Kwanini Mangula ameondolewa Muhimbili kimya kimya?

Kwanini Mangula ameondolewa Muhimbili kimya kimya?

Mtoto wa kamanda Mbowe ana Corona, unajua Hilo? kabla ya kutaka kujua ya mzee Mangula fuatilia ya mtoto wa Mbowe, huku ukitusaidia kujibu maswali haya:

Kwa Nini Mbowe hataki kusema ukweli juu ya hali ya mwanae ?
hovioo kabisa wewe
 
Mangula ni mtanzania , siasa ni kazi yake ila linapokuja suala la afya yake ni suala la ubinadamu na siyo uhasama mkuu
 
Wamwangalie vizuri kama hana hasira mhehe huyo jamani anaweza kujinaniliu...
 
Usikute akili zako Kuna mtu kazishikikia mateka au Kuna mahali umezisahau! Zirudie zikusaidie kutambua amri iliyowekwa na serikali juu ya Nani mwenye mamlaka ya kuitangaza wagonjwa wa corona! Mbowe hata Kama anauguliwa na mtoto bado hawezi kuvunja amri iliyowekwa ya kumtangaza mwenye corona kwani anajitambua na anatambua umuhimu wa kutii na kufuata taratibu zilizowekwa na serikali juu ya kadhia hii. Namshangaa mkuu wenu wa mkoa anajitangazia tu huku malamlaka za juu zimekataza na sijui anapimana ubavu na serikali au boss wake!
Pia sio haki kwa mtu yeyote isipokuwa daktari na mgonjwa ndio Wana haki ya kuusema ugonjwa wa mhusika na sio baba Wala mama! Haya ni kwa mujibu wa maadili ya kitabibu na kikatiba ili kuilinda faragha ya mgonjwa!
Ni aibu Tena kubwa kushangilia jirani yako akiuguliwa! Kama humjui Mungu mtafute Leo uitubu hii dhambi kwani ana uwezo wa kuishusha hiyo korona kwenye familia yako ili kumuonyeaha kuwa dharau na dhihaka ni machukizo mbele zake! Utubu na kuomba msamaha kwa kauli yako hii!
Halllaaaah! Kumbe baada ya kuuguliwa mwanae ndio akajua kuna mamlaka na anaziheshimu? Basi sawa! Tutakumbushana mbeleni.
 
Na kwanini taarifa zake zinatolewa na Polisi na sio Madaktari na sio familia kwanini watu hawakuruhusiwa kwenda kumuona, je kuna siri gani?

Je, aligoma kumfuza kwa Membe au aliunga mkono kufukuzwa kwa Membe? Nani kampa sumu?

Watu wana haki ya kujua amepelekwa wapi? na wale aliokuwa nao mara ya mwisho wanachukuliwa hatua gani?
Sasa ulitaka upewe taarifa wewe kama nani? Tuambie sisi tunaokaa uswahilini wewe ni nani hapa nchini? Na una umuhimu gani upewe taarifa kila linalotokea hapa Tz
 
Na kwanini taarifa zake zinatolewa na Polisi na sio Madaktari na sio familia kwanini watu hawakuruhusiwa kwenda kumuona, je kuna siri gani?

Je, aligoma kumfuza kwa Membe au aliunga mkono kufukuzwa kwa Membe? Nani kampa sumu?

Watu wana haki ya kujua amepelekwa wapi? na wale aliokuwa nao mara ya mwisho wanachukuliwa hatua gani?
Siyo watu, wanaccm ndiyo wanaotakiwa wajue.
 
Mzee Mangula, kinachpmponza no kuwa mkweli, amesema hajaona kosa lolote la hawa viongozi watatu, na kuhusu yale mazungumzo ya simu, akasema sio kosa na wala hawakumvunjia mtu heshima, yalikuwa mazungumzo ya faragha, lakini mwenye makosa na anayestahili kushtakiwa, ni aliyedukua na kuyaweka sokoni, alipotaka chama kikachukue ripoti ya shirika la simu ni nani aliyeiomba na nani aliyepewa, na ikawaje kaisambaza mitandaoni, alikataliwa , naye akasema hatoweza kutoa ushauri kwani hana hoja ya kuuliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom