Kwanini Mangula ameondolewa Muhimbili kimya kimya?

Membe alikataa kula chakula chao akaenda hoteli isiyojykulikana....hii serikali ya kigaidi
 
Na kwanini taarifa zake zinatolewa na Polisi na sio Madaktari na sio familia kwanini watu hawakuruhusiwa kwenda kumuona, je kuna siri gani?

Je, aligoma kumfuza kwa Membe au aliunga mkono kufukuzwa kwa Membe? Nani kampa sumu?

Watu wana haki ya kujua amepelekwa wapi? na wale aliokuwa nao mara ya mwisho wanachukuliwa hatua gani?
Wewe juma lililopita uliomba coronavirus ifike nchini. Paschal Mayala akakusema ukajitetea kizembe sana. Sasa imefika na imepiga kambi nyumbani Kwa mwenyekiti wenu Wa Sacco's yenu
 
MKuu hivi walipo mpeleka walitutangazia?
Nadhani ni waji wao kutu tangazia tena wamempeleka wapi.

hayo maswalki mengine majibu ni kuwa tuongeze DUA, Hakika CORONA ITAJIBU na wahusika wote malipo hapahapa.
 
Wewe juma lililopita uliomba coronavirus ifike nchini. Paschal Mayala akakusema ukajitetea kizembe sana. Sasa imefika na imepiga kambi nyumbani Kwa mwenyekiti wenu Wa Sacco's yenu

Tuongheze DUA, ili ikitoka hapo saccos iendelee na kwingine maana mimi naiona hii kitu kama mkombozi.
 
Hivi wamempeleka wapi ?
Hili swali halijibiwi kabisa toka jana,inawezekana huyu mzee kapelekwa nje kimyakimya kuipigania uhai wake.Akidanji hawana cha kuwaambia Wanaccm na Watanzania kwa ujumla
 
Mtoto wa kamanda Mbowe ana Corona, unajua Hilo? kabla ya kutaka kujua ya mzee Mangula fuatilia ya mtoto wa Mbowe, huku ukitusaidia kujibu maswali haya:

Kwa Nini Mbowe hataki kusema ukweli juu ya hali ya mwanae ?
ili iweje? tunataka taarifa juu ya makamu wetu
 
Mtoto wa kamanda Mbowe ana Corona, unajua Hilo? kabla ya kutaka kujua ya mzee Mangula fuatilia ya mtoto wa Mbowe, huku ukitusaidia kujibu maswali haya:

Kwa Nini Mbowe hataki kusema ukweli juu ya hali ya mwanae ?
Tuambie ww ukweli wa hali ya mwanae?
 
Maskini Mzee Mangula...!!Isingelikuwa Ugonjwa wa Corona saa hii angelikuwa China, India au Sauz...!Lakini Corona imerejesha usawa kwa wote. Sote tunatibiwa hanohano hakuna cha India wala Sauz....!! Shubamit.
Wote humu humu kama walichelewa kuboresha basi tutafia wote humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwanini taarifa zake zinatolewa na Polisi na sio Madaktari na sio familia kwanini watu hawakuruhusiwa kwenda kumuona, je kuna siri gani?

Je, aligoma kumfuza kwa Membe au aliunga mkono kufukuzwa kwa Membe? Nani kampa sumu?

Watu wana haki ya kujua amepelekwa wapi? na wale aliokuwa nao mara ya mwisho wanachukuliwa hatua gani?
Yawezekana aligoma kumfukuza Membe!! subira yavuta kheri
 
Mtoto wa kamanda Mbowe ana Corona, unajua Hilo? kabla ya kutaka kujua ya mzee Mangula fuatilia ya mtoto wa Mbowe, huku ukitusaidia kujibu maswali haya:

Kwa Nini Mbowe hataki kusema ukweli juu ya hali ya mwanae ?
Kwani hujamsikia Mbowe akieleza juu ya mtoto wake? Kumbuka kuna tofauti kubwa ya Tatizo la mtoto wa Mbowe na Mzee Mangula,issue ya Mangula inahusisha Vyombo vya dola tumia Akili mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom