Native diaspora
JF-Expert Member
- Nov 19, 2020
- 265
- 458
Tupe madini zaidiLakini kwanini uwaone kuwa wana shida kuamini kwamba Masiah bado hajaja?
Unamuamini Joseph smith na Mormons??
Au unamuamini Mtume Muhamadi??
Na kama huwaamini kwanini??
Tuanze na hapo
Unaweza kuelezea kidogo kuhusu Mormons juu ya imani yao ikoje?Lakini kwanini uwaone kuwa wana shida kuamini kwamba Masiah bado hajaja?
Unamuamini Joseph smith na Mormons??
Au unamuamini Mtume Muhamadi??
Na kama huwaamini kwanini??
Tuanze na hapo
Hapana mkuu, Palistine haitokani na jina Philistines.Palestina Imetokana na Jina Philistine au Wafiliti wafilisti hawakuwa Miongoni mwa Waebrania..
Na majina ya Malaika,Biblia Na theology imetoka kwa Waebrania
SIna shida na hii, i just want understand about Samael kama jina la malaika ibilisi. Maana iliyo bayana ni kwamba ibilisi hapo kabla aliitwa Lucifer
Hii siwezi kubaliana na wewe. Labda uniwekee refferences
Hili pia sijui ulipolitoa labda uniwekee source ili nielewe
Alfajiri na asubuh sidhan kama ni kitu kimoja. Saa 10 usiku unaweza kuiita saa 10 alfajiri lakin huwez kuita saa 10 asubuh.Katika biblia Shetan kaitwa Nyota ya asubuhi na Yesu pia anajiita Nyota alfajiri.
Alfajiri na Asubuhi nj kitu moja.
Angalia Apocrypha book, kitabu cha Enock.Nje ya main biblical scriptures. Hiz ni doctrine ambazo hazithibitishwi na maandiko ya kikristo. Ni kama mambo ya imani zilizozaliwa kutokana na tamaduni tu wa watu, sio ukristo kwa jinsi navyofikiri mimi. Hazipo katika vitabu 67 vya kibiblia
Hakuna sehemu katika biblia Yesu anaitwa Nyota ya Asubuhi.According to bible mkuu..
Lucifer=Nyota ya Asubuhi..
Even Jesus Ni nyota ya Asubuhi
Watakaokoka wameahidiwa Kuwa Nyota ya Asubuhi pia..
But Ukiangalia Prophecy za Agano La Kale Yesu hakutimiza hata Moja..Kwa kutazama prophecy walikua na kila sababu ya kuamin ndiye waliyemngoja.
Hahaha..I dont even know them. I keep my focus to the one n only prophecised! 😁
Mfano chief.But Ukiangalia Prophecy za Agano La Kale Yesu hakutimiza hata Moja..
Sio kwamba siwaamini, yan hata kuwajua ndio nawasikia kwako hapa kamandaHahaha..
Sasa kama Huwaamini hizo Dini zingine Zilizokuja After Ukristo..
Mkuu samahani Unajua Kihebrania??Hapana mkuu, Palistine haitokani na jina Philistines.
Palestina ni eneo wakati Philistines ni ancient people waliohamia na kuishi maeneo ya pwani kusini mwa Caan. Eneo walilokuwa wakiishi ni karibu na ilipo Gaza.
Wapalestina na Wafilist hawana uhusiano wowote ule, zaidi ni kwamba Jamii ya Wafilist ilitoweka duniani.
Chief hata Waislamu ndo unawasikia Kwangu ??Sio kwamba siwaamini, yan hata kuwajua ndio nawasikia kwako hapa kamanda
Kuhusu Wamormons ni story ndefu lakini ni muendelezo wa wakristo tuTupe madini zaidi
Hapana, hawa nawamanyaChief hata Waislamu ndo unawasikia Kwangu ??
😅
Hiyo dini iko Afrika?Wa Mormons wana miaka mingi sana Na nabii wao Joseph miaka ya 1700s Ndo lilianzishwa kama sikosei
Nilikusudia hivyo hivyo..Alfajiri na asubuh sidhan kama ni kitu kimoja. Saa 10 usiku unaweza kuiita saa 10 alfajiri lakin huwez kuita saa 10 asubuh.
Hapana mkuu, sijazingatia matumizi ya lugha kabisa. Nimejikita katika historia na tamaduni. Katika Lugha wanaweza wakawaita hivyo tu sababu labda waliwaona ni rivals kama wale wengine., ila mimi nimejikita zaidi kwenye historia ya wawili hao.Mkuu samahani Unajua Kihebrania??
Unajua Kiarabu??
Tuachane na Kingereza ulichoambiwa neno palestine..
Ukienda kwa Waarabu wanawaita wapalestine Philistine na hata Wayahudi wanawaita Philistine Au wafilisti wewe Ulichochanganywa ni Kingereza yaani jina hilo kubadilishwa kwa kingereza kati yako na Wayahudi nani ametunza story sana