Inashangaza mara nyingi mwanamke anapotangulia kabla ya mwanamme
👉Mwanaume huwa hadumu sana hii ni kwasababu zipi?
👉Lakini mwanaume akutangulie kuna possibility kubwa mwanamke akabaki
Mifano halisi
👉 Mke wa Ephraim kibonde alipofariki kibonde alifuata mwaka uliofuata
👉Mzee Kigunge alianza mkewe yeye alafuata miezi michache tu
👉Mzee mengi alianza mkewe, Mengi akafata mwaka uliofuata vifo vyao havikuachana interval kubwa below one year (hii mitatu inatosha)
Twende kinyume chake:
👉Mke wa nyerere yupo
👉Mke wa mkapa yupo
👉Mke maalim seif yupo
👉Mke wa Mandela yupo
👉Mke wa Muhammad Alli yupo
(Mingine mnazijua)
Ebu tuambizane siri ni ipi wakuu tuzungumzie angle zote nne kiuchumi, kijamii, kiimani na kisaikolojia
Karibuni kwa michango