "west" ni haram hivyo wanateka watoto shuleni na kuwazuia wasisome lkn cha ajabu watu kama akina Dangote (kudos to him) ni muslims na walipata elimu ambayo inaitwa "haram", hivyo lengo ni kuwa na wajinga wengi ambao wanaweza kuwatumia kukata watu vichwa na ku-terrorize jamii kwa manufaa ya small muslims elite.

muslims elite dont care about small muslims, wanawatumia tu ndiyo maana kuna watu kama type ya shehe mwaipopo, ni nini profession yake? anaishije? nani anamlipa?

i bless the day Wamisionari walivyokanyaga ardhi yetu ...
 
Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii?

Sh bilioni 2 zinaweza kuwa mwanzo wa taasisi ya elimu yenye kizazi baada ya kizazi.
1. Chuo kinajenga watu, si jengo pekee.
Msikiti unatoa nafasi ya ibada, lakini chuo kinaweza kuzalisha madaktari, wahandisi, walimu, wanasheria, wataalamu wa TEHAMA, wachumi na watafiti.

2. Elimu ni msingi wa maendeleo ya jamii.
Waislamu Tanzania wanahitaji taasisi imara zinazowawezesha vijana kupata elimu ya juu yenye ubora huku wakihifadhi misingi ya maadili na elimu ya Kiislamu.

3. Chuo kinaweza kuwa urithi wa muda mrefu.
Jengo la msikiti linaweza kudumu kwa miaka mingi, lakini chuo kinaweza kuendelea kutoa maelfu ya wahitimu kila mwaka. Wahitimu hao nao wataendelea kutoa huduma kwa jamii.
Chuo kinaweza kuchanganya Dini na sayansi.
4. Badala ya kuwa chuo cha masomo ya dini pekee, kinaweza kuwa na Medicine, Engineering, ICT, Education, Law, Business, Agriculture, Marine Sciences na Islamic Studies. Hii inaweza kuonyesha kwamba Uislamu na elimu ya kisasa vinaweza kwenda pamoja.
Kinaweza kutatua tatizo la ajira na ujuzi.

5. Chuo kinahitaji wahadhiri, watafiti, watendaji na wataalamu mbalimbali, na baadaye wahitimu wake wataingia katika sekta mbalimbali za uchumi.
Kinaweza kuwa kituo cha utafiti wa matatizo ya Tanzania.

6. Chuo kinaweza kufanya tafiti kuhusu umaskini, afya, mazingira, kilimo, uvuvi, teknolojia, elimu na uchumi—na kutoa suluhisho linalotokana na mazingira ya Tanzania.
7. Msikiti unaweza kujengwa ndani ya chuo na ukawa unavutia watalii na wasomi mbali mbali
Ume anza kua na akili sasa
 
Waislamu mnapenda vyabure, lindeni migongo yenu
 
Kisiasa, msikiti unampa millage kubwa kuliko chuo. Mwanasiasa ambaye huwa yupo kwa ajili ya wananchi hii Tz kabaki Tundu Lisu.

Mwanasiasa ajenge chuo watapoenda watoto wasio na ushawishi wowote? Msikiti utazalisha akina Mwaipopo kadhaa kwa ajili yake.
 
Hawa ni mazuzu, wanaomba wapewe darubini ya kuangalia mwandamo wa mwezi.
Hawataki shule, vyuo wala mahospitali.
Wanaomba waondolewe kodi kwenye tende 😄
Wanashangilia kuondoa msamaha wa kodi kwenye vifaa vinavyoenda kusaidia hospital na miradi ya taasisi za dini zitakazo wapatia pesa ya kusomesha na kutibu waislam kisa wanahisi wakatoliki wananufaika zaidi.
 
Nani atalipa ghalama ya kuuendesha?
Ghalama za Umeme, Maji, marekebisho, wafanyakazi, vyombo vya moto nk?

Alishariana na wenye Dini.?
Synagogi la kutalii na watalii
Watanzania wanahitaji Hospitari, Shule, Vyuo, huduma za kijamaa kama Barabara, maji nk.
Wajibu wa Nyumba za ibadi sio sera ya Serikari
Wala sio Sera ya C.C.M.
Kama DPP Bandali wanataka kujenga misikiti ni ruksa tu ila wajenge wao wasipitie kwenye migongo ya viongozi:
 
Kama hela zipo ni vyema ukazipeleka sehemu sahihi.
Habari kaka, heshima yako...

Kwanini waislamu wajengewe taasisi ya elimu katika nchi isiyo na dini?

Nafikiri msikiti ni sawa, na hakutakuwa na malalamiko upande wa pili...

Vuta picha jamaa angetangaza anajenga hospitali au chuo cha waislamu mtafaruku ungekuwaje?
 
Nafikiri Makonda ali calculate risk kabla hajatangaza ujenzi wa msikiti...

Ingekuwa aibu ya aina yake, kiongozi wa serikali isiyo na dini kujenga miundombinu ya elimu au afya kwa ajili ya kundi moja bila ya kundi lingine kupiga kelele...

Kama waisilamu wanahitaji hospitali au vyuo vikuu kwa ajili yao, wajenge wao.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii?

