Kwanini Mapadri na Masister hawaruhusiwi kuoa au kuolewa lakini wanasisitiza wenzao waoe na kuolewa?

Mapadre wamekula kiapo cha USEJA

1 Wakorintho 7:1 "Na sasa kuhusu mambo mliyoniandikia. Ni vizuri mtu asioe"

Je, Mtume Paulo, Petro na hata Yesu walioa? HAPANA

Ni vigumu kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja. Ni vigumu kujitoa 100% Kuchunga kondoo wa Bwana na huku una jukumu la Mke na Familia. Ndiyo maana kuna wito wa familia na wito wa useja. Mapadre na Masista wote wameitwa katika useja.

1Wakorintho 7:1.8
“Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika,ni heri mwanaume asimguse mwanamke,8.Lakini nawaambia wale wasiooa bado na wajane heri wakae kama mimi nilivyo”
Na Paulo Mtume anasema “Ni bora kuoa au kuolewa” lakini hakusema “Ni LAZIMA kuoa au kuolewa”
Suala la kutooa kwa mapadre kadiri ya historia lilianza tangu zamani kabisa mwanzoni mwa milenia ya pili katika mtagusi wa pili wa Laterani mwaka wa 1139 ili waweze kumtumikia Mungu kwa uhuru na bila mawaa wala pasipo vikwazo(1wakorintho 7:32-35)
1wakorintho 7:32-35
“32Lakini nataka msiwe na masumbufu.Yeye asiyeoa hujishughulisha zaidi na mambo ya Bwana ampendezeje Bwana;33.bali yeye aliyeoa hujishughulisha zaidi na mambo ya dunia hii,jinsi atakavyompendeza mkewe.34-Tena iko tofauti kati ya mke na mwanamwali.Yeye asiyeolewa hujishughulisha na mambo ya Bwana ili apate kuwa mtakatifu mwili na Roho.Lakini yeye aliyeolewa hujishughulisha na mambo ya dunia hii,jinsi atakavyompendezesha mumewe.,35.Nasema hayo niwafaidie ninyi,si kwamba niwategee tanzi,bali kwaajili ya vile vipendezavyo,tena mpate kumhudumia Bwana pasipo kuvutwa na mambo mengine”
Maandiko hayo hapo juu yanajieleza wala sidhani kama yanahitaji kufafanuliwa zaidi ya yanavyojifafanua yenyewe.
Watu wengine wanafikiri kwamba kutooa ni dhambi,kama ni hivyo basi hata Yesu mwenyewe alikosa maana hata yeye mwenyewe hakuoa.
Yesu mwenyewe anafundisha kuhusu ubikira(Mathayo 19:10-12)

Mathayo 19:10-12,
“Wanafunzi wake wakamwambia,kama mambo ya mme na mke yakiwa hivyo ni afadhali kutuooa kabisa.Lakini Yeye akawaambia ‘SI WOTE WAWEZAO KULIPOKEA NENO HILO,ILA TU WALE WALIOJALIWA,maana wako MATOWASHI waliozaliwa katika hali hiyo toka matumboni mwa mama zao;tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi,tena wako Matowashi WALIOJIFANYA WENYEWE KUWA MATOWASHI KWAAJILI YA UFALME WA MBINGUNI’,awezaye kulipokea neno hili na alipokee”
Yesu mwenyewe analifafanua jambo hili kwa mapana,katika orodha ya matowashi Yesu aliowataja,Mapadre ni Matowashi waliojifanya hivyo kwaajili ya huduma ya kanisa na ufalme wa Mungu.
Tena Yesu anatuambia waziwazi kwamba”sio wote wawezao kulipokea neno hilo”yaani sasa sio wote wawezao kuwa Matowashi(Mapadre)bali ni wale tu waliojaliwa na Mungu neema hiyo.wale wasioweza kuishi upadre huoa na kuwa na familia.Tena Yesu anamalizia kwa kusema “Awezaye kulipokea fundisho hili na alipokee”,kwa maana nyingine ni kusema “Fundisho au Utowashi huu sio wa lazima”anayeweza kuishi maisha hayo basi na ayapokee na yule asiyeweza basi aache!
Vilevile Mitume ili kumfuata Yesu kikamilifu waliyaacha yote waliokuwa nayo ikiwepo familia zao ili wamtumikie Bwana(Mathayo 19:27.29)
Mathayo 19:27.29:
“Ndipo Petro akajibu akamwambia ‘Tazama sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe,tutapata nini basi?29.Amini nawaambia,kila mtu aliyeacha nyumba au ndugu wa kiume au wakike,au baba au mama au watoto au mashamba KWAAJILI YA JINA LANGU,atapokea mara mia zaidi na kuurithi uzima wa milele”
katika injili hiyo,Yesu anadhihirisha kwamba aliyeacha hayo yaliotajwa si kwasababu hawezi kuyapata la hasha,bali ameyaacha hayo yote KWAAJILI YA JINA LA YESU atapokea mengi hapa duniani halafu tena ataurithi ufalme wa mbinguni.

