HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
- Thread starter
- #41
Hiyo ni dhana finyu hasa kwa mtu anayejitambua hayo ya ngoswe ni yapi yataje?Kweli ya Ngoswe tumuachie Ngoswe
Hiyo ni dhana finyu hasa kwa mtu anayejitambua hayo ya ngoswe ni yapi yataje?Kweli ya Ngoswe tumuachie Ngoswe
yawezekana ni uelewa au ufahamu mdogo dhidi ya mambo haya ndio imekupa msukumo wa kuandika uzi right, gentleman?Haya hayo ya Mungu ni yapi na ya kaisari ni yapi,tuelewesha??

Jikomboe kifikira ndani ya Afrika kwanza ndiyo utoke nje ya AfrikaNani kakwambia tunashindana?
Sijakuelewa, Nijikomboe kivipi yaani, Na inahusika vipi na mada tajwa?Jikomboe kifikira ndani ya Afrika kwanza ndiyo utoke nje ya Afrika
Hivi nahitaji niwe na uelewa mkubwa kwa mambo ya uislam na ukristo kwaajili ya lipi hasa iwapo hara hao wenye uelewa mkubwa wanataabika?yawezekana ni uelewa au ufahamu mdogo dhidi ya mambo haya ndio imekupa msukumo wa kuandika uzi right, gentleman?![]()
Wakorintho ni kina nani na waafrika ni kina nani? Chanzo chao ni kipi?Hao wakoritho ni Waafrika?basi kama siyo Waafrika yakupasa utambue kuwa hiyo mistari yako walipaswa kuandikiwa wao na siyo Waafrika.
Ni ngumu sana kunielewa hasa kwa utumwa wa kifikira ulionaoSijakuelewa, Nijikomboe kivipi yaani, Na inahusika vipi na mada tajwa?
Utumwa upi?Ni ngumu sana kunielewa hasa kwa utumwa wa kifikira ulionao
Wewe bado ni mtumwa aidha wa uislam au ukristo huwezi ukatuelewa MANABII wa UAFRIKA wenye nia njema na WAAFRIKA kwa neema za MUNGU WA KWELI WA WATU WOTE WA WAKATI WOTE,wewe ni wa Adamu na Hawa siyo wa BABU na BIBI zako wa Kiafrika.Utumwa upi?
Sasa ya huko ndani unayajua ww ya Roma waachie wenyeweHiyo ni dhana finyu hasa kwa mtu anayejitambua hayo ya ngoswe ni yapi yataje?
What is Afrika What is Asia sijui Europe na hizo Takataka zingine?Au unazungumzia hilo bara moja lililokuwepo miaka kadhaa hapo nyuma ikagawanyika? Nabii wa Afrika ndiyo nini? Wanatoa unabii gani? Kabla ya dunia kuwepo walikuwepo? MUNGU WA KWELI WA WAKATI WOTE NI YUPI? Kuna nabii wako aliyekuwepo miaka bilioni 14 iliyopita? Aliyekwambia tunafuata miongozo ya Wazungu ni nani? Unakijua chanzo cha ulimwengu na historia yake yote? Find TRUTH ukiuelewa utajua who to side with, Hakuna Jipya chini ya Jua.Wewe bado ni mtumwa aidha wa uislam au ukristo huwezi ukatuelewa MANABII wa UAFRIKA wenye nia njema na WAAFRIKA kwa neema za MUNGU WA KWELI WA WATU WOTE WA WAKATI WOTE,wewe ni wa Adamu na Hawa siyo wa BABU na BIBI zako wa Kiafrika.
Hayo ya roma ni yapi bwana acha kurukia vitu visivyokihisu na usivyovijua,ya roma unayajuaje wakati ya kwako tu hapo ulipo huyajui?acha unafiki!!Sa
Sasa ya huko ndani unayajua ww ya Roma waachie wenyewe
We ulichonacho ni UKARIRI na siyo UELEWA,yesu alikuwa Mwafrika,Mchina,Mhindi,nk?je, ukweli ni upi ukiachana na akili za kulishwa za biblia?walioandikwa mdani ya biblia akiwepo yesu siyo wazungu tupu kwa majina na maeneo yao ya kihadithi?What is Afrika What is Asia sijui Europe na hizo Takataka zingine?Au unazungumzia hilo bara moja lililokuwepo miaka mingi ya nyuma ikagawanyika? Nabii wa Afrika ndiyo nini? Wanatoa unabii gani? Kabla ya dunia kuwepo walikuwepo? Aliyekwambia tunafuata miongozo ya Wazungu ni nani? Unakijua chanzo cha ulimwengu na historia yake yote? Find TRUTH ukiuelewa utajua who to side with, Hakuna Jipya chini ya Jua.
Kwani yako unayajua yote ni kweli yangu siyajui yote,,, hongera ndiyo maana Mungu alikuumba wewe wa pekee mno kuliko woteHayo ya roma ni yapi bwana acha kurukia vitu visivyokihisu na usivyovijua,ya roma unayajuaje wakati ya kwako tu hapo ulipo huyajui?acha unafiki!!
Ndiyo maana nilisema hauko sawa Kichwani, Nani kasema nimekaririshwa? Nyie ndiyo wale mkiambiwa Nyerere alipigania uhuru Mwaka 1961 mnaamini Ila mkiambiwa kuna Myahudi aliishi miaka 2000 iliyopita unakaza fuvu kujitia mjuaji 😀 basi tuseme Nyerere ni Mzungu! Na alipigania uhuru wa Chile. Kuamini kwako mpaka usimuliwe hauwezi kutumia akili yako kutafiti na kuupata UKWELI.We
We ulichonacho ni UKARIRI na siyo UELEWA,yesu alikuwa Mwafrika,Mchina,Mhindi,nk?je, ukweli ni upi ukiachana na akili za kulishwa za biblia?walioandikwa mdani ya biblia akiwepo yesu siyo wazungu tupu kwa majina na maeneo yao ya kihadithi?
Acha ujinga wa kimeza kila kitu!!
Mimi nayajua zaidi ya ASILI YANGU YA KIAFRIKA na ndiyo nayaamini sana,sana na ni baada ya kuyafuatilia kwa undani kwa kuyashuhudia mengine kwa kuyaona na kwa kulinganisha na hayo unayoyajua wewe ya wazungu i e:yesu kwa kulishwa bila kuyaona na kuyafanyia kazinili kuyalinganisha na yanayokuzunguka ili kujua kama ni ya kweli au uongo.Kwani yako unayajua yote ni kweli yangu siyajui yote,,, hongera ndiyo maana Mungu alikuumba wewe wa pekee mno kuliko wote
Hatushindani ila mwisho wenu unakuja mtaji wa taifa lolote ni rasimali watu huko kwa kiduku na Japan watu wamegoma kuzaa mpaka wamepewa offers.Nani kakwambia tunashindana?
Sio kuoa na kuolewa tu wanasisitiza na Kuzaa pia yaan wao hawataki uzae sijui mtoto mmoja au wawili wanataka uzae watoto wengi kwa singizio la mpango wa Mungu ila behind the scene ni ili wapate watu wengi wa kujaza sadaka, kuna sister mmoja yupo kwenye radio moja kashikilia bango sana kuhusu watoto na kuzaa watoto na anawajua watoto balaa mpaka nikajiuliza huyu sister ameshawahi kuzaa?Waafrika situkeni!!
Sana tu...Achanganye za kwake na zipi kuwa apadiri wanawadinya masister wa kikatoriki??