Sh bilioni 2 zinaweza kuwa mwanzo wa taasisi ya elimu yenye kizazi baada ya kizazi.
1. Chuo kinajenga watu, si jengo pekee.
Msikiti unatoa nafasi ya ibada, lakini chuo kinaweza kuzalisha madaktari, wahandisi, walimu, wanasheria, wataalamu wa TEHAMA, wachumi na watafiti.

2. Elimu ni msingi wa maendeleo ya jamii.
Waislamu Tanzania wanahitaji taasisi imara zinazowawezesha vijana kupata elimu ya juu yenye ubora huku wakihifadhi misingi ya maadili na elimu ya Kiislamu.

3. Chuo kinaweza kuwa urithi wa muda mrefu.
Jengo la msikiti linaweza kudumu kwa miaka mingi, lakini chuo kinaweza kuendelea kutoa maelfu ya wahitimu kila mwaka. Wahitimu hao nao wataendelea kutoa huduma kwa jamii.
Chuo kinaweza kuchanganya Dini na sayansi.
4. Badala ya kuwa chuo cha masomo ya dini pekee, kinaweza kuwa na Medicine, Engineering, ICT, Education, Law, Business, Agriculture, Marine Sciences na Islamic Studies. Hii inaweza kuonyesha kwamba Uislamu na elimu ya kisasa vinaweza kwenda pamoja.
Kinaweza kutatua tatizo la ajira na ujuzi.

5. Chuo kinahitaji wahadhiri, watafiti, watendaji na wataalamu mbalimbali, na baadaye wahitimu wake wataingia katika sekta mbalimbali za uchumi.
Kinaweza kuwa kituo cha utafiti wa matatizo ya Tanzania.

6. Chuo kinaweza kufanya tafiti kuhusu umaskini, afya, mazingira, kilimo, uvuvi, teknolojia, elimu na uchumi—na kutoa suluhisho linalotokana na mazingira ya Tanzania.
7. Msikiti unaweza kujengwa ndani ya chuo na ukawa unavutia watalii na wasomi mbali mbali
Ajenge chuo wakati yeye vyeti vyake ni vya Gerezani Kariakoo..
 
Akili hizo huwa hazipo kwa Watu wengi !
Ndio maana utaona sehemu kubwa Nchini waumini huwa wanahamasishwa kutoa sadaka zao kwa ajili ya kujenga au kuendesha misikiti sio kujenga Vyuo au maskuli !
 
Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii?

Sh bilioni 2 zinaweza kuwa mwanzo wa taasisi ya elimu yenye kizazi baada ya kizazi.
1. Chuo kinajenga watu, si jengo pekee.
Msikiti unatoa nafasi ya ibada, lakini chuo kinaweza kuzalisha madaktari, wahandisi, walimu, wanasheria, wataalamu wa TEHAMA, wachumi na watafiti.

2. Elimu ni msingi wa maendeleo ya jamii.
Waislamu Tanzania wanahitaji taasisi imara zinazowawezesha vijana kupata elimu ya juu yenye ubora huku wakihifadhi misingi ya maadili na elimu ya Kiislamu.

3. Chuo kinaweza kuwa urithi wa muda mrefu.
Jengo la msikiti linaweza kudumu kwa miaka mingi, lakini chuo kinaweza kuendelea kutoa maelfu ya wahitimu kila mwaka. Wahitimu hao nao wataendelea kutoa huduma kwa jamii.
Chuo kinaweza kuchanganya Dini na sayansi.
4. Badala ya kuwa chuo cha masomo ya dini pekee, kinaweza kuwa na Medicine, Engineering, ICT, Education, Law, Business, Agriculture, Marine Sciences na Islamic Studies. Hii inaweza kuonyesha kwamba Uislamu na elimu ya kisasa vinaweza kwenda pamoja.
Kinaweza kutatua tatizo la ajira na ujuzi.

5. Chuo kinahitaji wahadhiri, watafiti, watendaji na wataalamu mbalimbali, na baadaye wahitimu wake wataingia katika sekta mbalimbali za uchumi.
Kinaweza kuwa kituo cha utafiti wa matatizo ya Tanzania.

6. Chuo kinaweza kufanya tafiti kuhusu umaskini, afya, mazingira, kilimo, uvuvi, teknolojia, elimu na uchumi—na kutoa suluhisho linalotokana na mazingira ya Tanzania.
7. Msikiti unaweza kujengwa ndani ya chuo na ukawa unavutia watalii na wasomi mbali mbali
Sio msikiti 2b ni wa 21b, hata hivyo sio kweli bali ni hadaa. Huu wa hapa Dar wa 5b ulishakamilika? Walaahidi kuujenga wakati wa Magufuli akiwa mkuu wa mkoa wa Dar. Huyo ni tapeli.
 
Ktk watu wa hovyo kutokea nchi hii na kwa bahati mbaya wakapata uongozi mkubwa nchi hii ni Paul Makonda, huyo bwana ni tapeli, ana uwezo mdogo sana sijui ni kwa namna gani ameweza kuwalaghai CCM hasa mwenyekiti wake. Naomba aishie huko kwenye uwaziri asije akapewa cheo zaidi ya hapo, Makonda hana uwezo! Ni aibu kwa Taifa!
 
Back
Top Bottom