Mapadre wameyaacha hayo yote,wameacha nyumba,familia zao na kila kitu SIO KWASABABU HAWANA UWEZO AU HAWAWEZI KUPATA MAMBO HAYO bali WAMEACHA KWASABABU YA KUMTUMIKIA MUNGU KWA KADIRI YA MAANDIKO MATAKATIFU na kwakutaka kwao kuyaishi kimamilifu MASHAURI YA INJILI ikiwepo USEJA.
Maneno ya Paulo na yale ya Yesu mwenyewe kuhusu kumtumikia Mungu bila kuoa sio ya bahati mbaya bali ndiyo njia bora na inayofaa sana na kukubalika mbele ya Mungu.
Kwahiyo unapowaona mapadre hawaoi ujue sababu yake ni hiyo kwamba “Wamejitoa kwaajili ya kulihudumia kanisa”
(Na pia huwa nawashangaa mno watu wanaowapiga vita Mapadre kwamba kwanini hawaoi,najiuliza je,hao Mapadre wamewakataza wao kwamba wasioe?.)..na kama jibu ni hapana,sasa Je,”Pilipili ya shamba usiyoila inakuwashia nini?”
TUMSIFU YESU KRISTO!
Petro alikuwa na mke
 
Mambo yao waachie wenyewe...

Cc: Mahondaw
Kila jambo Waafrika mmekuwa mkiwaachia wenyewe wakaweza kuwatawala hadi leo kiuchumi,kisiasa,kifikira,kijami,kiimani,nk hadi kufikia stage ya juu ya UJINGA mlionao.

Huu siyo wakati ule mliolishwa ma kuaminishwa ujinga bali ni wakati wa kujikomboa kutoka ktk UTUMWA WA KIFIKIRA mliolishwa na kurudi ktk ASILI YENU ya kuabudu na kuamini ktk IMANI ZENU ili muweze kuendelea kama Wachina,Wahindi,Wakorea,Wajapan,nk. kwa kuwa wao wanaamini ktk ASILI YAO kupitia MANABII wao.

Afrika Amkeni
 
Hivi kumbe shaolin nao hawaoi, maana hata kwenye movie sijawahi kumwona shaolin mwenye mke au mtoto
Shaolini wamejikita ktk ASILI yao hata kama hawaowi basi siyo kwaajili ya yesu au ukristo bali kwaajili ya WAASISI WAO au mababu zao.
 
Habarini,

Hili jambo linanitatiza sana,sana iwapo wafuasi wa yesu wanaoa na kuolewa kupitia kwa mapadri na masister inakuwaje wenyewe mapadri na masister wasioe ma wasiolewe?

Kila kiungo cha mwili kiliumbwa na Mungu kwa makusudi ma kazi yake sasa hawa mapadri ma masisyer siga ya kwanza ni wawe marijali je hivyo viungo vyao wanavitumiaje na mwili wao ukiwa timamu??

Unafiki huu kwa Waafrika unapaswa kupuuzwa kwani padri anawezaje kufungisha ndoa au kusuluhisha wanandoa wakati yeye hana mke na wala hana uzoefu na ndoa?

Yaani hata hili wafia dini wameshindwa kutambua kuwa ni swala la kiuchumi kwa wakoloni kulileta ktk hali hii wakiamini padri au sister akioa au kuolewa ataanzisha familia ambayo itategemea mapato ya sadaka na kusababisha hasara kanisani itakayopelekea wakoloni kutopata faida?

Waafrika situkeni!!
Yaliyo ya kaisari mpe kaisari, na yaliyo ya Mungu mpe Mungu bila kubababika na utabarikiwa sana 🐒
 
Umeota
Mapadre wamekula kiapo cha USEJA

1 Wakorintho 7:1 "Na sasa kuhusu mambo mliyoniandikia. Ni vizuri mtu asioe"

Je, Mtume Paulo, Petro na hata Yesu walioa? HAPANA

Ni vigumu kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja. Ni vigumu kujitoa 100% Kuchunga kondoo wa Bwana na huku una jukumu la Mke na Familia. Ndiyo maana kuna wito wa familia na wito wa useja. Mapadre na Masista wote wameitwa katika useja.

