Kwanini Makonda asijenge Muslim University badala ya Msikiti wa zaidi ya Tsh. Bilioni 2 pekee?

Bil 22 sio 2 ,
Kwasasa ni kuwa wapenzi watazamaji tu
 
Mwandishi mwandamizi akiandika utumbo wake....Inasikitisha.
Hilo jamaa ni jinga sana, ndiomaana na elimu yake yote limeishia kuwa li chawa na wenzie wamelitosa, hata kulipa ukatibu kata wamegoma.
 
Kwahiyo chuo kimekufa hadi useme wameshindwa ku run?
Sio kila kitu huwa kinasemwa, mimi ni mtu wa media, publicity na visibility, ukiona chuo kikuu pekee cha. Kiislamu cha Tanzania kama nchi, hakionekani kwenye matukio yoyote, hakishiriki maonesho ya TCU, hakionekani kwenye media, hakitoi matangazo yoyote hata ya udahili, hakitangazi graduation yake yoyote, wakati counter part wake SUZA wa Zanzibar ana shine, then, usisubiri kuambiwa, ni unaelewa tuu kiko kwenye hali gani.
P
 
Una uhakika walipewa hayo majengo..
Hawakupewa, waliazimwa.
 
Pasco wewe ni ngumu kuaminika huna tofauti na Diblo wa lindi, ulituaminisha humu next prezidaa ni Emmanuele, kiko wapi sasa?
Diblo alituambia mwamba yupo fresh anachapa kazi, a day after tunaambiwa kadedi.
 
Pamoja na kuwepo majengo mengi yenye kutoa Elimu lkn ukweli bado tuna changamoto kubwa kwenye Elimu

Sekta ya Elimu kwa Watanzania ipewe nguvu zaidi!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…