Kwanini mara nyingi mwanamke anapotangulia kufariki mume naye huwa hachukui siku nyingi?

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Inashangaza mara nyingi mwanamke anapotangulia kabla ya mwanamme

👉Mwanaume huwa hadumu sana hii ni kwasababu zipi?

👉Lakini mwanaume akutangulie kuna possibility kubwa mwanamke akabaki

Mifano halisi
👉 Mke wa Ephraim kibonde alipofariki kibonde alifuata mwaka uliofuata

👉Mzee Kigunge alianza mkewe yeye alafuata miezi michache tu

👉Mzee mengi alianza mkewe, Mengi akafata mwaka uliofuata vifo vyao havikuachana interval kubwa below one year (hii mitatu inatosha)

Twende kinyume chake:

👉Mke wa nyerere yupo
👉Mke wa mkapa yupo
👉Mke maalim seif yupo
👉Mke wa Mandela yupo
👉Mke wa Muhammad Alli yupo
(Mingine mnazijua)

Ebu tuambizane siri ni ipi wakuu tuzungumzie angle zote nne kiuchumi, kijamii, kiimani na kisaikolojia

Karibuni kwa michango
 
Hapo tatizo ni ndoa na kuoana ndio maana unasema mke wa fulani vipi kuhusu wasio na ndoa 🤔🤔🤔
 
Inashangaza mara nyingi mwanamke anapotangulia kabla ya mwanamme

👉Mwanaume huwa hadumu sana hii ni kwasababu zipi?

👉Lakini mwanaume akutangulie kuna possibility kubwa mwanamke akabaki

Mifano halisi
👉 Mke wa Ephraim kibonde alipofariki kibonde alifuata mwaka uliofuata

👉Mzee Kigunge alianza mkewe yeye alafuata miezi michache tu

👉Mzee mengi alianza mkewe, Mengi akafata mwaka uliofuata vifo vyao havikuachana interval kubwa below one year (hii mitatu inatosha)

Twende kinyume chake:

👉Mke wa nyerere yupo
👉Mke wa mkapa yupo
👉Mke maalim seif yupo
👉Mke wa Mandela yupo
👉Mke wa Muhammad Alli yupo
(Mingine mnazijua)

Ebu tuambizane siri ni ipi wakuu tuzungumzie angle zote nne kiuchumi, kijamii, kiimani na kisaikolojia

Karibuni kwa michango
Inategemea na sababu ya kifo, kama ni maambukizi then yanafikia muda immunity inagota, kama ilikua ni uzee au non communicable disease wanaobaki wanadumu sana tu, kama mama Maria Nyerere tangu mumewe afariki si tayari ni umri wa mtu mzima?
 
Inashangaza mara nyingi mwanamke anapotangulia kabla ya mwanamme

👉Mwanaume huwa hadumu sana hii ni kwasababu zipi?

👉Lakini mwanaume akutangulie kuna possibility kubwa mwanamke akabaki

Mifano halisi
👉 Mke wa Ephraim kibonde alipofariki kibonde alifuata mwaka uliofuata

👉Mzee Kigunge alianza mkewe yeye alafuata miezi michache tu

👉Mzee mengi alianza mkewe, Mengi akafata mwaka uliofuata vifo vyao havikuachana interval kubwa below one year (hii mitatu inatosha)

Twende kinyume chake:

👉Mke wa nyerere yupo
👉Mke wa mkapa yupo
👉Mke maalim seif yupo
👉Mke wa Mandela yupo
👉Mke wa Muhammad Alli yupo
(Mingine mnazijua)

Ebu tuambizane siri ni ipi wakuu tuzungumzie angle zote nne kiuchumi, kijamii, kiimani na kisaikolojia

Karibuni kwa michango
Mke wa Dr Herryson Mwakyembe kafariki lini vile je Mwakyembe yupo au hayupo?

Vipi mke wa John Malechela waziri mkuu mstaafu?
 
