Kwanini Mangula ameondolewa Muhimbili kimya kimya?

Mtoto wa kamanda Mbowe ana Corona, unajua Hilo? kabla ya kutaka kujua ya mzee Mangula fuatilia ya mtoto wa Mbowe, huku ukitusaidia kujibu maswali haya:

Kwa Nini Mbowe hataki kusema ukweli juu ya hali ya mwanae ?
Mkuu tunaoumwa corona tunaweza tukawa wengi including you sema tu mtoto wa Mbowe ana bahati mama yake ni daktari aliliona hilo na kutoa taarifa,Kuna watu wengi watazikwa bila watu kugundua korona ndo imefanya yake.sisi tusubirie tu takwimu za serikali yetu ambayo Mambo yake si mageni sana kwa tuliowengi
 
Mzee Mangula, kinachpmponza no kuwa mkweli, amesema hajaona kosa lolote la hawa viongozi watatu, na kuhusu yale mazungumzo ya simu, akasema sio kosa na wala hawakumvunjia mtu heshima, yalikuwa mazungumzo ya faragha, lakini mwenye makosa na anayestahili kushtakiwa, ni aliyedukua na kuyaweka sokoni, alipotaka chama kikachukue ripoti ya shirika la simu ni nani aliyeiomba na nani aliyepewa, na ikawaje kaisambaza mitandaoni, alikataliwa , naye akasema hatoweza kutoa ushauri kwani hana hoja ya kuuliza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wakaona wammalize
yaishe,(Mangula apotee na Membe atoswe!!)
Hatua waliofikia sasa yafaa wawekwe kando.
 
Mbowe anajua protocol wewe junya la LUMUMBA umejaza makalio kama lile junya la pale ilala
Mtoto wa kamanda Mbowe ana Corona, unajua Hilo? kabla ya kutaka kujua ya mzee Mangula fuatilia ya mtoto wa Mbowe, huku ukitusaidia kujibu maswali haya:

Kwa Nini Mbowe hataki kusema ukweli juu ya hali ya mwanae ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwanini taarifa zake zinatolewa na Polisi na sio Madaktari na sio familia kwanini watu hawakuruhusiwa kwenda kumuona, je kuna siri gani?

Je, aligoma kumfuza kwa Membe au aliunga mkono kufukuzwa kwa Membe? Nani kampa sumu?

Watu wana haki ya kujua amepelekwa wapi? na wale aliokuwa nao mara ya mwisho wanachukuliwa hatua gani?
Ana siri nzito.za chama na nchi. Tunamtaka akiwa hai asimulie mkasa wake kwa manufaa ya nchi.

Kuna wakati Kinana aliwekwa kizuizini, watu wakasema akaachwa.
 
Na kwanini taarifa zake zinatolewa na Polisi na sio Madaktari na sio familia kwanini watu hawakuruhusiwa kwenda kumuona, je kuna siri gani?

Je, aligoma kumfuza kwa Membe au aliunga mkono kufukuzwa kwa Membe? Nani kampa sumu?

Watu wana haki ya kujua amepelekwa wapi? na wale aliokuwa nao mara ya mwisho wanachukuliwa hatua gani?
Umekinywa banana imekulevya eee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh Ala kumbe

Back
Top Bottom