Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Malaika hawana majina ya kizungu wala kiyahudi....Majina yao wamepewa na ALLAH ila wanadamu kutokana na kutofautiana lugha ndio unakuta tunawatambua kwa majina tofauti.

Mfano wazungu wanamtambua
Gabriel jina lake kwa waarabu ni JIBRIL
Azrael jina lake ni Malakul wawt
Raphael jina lake ni israfil
Michael jina lake ni Mikhail

Kuna Maalik
Ridhwaan
Munkar na Nakir
Atid
Raqib
 
Pete yake inapatikana wapi?
 
Haya nipe namba yako nataka hilo jini tupate pesa sasa, tumechoka na haya maisha!!.
 
majina ya hao malaika kama walivyopewa na Muumba hakuna anayeyajua kwa sababu hakuna anayeijua lugha ya huko mbinguni. hayo uliyoyataja ni majina yenye maana ya kiarabu.
 
Mayahudi ni watu waongo sana ....Wanajua fika kuwa malaika Jibreel ndie Gavriel kwasababu huyu ndiye malaika mkuu wa Mungu ambae kazi yake kubwa ilikuwa ni kushusha ufunuo kutoka kwa Mungu kuja kwa Mitume wake hapa duniani.

Wayahudi wameishi ndani ya mji wa madinah kwa karne kadhaa na hata Mtume Muhammad (pbuh) alipofika walimtambua na hawakuwahi kupinga juu ya jina la malaik Jibreel.
 
According to bible mkuu..
Lucifer=Nyota ya Asubuhi..
SIna shida na hii, i just want understand about Samael kama jina la malaika ibilisi. Maana iliyo bayana ni kwamba ibilisi hapo kabla aliitwa Lucifer
Even Jesus Ni nyota ya Asubuhi
Hii siwezi kubaliana na wewe. Labda uniwekee refferences
Watakaokoka wameahidiwa Kuwa Nyota ya Asubuhi pia..
Hili pia sijui ulipolitoa labda uniwekee source ili nielewe
 
majina ya hao malaika kama walivyopewa na Muumba hakuna anayeyajua kwa sababu hakuna anayeijua lugha ya huko mbinguni. hayo uliyoyataja ni majina yenye maana ya kiarabu.
Hayo ndio majina yao halisi kwasababu Mtume Muhammad (pbuh) wakati anapewa ufunuo kwa mara ya kwanza alimuona malaika Jibreel akiwa katika umbo lake asilia akiwa na mbaya takribani 600 zikiwa zimetanda mashariki na magharibi.....na alijitambulisha kuwa jina lake ni Jibreel
 
Ila Siku hizi Wanapinga Sana na wanatetea Jina Wanasema haitwi Gabriel wala Jibreel anaitwa Gavriel
 
Na miki pia maana japo sio msomaji sana wa biblical scriptures ila Jina Samael hilo sijawah kuliona mahala popote
Imebidi Nika mgoogle Samael, aisee yupo.....
 

Attachments

  • Screenshot_20240502-122540.jpg
    232.4 KB · Views: 8
Kama umewahi Kusoma Angeology au Theology Hilo jina sio Geni ni Jina la shetani kipindi akiwa malaika..
Ns lilibadilika Likawa Belzebuul Baada ya Uasi
Belzebuul ni evil spirit, satanic agency ndio maana hata Yesu kuna watu walishawah sema ana pepo wa belzebuul. Sio this is not straight reffering to Satan in person
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…