nbayoungboy never broken
JF-Expert Member
- Apr 20, 2025
- 383
- 372
Mapepo ya wapi ya kwenye movie ya yesu alipo wamulu wale nguluwe. Test basi ngamboshi tuone usiku utakucha kwa maluweluwe
Rejea kwenye swali la awali bila maelezo mengi mkuu au kama yana ulazima yajibu moja kwa moja swali.Maombi yana msaada mkubwa sana kwenye kuugua mwili. Mungu anaponya.
Katika Biblia na hadi leo, maombi yamekuwa njia halali ya kupokea uponyaji wa kimwili. Mungu hajasema kwamba uponyaji wa kimwili ni wa madaktari pekee. Hata madaktari wanaweza kushindwa, lakini maombi hayashindwi kufika kwa Mungu.
1. Biblia Inathibitisha Uponyaji kwa Maombi:
Yakobo 5:14-15:
"Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa, na waombe juu yake, wakimtia mafuta kwa jina la Bwana. Na maombi ya imani yatamwokoa huyo mgonjwa, naye Bwana atamwinua."
Yesu mwenyewe aliponya magonjwa ya mwili bila dawa:
Kipofu, bubu, wenye ukoma, mama aliyekuwa anatokwa na damu miaka 12, mwana wa mlinzi wa kifalme, na wengine wengi.
2. Ushuhuda wa Kisasa Unathibitisha:
Tumeshuhudia watu wakipona:
Kansa, bila chemotherapy
HIV, bila ARVs
Kulemaa, na sasa wanatembea
Shinikizo la damu, kisukari, kifafa, na mengine kwa njia ya maombi ya imani na si dawa peke yake
Hii si hadithi. Kuna rekodi za hospitali zilizoshuhudia kwamba mtu aliyeonekana hana tumaini, alirudi na vipimo vipya vilivyoonyesha kwamba amepona baada ya maombi.
3. Kwanini Wengine Hawaponi Hata Wakisali?
Hii haimaanishi kwamba kila mtu atapona mara moja. Sababu zinaweza kuwa:
Mapenzi ya Mungu: Mungu anaweza kutumia ugonjwa kama sehemu ya kumtengeneza mtu kiroho au kuwafundisha wengine
Imani isiyo kamili au maombi yasiyo na bidii
Ugonjwa wa kifo au adhabu ya kiroho (kama kwa Herode – Matendo 12:23)
Lakini ukweli unabaki palepale: Mungu anaponya, na maombi yana nguvu katika uponyaji wa mwili.
Hivyo maombi si ya kiroho tu, bali ni silaha ya uponyaji wa kimwili pia.
Kama Yesu aliwaponya walio lemewa kimwili, basi na leo anaweza na bado anaponya.
Maombi ni dawa ya mbinguni ambayo haiwezi kununuliwa na haina madhara ya pembeni. Na wakati mwingine, ni maombi ndiyo dawa ya mwisho unapofika mwisho wa hospitali.
Karibu kanisani TAG ubungoMapepo ya wapi ya kwenye movie ya yesu alipo wamulu wale nguluwe. Test basi ngamboshi tuone usiku utakucha kwa maluweluwe
Hahaahahah br heshimu kila kitu ancho amn binadam et unamn mungu ndo ukamfokee mchaw et wanaogopa mungu yatakutokea au freemason au budha nkKaribu kanisani TAG ubungo
Kama maombi yanamsaada kwanini viongozi wa maombi hawajiombei wapone bali hukimbilia mahospitalini su nao hawana imani??Maombi yana msaada mkubwa sana kwenye kuugua mwili. Mungu anaponya.
Katika Biblia na hadi leo, maombi yamekuwa njia halali ya kupokea uponyaji wa kimwili. Mungu hajasema kwamba uponyaji wa kimwili ni wa madaktari pekee. Hata madaktari wanaweza kushindwa, lakini maombi hayashindwi kufika kwa Mungu.
