Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Kama kwenye kadamnasi kapewa sumu je huko aliko lazwa aruhusu watu kwenda kumuona au walikwambia tayari kakamatwa aliyemlisha sumu ? Mkuu nenda kwake huenda ukapata ukweli alikopelekwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Maskini Mzee Mangula...!!Isingelikuwa Ugonjwa wa Corona saa hii angelikuwa China, India au Sauz...!Lakini Corona imerejesha usawa kwa wote. Sote tunatibiwa hanohano hakuna cha India wala Sauz....!! Shubamit.