Mwanaume inatakiwa uwe unafanya kazi za jikoni ujue kupika na kila kazi inayohusiana na kujiandalia chakula, Kuna wanaume hawajawahi kusonga hata ugali tu, ujue siku mkeo akifa utapata stress moja hatari hutadumu miaka mi3, maana utaachiwa nyumba pekee yako watoto wote wapo Wana bett town🤣
 
Kam mke akifark ukiw na miaka 50+ labda

Ila njia ya kujiepusha na hilo unaoa mzee mwenzako mtumikiane
 
Inashangaza mara nyingi mwanamke anapotangulia kabla ya mwanamme

[emoji117]Mwanaume huwa hadumu sana hii ni kwasababu zipi?

[emoji117]Lakini mwanaume akutangulie kuna possibility kubwa mwanamke akabaki

Mifano halisi
[emoji117] Mke wa Ephraim kibonde alipofariki kibonde alifuata mwaka uliofuata

[emoji117]Mzee Kigunge alianza mkewe yeye alafuata miezi michache tu

[emoji117]Mzee mengi alianza mkewe, Mengi akafata mwaka uliofuata vifo vyao havikuachana interval kubwa below one year (hii mitatu inatosha)

Twende kinyume chake:

[emoji117]Mke wa nyerere yupo
[emoji117]Mke wa mkapa yupo
[emoji117]Mke maalim seif yupo
[emoji117]Mke wa Mandela yupo
[emoji117]Mke wa Muhammad Alli yupo
(Mingine mnazijua)

Ebu tuambizane siri ni ipi wakuu tuzungumzie angle zote nne kiuchumi, kijamii, kiimani na kisaikolojia

Karibuni kwa michango
Mke akitangulia kufa,kwa sababu ya wivu wake lazima akuvute Mume wake umfuate huko aliko ndani ya muda mfupi tu baada ya yeye kuondoka,wakati sisi wanaume tukitangulia huko huwa hatuna habari ya kuwavuta wake zetu watufuate huko tuliko maana tunakua huru zaidi huko kuzimu!!
 
Mwanaume inatakiwa uwe unafanya kazi za jikoni ujue kupika na kila kazi inayohusiana na kujiandalia chakula, Kuna wanaume hawajawahi kusonga hata ugali tu, ujue siku mkeo akifa utapata stress moja hatari hutadumu miaka mi3, maana utaachiwa nyumba pekee yako watoto wote wapo Wana bett town🤣
Ina kaukweli mtu wangu aliondoka mwez mzima nikajaribu kupika🤣siku Tatu Nikaweka tu oda hotelini
 
Siri Yao ipo jikoni siku umemkorofisha anakupikia chakula kitamu anachanganya na steel wire kidogo kwenye mboga..we ukija unabugia vyuma tu
 
Inashangaza mara nyingi mwanamke anapotangulia kabla ya mwanamme

👉Mwanaume huwa hadumu sana hii ni kwasababu zipi?

👉Lakini mwanaume akutangulie kuna possibility kubwa mwanamke akabaki

Mifano halisi
👉 Mke wa Ephraim kibonde alipofariki kibonde alifuata mwaka uliofuata

👉Mzee Kigunge alianza mkewe yeye alafuata miezi michache tu

👉Mzee mengi alianza mkewe, Mengi akafata mwaka uliofuata vifo vyao havikuachana interval kubwa below one year (hii mitatu inatosha)

Twende kinyume chake:

👉Mke wa nyerere yupo
👉Mke wa mkapa yupo
👉Mke maalim seif yupo
👉Mke wa Mandela yupo
👉Mke wa Muhammad Alli yupo
(Mingine mnazijua)

Ebu tuambizane siri ni ipi wakuu tuzungumzie angle zote nne kiuchumi, kijamii, kiimani na kisaikolojia

Karibuni kwa michango
Unategemea nani abakie kumhudumia na kazeeka?
 
Back
Top Bottom