1. Biblia Inathibitisha Uponyaji kwa Maombi:
Yakobo 5:14-15:
"Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa, na waombe juu yake, wakimtia mafuta kwa jina la Bwana. Na maombi ya imani yatamwokoa huyo mgonjwa, naye Bwana atamwinua."
Yesu mwenyewe aliponya magonjwa ya mwili bila dawa:
Kipofu, bubu, wenye ukoma, mama aliyekuwa anatokwa na damu miaka 12, mwana wa mlinzi wa kifalme, na wengine wengi.
2. Ushuhuda wa Kisasa Unathibitisha:
Tumeshuhudia watu wakipona:
Kansa, bila chemotherapy
HIV, bila ARVs
Kulemaa, na sasa wanatembea
Shinikizo la damu, kisukari, kifafa, na mengine kwa njia ya maombi ya imani na si dawa peke yake
Hii si hadithi. Kuna rekodi za hospitali zilizoshuhudia kwamba mtu aliyeonekana hana tumaini, alirudi na vipimo vipya vilivyoonyesha kwamba amepona baada ya maombi.
3. Kwanini Wengine Hawaponi Hata Wakisali?
Hii haimaanishi kwamba kila mtu atapona mara moja. Sababu zinaweza kuwa:
Mapenzi ya Mungu: Mungu anaweza kutumia ugonjwa kama sehemu ya kumtengeneza mtu kiroho au kuwafundisha wengine
Imani isiyo kamili au maombi yasiyo na bidii
Ugonjwa wa kifo au adhabu ya kiroho (kama kwa Herode – Matendo 12:23)
Lakini ukweli unabaki palepale: Mungu anaponya, na maombi yana nguvu katika uponyaji wa mwili.
Hivyo maombi si ya kiroho tu, bali ni silaha ya uponyaji wa kimwili pia.
Kama Yesu aliwaponya walio lemewa kimwili, basi na leo anaweza na bado anaponya.
Maombi ni dawa ya mbinguni ambayo haiwezi kununuliwa na haina madhara ya pembeni. Na wakati mwingine, ni maombi ndiyo dawa ya mwisho unapofika mwisho wa hospitali.
TAG ni nini??Karibu kanisani TAG ubungo
Hatari sana.Watu mahututi hawana imani?
Hahahaaa!Maneno ya defense haya, imani ina swaga nyingi za kujilinda, hilo neno linakinzana na lile kwamba "hakuja Kuwaita wanaojiona wana haki , bali wenye dhambi wapate kutubu"
Kuwakemeaje? Hapo sijakuelewa kuwafata mtaa kwa mtaa au?Achana na mapepo hayo yasioonekana, tuanze na vibaka wa mtaani kwanza tukemee wote waache, kisha washerati na wazinzi, kisha umasikini na magonjwa.
Unakoromeanaje na pepo ambaye hatumuoni?
UmenenaMbona matajiri hatuoni wakipatwa na mapepo!!
Wengi wao lao moja, mapepo yanafata watu wasio nao sambamba, ata mlevi sjui mwizi ni tofauti na mtu ambaye anajisafisha kwa damu ya yesu, kwahiyo shetani haweZi kuwinda mtu wake ni ujinga atazunguka kutafuta waliomkataa ila aweze kuwatwika maroho! Shetani anatafuta watu wa kwenda nao..Mbona matajiri hatuoni wakipatwa na mapepo!!
Tanzania Assemblies of GodTAG ni nini??
Kwa hiyo matajiri ni watu wa shetani?Wengi wao lao moja, mapepo yanafata watu wasio nao sambamba, ata mlevi sjui mwizi ni tofauti na mtu ambaye anajisafisha kwa damu ya yesu, kwahiyo shetani haweZi kuwinda mtu wake ni ujinga atazunguka kutafuta waliomkataa ila aweze kuwatwika maroho! Shetani anatafuta watu wa kwenda nao..