Kwanini mara nyingi mwanamke anapotangulia kufariki mume naye huwa hachukui siku nyingi?

Kwanini mara nyingi mwanamke anapotangulia kufariki mume naye huwa hachukui siku nyingi?

Asili yetu na tabia zetu za kuugulia ndani kwa ndani zitatumaliza .....Kwa Mwanaume kupungukiwa na mtu mmoja huwa ni Kama ulimwengu wote umemuondoka.( Peke yake ) na hauna Maana.
 
👉Mke wa nyerere yupo
👉Mke wa mkapa yupo
👉Mke maalim seif yupo
👉Mke wa Mandela yupo
👉Mke wa Muhammad Alli yupo
Ukiachana na hao uliowataja kuna huku mtaani kwetu tunakoishi
Yaani ni mama mwenye nyumba tuuuuuuu
Baba wenye nyumba ni wachache
 
Mapenzi ya watoto kwa mama zao huwa mara mbili zaidi .....kuliko kwa baba zao
 
Kwa hiyo mifano yote iliyotolewa shida steel wire? Wacha hizo mwamba!
Hatuwezi kufikiri wote kwa mtazamo sawa mkuu..
Ndio maana wanawake wengi utaskia wanaulizia ukifa watoto wataishije..
Mara nyingi mwanamke anachowaza yeye ni kwamba mwanaume wake atawai kufa kuliko yeye..
1) sababu moja ni kwamba tunaoa wanawake ambao tumewazidi umri kivyovyote vile lazima wewe mwanaume utatangulia tu kufariki
2) wanatutanguliza kwa namna wanavyojua wenyewe akiwa kasharidhika na uzazi, ameshajua mianya yote ya uchumi wako.
3) Kuna umri ukifika utaona Mama anakazana sana kupika chakula Cha baba na sio house girl tena.hapo shtuka
 
Mke wa Dr Herryson Mwakyembe kafariki lini vile je Mwakyembe yupo au hayupo?

Vipi mke wa John Malechela waziri mkuu mstaafu?
Unategemea nani abakie kumhudumia na kazeeka?
50 years ni mzee🤔
Hatuwezi kufikiri wote kwa mtazamo sawa mkuu..
Ndio maana wanawake wengi utaskia wanaulizia ukifa watoto wataishije..
Mara nyingi mwanamke anachowaza yeye ni kwamba mwanaume wake atawai kufa kuliko yeye..
1) sababu moja ni kwamba tunaoa wanawake ambao tumewazidi umri kivyovyote vile lazima wewe mwanaume utatangulia tu kufariki
2) wanatutanguliza kwa namna wanavyojua wenyewe akiwa kasharidhika na uzazi, ameshajua mianya yote ya uchumi wako.
3) Kuna umri ukifika utaona Mama anakazana sana kupika chakula Cha baba na sio house girl tena.hapo shtuka
Hilo swali Namba moja lipo sana wangu Alishawahi niuliza hilo swali
 
Mapenzi ya watoto kwa mama zao huwa mara mbili zaidi .....kuliko kwa baba zao
Sisi wazazi wa kiume tatizo ni kule kukaa mbali na watoto mda wote unakuta umekaa sura hakuna Ata kucheka mara moja moja na mtoto atakupenda sangapi
 
hiyo ya mume kufariki mara baada ya mke naona haina uzito, ila ni kweli wanawake wanatuzidi lifespan
1732370519058.png
 
Back
Top Bottom