1Wakorintho 7:1.8
“Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika,ni heri mwanaume asimguse mwanamke,8.Lakini nawaambia wale wasiooa bado na wajane heri wakae kama mimi nilivyo”
Na Paulo Mtume anasema “Ni bora kuoa au kuolewa” lakini hakusema “Ni LAZIMA kuoa au kuolewa”
Suala la kutooa kwa mapadre kadiri ya historia lilianza tangu zamani kabisa mwanzoni mwa milenia ya pili katika mtagusi wa pili wa Laterani mwaka wa 1139 ili waweze kumtumikia Mungu kwa uhuru na bila mawaa wala pasipo vikwazo(1wakorintho 7:32-35)
1wakorintho 7:32-35
“32Lakini nataka msiwe na masumbufu.Yeye asiyeoa hujishughulisha zaidi na mambo ya Bwana ampendezeje Bwana;33.bali yeye aliyeoa hujishughulisha zaidi na mambo ya dunia hii,jinsi atakavyompendeza mkewe.34-Tena iko tofauti kati ya mke na mwanamwali.Yeye asiyeolewa hujishughulisha na mambo ya Bwana ili apate kuwa mtakatifu mwili na Roho.Lakini yeye aliyeolewa hujishughulisha na mambo ya dunia hii,jinsi atakavyompendezesha mumewe.,35.Nasema hayo niwafaidie ninyi,si kwamba niwategee tanzi,bali kwaajili ya vile vipendezavyo,tena mpate kumhudumia Bwana pasipo kuvutwa na mambo mengine”
Maandiko hayo hapo juu yanajieleza wala sidhani kama yanahitaji kufafanuliwa zaidi ya yanavyojifafanua yenyewe.
Watu wengine wanafikiri kwamba kutooa ni dhambi,kama ni hivyo basi hata Yesu mwenyewe alikosa maana hata yeye mwenyewe hakuoa.
Yesu mwenyewe anafundisha kuhusu ubikira(Mathayo 19:10-12)

Mathayo 19:10-12,
“Wanafunzi wake wakamwambia,kama mambo ya mme na mke yakiwa hivyo ni afadhali kutuooa kabisa.Lakini Yeye akawaambia ‘SI WOTE WAWEZAO KULIPOKEA NENO HILO,ILA TU WALE WALIOJALIWA,maana wako MATOWASHI waliozaliwa katika hali hiyo toka matumboni mwa mama zao;tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi,tena wako Matowashi WALIOJIFANYA WENYEWE KUWA MATOWASHI KWAAJILI YA UFALME WA MBINGUNI’,awezaye kulipokea neno hili na alipokee”
Yesu mwenyewe analifafanua jambo hili kwa mapana,katika orodha ya matowashi Yesu aliowataja,Mapadre ni Matowashi waliojifanya hivyo kwaajili ya huduma ya kanisa na ufalme wa Mungu.
Tena Yesu anatuambia waziwazi kwamba”sio wote wawezao kulipokea neno hilo”yaani sasa sio wote wawezao kuwa Matowashi(Mapadre)bali ni wale tu waliojaliwa na Mungu neema hiyo.wale wasioweza kuishi upadre huoa na kuwa na familia.Tena Yesu anamalizia kwa kusema “Awezaye kulipokea fundisho hili na alipokee”,kwa maana nyingine ni kusema “Fundisho au Utowashi huu sio wa lazima”anayeweza kuishi maisha hayo basi na ayapokee na yule asiyeweza basi aache!
Vilevile Mitume ili kumfuata Yesu kikamilifu waliyaacha yote waliokuwa nayo ikiwepo familia zao ili wamtumikie Bwana(Mathayo 19:27.29)
Mathayo 19:27.29:
“Ndipo Petro akajibu akamwambia ‘Tazama sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe,tutapata nini basi?29.Amini nawaambia,kila mtu aliyeacha nyumba au ndugu wa kiume au wakike,au baba au mama au watoto au mashamba KWAAJILI YA JINA LANGU,atapokea mara mia zaidi na kuurithi uzima wa milele”
katika injili hiyo,Yesu anadhihirisha kwamba aliyeacha hayo yaliotajwa si kwasababu hawezi kuyapata la hasha,bali ameyaacha hayo yote KWAAJILI YA JINA LA YESU atapokea mengi hapa duniani halafu tena ataurithi ufalme wa mbinguni.

