Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Ulishakuwa Judaism!

Mwaka 2011 ukasilimu!

Na inaonekana unao ufahamu wa Kikristo!

Wewe ni dini gani kwa sasa?
Hapana kwa sasa Sina dini kwa kweli 😅😅
Zaidi ya Upendo tu na kujitoa kwa ajili ya Watu wenye Uhitaji..

Niligundua Kuwa Dini na Chuki Kuna mstari mdogo sana
 
Reactions: 511
😄😄😄

Ngoja niendelee kusoma...
 
Noo!

Kwa hilo "umepotea"
Mkuu Nimepotea Wapi??

Kwa Mujibu wa Biblia Dini Iliyosafi na Isiyo na Taka unaijua??


Hata Quran Inampa Daraja La Juu mtu anayejali Mayatima na Kutoa sadaka kwa wasioJiweza na Ana pepo (Mbingu) yake yenye Kumeremeta..


 
utajuta, achana na hizo habari. mwisho wa siku jini litakutoa wewe mwenyewe kuwa sadaka baada ya kukuonyesha mapichapicha ya kutosha
Kama unajua litanitoa sadaka kwa nini unakuja kuniuzia hiyo hirizi za majini (pete)?.
 
Kuna somo linaitwa tafsir.....kila ayat ina historia na dhumuni la kushuka kwake kutokana na matukio aliyokuwa akikutana nayo mtume kipindi cha uhai wake. Maswahaba wakazipokea aya kwa ufahamu na kufundishwa na mtume. Sasa huwezi kuleta uelewa wako wenye hila ukataka kupotosha maana halisi za aya.
 
Kwa akili kisoda za namna hii kweli tutaacha kutawaliwa?

Mashetani kule Brazil na yenyewe yanaitwa kina maimuna? au mashetani yapo uarabuni na Afrika tu? Mkiambiwa someni hamtaki, mwisho ujinga ndo mnauona werevu!
Mapovu kama yote
 
Nop, giant seed is not from this world, Human are sons of men, angles are sons of God and thisis very clear, believe or not this angels did something to the womens that bible claims as wives of fallens rather than sex
 
Reactions: 511
Why uongelee tafsri ilhali andiko linasema kitu kile kile hata kwenye lugha mama?.
Ulianza kwa kunituhumu kuwa nimedanganya,ukashindwq dhibitisha.
Ukasema,nimeondoa koma,ukashindwa dhibitisha then ukakimbilia kwenye lugha, uko nako kichaka ni kifupi,uongo wako unaonekana.

Andiko lipo short and clear"aliyekuwa Adui wa Jibril huyo ndiye aliyeishusha Qur'an".

Nb: hii sio Ligi,mi nakomea hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…