antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Ongeza hapo:Twende kinyume chake:
👉Mke wa nyerere yupo
👉Mke wa mkapa yupo
👉Mke maalim seif yupo
👉Mke wa Mandela yupo
👉Mke wa Muhammad Alli yupo
• Mama Ngina Kenyatta
• Mke wa mzee Karume, rais wa kwanza wa Zanzibar aliyefariki miaka 52 iliyopita.
Nadhani kwa hawa niliotaja hapa itakuwa walitofautiana sana umri.