Mapadre wameyaacha hayo yote,wameacha nyumba,familia zao na kila kitu SIO KWASABABU HAWANA UWEZO AU HAWAWEZI KUPATA MAMBO HAYO bali WAMEACHA KWASABABU YA KUMTUMIKIA MUNGU KWA KADIRI YA MAANDIKO MATAKATIFU na kwakutaka kwao kuyaishi kimamilifu MASHAURI YA INJILI ikiwepo USEJA.
Maneno ya Paulo na yale ya Yesu mwenyewe kuhusu kumtumikia Mungu bila kuoa sio ya bahati mbaya bali ndiyo njia bora na inayofaa sana na kukubalika mbele ya Mungu.
Kwahiyo unapowaona mapadre hawaoi ujue sababu yake ni hiyo kwamba “Wamejitoa kwaajili ya kulihudumia kanisa”
(Na pia huwa nawashangaa mno watu wanaowapiga vita Mapadre kwamba kwanini hawaoi,najiuliza je,hao Mapadre wamewakataza wao kwamba wasioe?.)..na kama jibu ni hapana,sasa Je,”Pilipili ya shamba usiyoila inakuwashia nini?”
TUMSIFU YESU KRISTO!
Umetoa haya kibao lakin ujatoa haya inayoonyesha MAPADRE WASIOWE NA MASISTA WASIOLEWE
 
Ndio takwimu zinaonyesha population ya Christian duniani inapungua wakati ya muslims inaongezeka endeleeni hivyo hvyo kufungisha ndoa za jinsia moja kanisani.
 
Habarini,

Hili jambo linanitatiza sana,sana iwapo wafuasi wa yesu wanaoa na kuolewa kupitia kwa mapadri na masister inakuwaje wenyewe mapadri na masister wasioe ma wasiolewe?

Kila kiungo cha mwili kiliumbwa na Mungu kwa makusudi ma kazi yake sasa hawa mapadri ma masisyer siga ya kwanza ni wawe marijali je hivyo viungo vyao wanavitumiaje na mwili wao ukiwa timamu??

Unafiki huu kwa Waafrika unapaswa kupuuzwa kwani padri anawezaje kufungisha ndoa au kusuluhisha wanandoa wakati yeye hana mke na wala hana uzoefu na ndoa?

Yaani hata hili wafia dini wameshindwa kutambua kuwa ni swala la kiuchumi kwa wakoloni kulileta ktk hali hii wakiamini padri au sister akioa au kuolewa ataanzisha familia ambayo itategemea mapato ya sadaka na kusababisha hasara kanisani itakayopelekea wakoloni kutopata faida?

Waafrika situkeni!!
Unajua maana ya wito? Unajua kama huko kwenye ndoa nako ni wito? Hivyo watu wamegawanyika mara 2 kuna wale walioitwa kwa wito wa utume na wale walioitwa kwa wito wa kuwa walei.
 
Haijalishi, Yesu mwenyewe alisema ni vigumu kutumikia mabwana wawili. Hauwezi kusumbuliwa na mahangaiko ya Ndoa, Familia, Ndugu na hapohapo ukajitoa kwa ajili ya kuchunga kondoo wa Bwana.
Ikitokea changamoto ya baba ama mama wa padre anaumwa maututi na ili aruhusiwe kutoka hospitalini Ina mchukua miezi 3 inamaana padre atakaza tu kwa kuwa hapaswi kuwatumikia mabwana wawili?
Kauli ya kuto oa ama kuolewa Kwa hao watumishi Ina jambo limejificha nyuma ya pazia Kwa minajili ya waanzisha dini.
 
Unamlinganisha Mzazi na Mke,mtoto na familia? Akili yako iko sawa kweli? Yesu mwenyewe alisema tuyaache hayo yote kwa ajili ya jina lake. Hakuna kilichojificha hapo, Ni straight & clear, hauwezi kutumikia mabwana wawili. Umeamua kufuata wito wa Ndoa nenda, Umeamua kufuata wito wa Useja nenda.
 
Ndio takwimu zinaonyesha population ya Christian duniani inapungua wakati ya muslims inaongezeka endeleeni hivyo hvyo kufungisha ndoa za jinsia moja kanisani.
Nani kakwambia tunashindana?
 
1 Wakorintho 7:1 "Na sasa kuhusu mambo mliyoniandikia. Ni vizuri mtu asioe"
Hao wakoritho ni Waafrika?basi kama siyo Waafrika yakupasa utambue kuwa hiyo mistari yako walipaswa kuandikiwa wao na siyo Waafrika.
 
Back
Top Bottom