Native diaspora
JF-Expert Member
- Nov 19, 2020
- 265
- 458
Unaweza rejerea hio ya manefil mkuu kwenye baibo niokote mawili matatuUkizungumzia Uumbaji wa Mungu na Ukazungumzia Dunia Inayoelea unaenda kinyume moja kwa moja..
Biblia Haisemi kama Dunia Inazunguka au Inaelea Biblia Inasema Dunia Imesimikwa na Jua ndo linazunguka Dunia pamoja na Mwezi..
Kwa Mujibu wa Biblia Malaika Wanakula Wanaweza Kuzaa na wanaweza kuoa (Rejea Story ya Manefil)..
Kwa Mujibu wa Quran Malaika hali wala hawezi kuzaa..
Kuzimu Kwa mujibu wa quran na Biblia Ni chini..
Shetani hana Mke ila kwa Mujibu wa Jews na Talmud Na Baadhi ya Hadith za Wayahudi Shetani alimuoa Lilith..