Kwanini Mangula ameondolewa Muhimbili kimya kimya?

Mtoto wa kamanda Mbowe ana Corona, unajua Hilo? kabla ya kutaka kujua ya mzee Mangula fuatilia ya mtoto wa Mbowe, huku ukitusaidia kujibu maswali haya:

Kwa Nini Mbowe hataki kusema ukweli juu ya hali ya mwanae ?
Mkuu tunaoumwa corona tunaweza tukawa wengi including you sema tu mtoto wa Mbowe ana bahati mama yake ni daktari aliliona hilo na kutoa taarifa,Kuna watu wengi watazikwa bila watu kugundua korona ndo imefanya yake.sisi tusubirie tu takwimu za serikali yetu ambayo Mambo yake si mageni sana kwa tuliowengi
 
Kwahiyo wakaona wammalize
yaishe,(Mangula apotee na Membe atoswe!!)
Hatua waliofikia sasa yafaa wawekwe kando.
 
Mbowe anajua protocol wewe junya la LUMUMBA umejaza makalio kama lile junya la pale ilala
Mtoto wa kamanda Mbowe ana Corona, unajua Hilo? kabla ya kutaka kujua ya mzee Mangula fuatilia ya mtoto wa Mbowe, huku ukitusaidia kujibu maswali haya:

Kwa Nini Mbowe hataki kusema ukweli juu ya hali ya mwanae ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana siri nzito.za chama na nchi. Tunamtaka akiwa hai asimulie mkasa wake kwa manufaa ya nchi.

Kuna wakati Kinana aliwekwa kizuizini, watu wakasema akaachwa.
 
Umekinywa banana imekulevya eee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh Ala kumbe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…