Kwanini mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote humwogopa YESU KRISTO

Kwanini huwa makanisa ya kiroho hayafunguliwi karibu na mahospitali? Waweke maspika watu wapone.
Yesu anaponya mahali imani ipo, haponyi mahali imani hakuna
 
Kwaio malaika wanajinsia?? Toka lini viumbe vya kiroho vikawa na mbupu aka makende🤣🤣 hizi ni story tu au ulikuepo??
 
Ujinga uliotukuka kwahiyo mapepo ya ufisadi wa viongozi na mikataba hewa hayamuogopi huyo yesu?
 
Huyu Yesu mnatuambia alipaa kwenda mbinguni na iko siku atarudi,,,,kwanini tusisubiri arudi ndio tujue kama hao uliowataja wanamuogopa au vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…