Kwanini Mangula ameondolewa Muhimbili kimya kimya?

Mtoto wa kamanda Mbowe ana Corona, unajua Hilo? kabla ya kutaka kujua ya mzee Mangula fuatilia ya mtoto wa Mbowe, huku ukitusaidia kujibu maswali haya:

Kwa Nini Mbowe hataki kusema ukweli juu ya hali ya mwanae ?
hovioo kabisa wewe
 
Mtoto wa kamanda Mbowe ana Corona, unajua Hilo? kabla ya kutaka kujua ya mzee Mangula fuatilia ya mtoto wa Mbowe, huku ukitusaidia kujibu maswali haya:

Kwa Nini Mbowe hataki kusema ukweli juu ya hali ya mwanae ?
Mangula ni mtanzania , siasa ni kazi yake ila linapokuja suala la afya yake ni suala la ubinadamu na siyo uhasama mkuu
 
Wamwangalie vizuri kama hana hasira mhehe huyo jamani anaweza kujinaniliu...
 
Halllaaaah! Kumbe baada ya kuuguliwa mwanae ndio akajua kuna mamlaka na anaziheshimu? Basi sawa! Tutakumbushana mbeleni.
 
Sasa ulitaka upewe taarifa wewe kama nani? Tuambie sisi tunaokaa uswahilini wewe ni nani hapa nchini? Na una umuhimu gani upewe taarifa kila linalotokea hapa Tz
 
Siyo watu, wanaccm ndiyo wanaotakiwa wajue.
 
Mzee Mangula, kinachpmponza no kuwa mkweli, amesema hajaona kosa lolote la hawa viongozi watatu, na kuhusu yale mazungumzo ya simu, akasema sio kosa na wala hawakumvunjia mtu heshima, yalikuwa mazungumzo ya faragha, lakini mwenye makosa na anayestahili kushtakiwa, ni aliyedukua na kuyaweka sokoni, alipotaka chama kikachukue ripoti ya shirika la simu ni nani aliyeiomba na nani aliyepewa, na ikawaje kaisambaza mitandaoni, alikataliwa , naye akasema hatoweza kutoa ushauri kwani hana hoja ya kuuliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…