Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Unaweza rejerea hio ya manefil mkuu kwenye baibo niokote mawili matatu
 
Okay but Malaika inaonekana wapogo tu kabla hata ya kuumbwa Adam, hao Akina mikaeli, gabriel, lucifa woote walikuepo kabla ya stori za waebrania hazijaanza, hapo unasemaje Dokta?
Tatizo liko kwako wewe katika kufikiri, ni wapi ulikuta kuna muongozo umeandikwa kwamba Jina hili ni la Jini, mwarabu, mzungu, mchina, giliki, n.k.? Si ni uelewa wako uliokaririshwa na Dunia uliyokulia. Ndiyo maana hakuna sheria inayokataza mtu kujiita kuitwa jina lolote unaloona wewe kuwa linafaa. Shida lisikwaze jamii unayotoka wewe. Yapo majina ya Viongozi au watu wa kawaida kwa Kiswahili ni matusi. Lakini kwao ni majina mazuri sana. Ondoka huko kufikiri kitoto
 
mh kwamba yuko malaika anaitwa Masumbuko au Mihayo au Mushi au Kyaruzi?
Joke tu,Mungu ni "eli"Sons of God wengi wana eli mwisho, mfano hawa fallen angles kama The names of the leaders are given as "Samyaza (Shemyazaz), their leader, Araqiel, Râmêêl, Kokabiel, Tamiel, Ramiel, Dânêl, Chazaqiel, Baraqiel, Asael, Armaros, Batariel, Bezaliel, Ananiel, Zaqiel, Shamsiel, Satariel, Turiel, Yomiel, Sariel."
 
Mbinguni tuna kula kama starehe lakin sio njaa,
Malaika hawazaliani hawana uwezo huo,
Lucifer hana mke,,
Dunia ipo angani na anga haina juu wala chini, mfano chora Duara halafu weka doti katikati ya duara ukiweza kuniambia juu au chini ni wapi acha pombe

Kizimu ni ulimwengu wa roho ulio mfuu na kiza na upo hapa dunia
 
Hiyo siyo ishu sana kutoyasikia, lakini mtoa mada alidai waarabu hawana hayo majina kwa kiarabu ndio nikamtolea mifano hiyo.
Mimi nilikuwa nje ya mada kidogo mkuu nilichoandika hakihusiani na mada, anyway tukija kwenye mada hata mimi nafahamu kwamba hayo majina ni suala la lugha tu, ni sawa na wazungu waseme Peace sisi tuseme Amani au wazungu waseme Grace sisi tuseme Neema na mengine kama hayo
 
Hapo kwenye wanefeli wali wa mutate wale mabinti na mimba za kupandikiza, fallen angle wana tech kubwa sasa, ukisoma dimension za mjii mtukufu huko mbinguni utashangaa, ipo kwenye bible
 
Mkuu hapo kwenye Dunia Ipo Angani umejibu kutumia Biblia Au Science??
 
Reactions: 511
But biblia Inasema Dunia Imesimikwa kwenye Nguzo na Haizunguki Ila Jua linazunguka..
Na Inasema Dunia Iko Fixed ..
Wakati science inapinga hayo yote
Biblia hiyo hiyo imesema dunia ni duara,shida kuna dunia mbili either spiritual or physical, on in between
 
Reactions: 511
Hapa kuna mkanganyiko mkuu, malaika hawana genital parts hawajaumbwa kuzaliana?unataka kuniambia mbinguni kuna malaika wake, na wengine wana mimbaa, au kunyonyesha hii haiingii akilini,
Mkuu Umeomba Fungu La kwenye Bible nimekupa 😅😅..
 
Reactions: 511
Biblia hiyo hiyo imesema dunia ni duara,shida **** dunia mbili either spiritual or physical, on in between
But What about Revolution..
Dunia ya Kwenye Biblia haizunguki Jua Ila Jua Linazunguka Dunia..
Dunia ya Kwenye Biblia Iko fixed and Immovabe wakati sayansi sio..

Galileo aliuliwa na kupingwa na Kanisa Kwa sababu Alisema Dunia Inazunguka Jua na ni Duara
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…